Paid video view

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Asee wadau hiyo paid video view, kuna mtu alishaitumia yani ni kama website flani hivi wanakwambia uangalie video harafu wenyewe wanakuwa kila ukiangalia video ya dakika wanakulipa, sasa je ni kweli hizo hela utaweza kutoa ukifikisha kiwango wanachotaka maana ni 200$ ndo utaweza kutoa,

Je kuna mtu alishatumia maana nisije kupoteza nguvu na chaji ya simu maana nataka nikae kwenye Wi-fi maana inakula bando balaaa.
 
Online pesa ipo ila uwe na fani sio tu kuangalia vidio Basi unapata hela! Huyu aende afatilie zipo site za kufanya kazi online lkn huko anapotea hayo mambo wengine toka 2017 huko tulijua tulisumbuka nayo mara refferal..🤣
Hahahahah nakumbuka kuna site inaitwa Youthpay.com nilisambaza link jf mpaka nikala ban! Pa kutolea hela unapelekwa kwenye survey halafu inakuwa button ina kivuli haibonyezeki mchezo unaishia hapo
 
Hahahahah nakumbuka kuna site inaitwa Youthpay.com nilisambaza link jf mpaka nikala ban! Pa kutolea hela unapelekwa kwenye survey halafu inakuwa button ina kivuli haibonyezeki mchezo unaishia hapo

sasa hivi kuna huu ujinga wa "mula empire " na "paymart" na vingine kama hivyo, vinaanzishwa na wakenya.
 
Hahahahah nakumbuka kuna site inaitwa Youthpay.com nilisambaza link jf mpaka nikala ban! Pa kutolea hela unapelekwa kwenye survey halafu inakuwa button ina kivuli haibonyezeki mchezo unaishia hapo
Yashaganikuta hayo ni michezo ya kipuuzi tu lkn ndo sehemu ya makuzi hayo lazima tupite huko..
 
Zipo hizo za kuangalia video then unalipwa. Assume video moja wanakulipa shilingi 20, payment ni $200 ambayo ni around 480,000 ina maana utatakiwa uangalie video 24,000.

Hio video pengine inatumia bando kubwa kuliko hio hela, na kwa siku watakupa video 10, mpaka uje utimize hizo idadi za video ni miaka.

Kifupi hizi site wanakuwa watu wa kati, wa napewa matangazo na wao wanatangaza, usitegemee kupata faida yoyote ya Maana, labda vocha za hapa na pale.
 
Usichokijua ni kuwa unakuwa unawatangazia bure wao kwa kusambaza link kila mahali uki expect hela kumbe ni scam
Mie kwa sasa formula yangu ni moja tu, napiga kazi then napata ujira wangu, haya mambo ya ku-share huwa siyakubali mara eti mlete wa kulia na kushoto.
 
Asikudanganye mtu izo mambo ni UONGO MTUPU yaani apo wajanja wameunganisha ads zao kwenye website zao ambapo wewe ukiangalia yeye traffic inaongezeka na comission inaongezeka kwaio unamfaidisha yeye na ikifika withdraw threshold wanaanza kukupiga kiswaili mfano ushare link yako kwa watu 100 na wote wajiunge inshort ni WIZI MTUPU
 
Kama unataka vocha za bure kuna app inaitwa clipclap, unacheck videos alafu ina magemu mazuri unaplay
Unaenjoy na unajipatia salio la bure au unaweza kutoa kwa paypal.
Hii nna uhakika nayo 7bu napenda kucheza game za humo na nmeshawahi kucashout mara kibao kama airtime
Kucash out kama salio minimum10$
Kwa paypal 20$
 
Unaitolea wapi hiyo
 
Unaitolea wapi hiyo
This app is legit paying but it's hard to earn. It really hard to earn dollar it takes almost half a year just to earn $10. Its mostly complicated to the people who can't do invite. And they have a poor customer service. Hope they can increase the dollar in the games and chest. Not all people can invite tons of people be considerate.

hiyo ni review ya mtu mmojawapo huko
 
Tatizo litakuja kwenye kutoa...
🤣🤣 Komenti fupi lkn inaujumbe mpana hizo sites jamani hata msiziwazie wakurungwa tushagahangaika tukarudi hamna kitu! Mara mia ukafanya forex ila nayo uijue ukienda bichwabichwa mtu anarudi kulia utapeli!
 
Kama unataka vocha za bure kuna app inaitwa clipclap, unacheck videos alafu ina magemu mazuri unaplay
Unaenjoy na unajipatia salio la bure au unaweza kutoa kwa paypal.
Hii nna uhakika nayo 7bu napenda kucheza game za humo na nmeshawahi kucashout mara kibao kama airtime
Kucash out kama salio minimum10$
Kwa paypal 20$
Hapo kwa paypal nachojua huwezi receive funds kwa Tanzania labda kama ni gift ambayo mwisho wa siku inabidi uifanyie manunuzi.
 
Back
Top Bottom