October mwezi wa pili...yeyote angeweza kumis kutokana na kuchanganywa na October
Just like your signature states....."A lion doesn't concern itself with the opinion of sheep"....Hamnaa bana, wa kwanza huyo ningemuelewa maana kashtukizwa, ila hao wengine muda wote wamekaa pembeni wanaskliza hilo swali likiulizwa na wao pia wakaangukia pua, elimu yenu hiyo ina kasoro sana.
Tatizo lenu mna mfumo wa elimu ya msingi inayoishia la saba, maana kwamba mtu kama hana uwezo wa kwenda sekondari anakua mwisho wake ni la saba, halafu ukizingatia mwanafunzi wa la saba huko ni sawia na wa la tatu Kenya, hehehe bora muendelee kuweka pini kwa Wakenya maana mtapoteza sana kama hiki ndicho kizazi chenu.
Tena hao ni madogo wa mjini haswa, sio watu wa vijijini.
hivi mbona Uhuru na Ruto hawaelewani tena na wote wamesoma elimu bora kabisa.!?Hamnaa bana, wa kwanza huyo ningemuelewa maana kashtukizwa, ila hao wengine muda wote wamekaa pembeni wanaskliza hilo swali likiulizwa na wao pia wakaangukia pua, elimu yenu hiyo ina kasoro sana.
Tatizo lenu mna mfumo wa elimu ya msingi inayoishia la saba, maana kwamba mtu kama hana uwezo wa kwenda sekondari anakua mwisho wake ni la saba, halafu ukizingatia mwanafunzi wa la saba huko ni sawia na wa la tatu Kenya, hehehe bora muendelee kuweka pini kwa Wakenya maana mtapoteza sana kama hiki ndicho kizazi chenu.
Tena hao ni madogo wa mjini haswa, sio watu wa vijijini.
imeiona reli lakini au umepagawa na suruali ya mtangazajiHuwa nafuatilia channel ya hawa wadau ambao huwahoji Watanzania vitu vya kawaida, yaani Watz wapo wapo tu siku ziende, elimu mbovu hawana uwezo wa kushindana na moto wa Wakenya. Bora hivyo wao huogopa Wakenya maana duh!
hivi mbona Uhuru na Ruto hawaelewani tena na wote wamesoma elimu bora kabisa.!?
eeehh
na ugomvi wa kikabila usioisha na huku elimu yenu ni bora Africa..??
imeiona reli lakini au umepagawa na suruali ya mtangazaji
Pole bado mnalia na lockdown!! Huku Tz corona is just a past history! no social distancing, no masks and no any symptoms for Covid-19 whatsoever! God has been so gracious to our country in response to honour we gave to Him from the very beginning. People laughed and mocked Tz as we embarked on National prayers and fasting pleading with God to protect us from Covid-19. But now they can't avoid to see how God has protected Tz.Ndio uzuri wa elimu, kwamba hamshikiliwi akili na mtu mmoja, leo hii Tanzania ndio kama kila kiongozi amerejeshewa ubongo, kipindi cha JPM nyote mlikua full mapambio hata akisema corona haipo na haijawahi kuwepo na imeisha kwa maombi mnaitikia amina. Sijui ni athari za ujamaa hufanya watu wawe kama misukule au nini, kwamba hakuna mwenye jeuri ya kuhoji chochote.
Japo pia mfumo wa elimu ni hovyo sana, hao hapo vijana wa mjini hawajui Oktoba mwezi wa ngapi.....channel ya huyo jamaa huwa naifuatilia na kucheka sana sio kwa majibu yenu.
Pole bado mnalia na lockdown!! Huku Tz corona is just a past history! no social distancing, no masks and no any symptoms for Covid-19 whatsoever! God has been so gracious to our country in response to honour we gave to Him from the very beginning. People laughed and mocked Tz as we embarked on National prayers and fasting pleading with God to protect us from Covid-19. But now they can't avoid to see how God has protected Tz.
majority ya hawa waliohojiwa ni millennials. ni hawa watoto ambao akili zao zimekuwa matured kipindi hiki ambacho mitandao ya kijamii kama instagram na tiktok imeshika hatamu.Huwa nafuatilia channel ya hawa wadau ambao huwahoji Watanzania vitu vya kawaida, yaani Watz wapo wapo tu siku ziende, elimu mbovu hawana uwezo wa kushindana na moto wa Wakenya. Bora hivyo wao huogopa Wakenya maana duh!
majority ya hawa waliohojiwa ni millennials. ni hawa watoto ambao akili zao zimekuwa matured kipindi hiki ambacho mitandao ya kijamii kama instagram na tiktok imeshika hatamu.
hawa wapuuzi wapo vizuri sana kufatilia habari za udaku, umbeya na ubuyu unaohusu maisha mastaa wa bongo. ila akili zao zipo very dormant kujua vitu basic kwa lugha ya kingereza. inasikitisha sana kwa kweli.
nani alikwambia dc ni ajira ya kudumu!!!Duh poleni mataga....mama ameamua kutowendekeza tena.... nimeshangaa kwa hizi habari President Samia suspends Hai DC Ole Sabaya