GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,134
- 5,243
Salam ndugu zanguni.
Naomba kufahamu ni desktop computer yenye sifa zipi inauwezo wa kufanya kazi za kuzalisha na kuhariri picha za video, naomba kusaidiwa hili kwa wataalamu wa humu jukwaani wanaofanya kazi hizi na wasiofanya.
Inatakiwa iwe ya gharama za chini kabisa kuliko zote,Nataka kujua properties zake kama video card,ram,hdd au ssd,sound cad...google siwaelewi.
Naomba kusaidiwa tafadhali.