Harmonize, hii 'chenchi' ya views laki 4 iwe fundisho kwako kwa mkubwa wako Diamond

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
1,912
2,000
1619372361681.png

Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni

1619441573988.png

Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8

1619371110771.png

DENI LA VIEWS MILIONI 4.2 YA VIEWS ZA DIAMOND ALIZOFIKISHA NDANI YA MASAA 24 HATIMAE LIMEKAMILIKA BAADA YA HARMONIZE KUFIJISHA HIZO VIEWS MILIONI 4.2 BAADA YA MASAA 62 LEO HII MUIA YA SAA NNE ASUBUHI.

1619442150531.png
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,990
2,000
View attachment 1764073

Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni

View attachment 1764026

Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8

View attachment 1764040
Aisee jamaa kajitahidi maana hqkunq aliyetegemea kama hata atafikisha views 1.5 hata VBoy nadhani anataka futa bandiko lake.
Wimbo sijaupenda ila kanishangaza kwakweli sikutegemea.
Harmonize kumbe mbinu yake imezaa matunda in the short run.
 
Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,154
2,000
View attachment 1764073

Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni

View attachment 1764026

Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8

View attachment 1764040

mpaka unafuatilia hivi maana yake ulikuwa unaogopa sio??

ungesema kabla bana.....pole moyo ulikuwa unadunda?

Bado Harmonize katisha mno, sana, nadhan kama issue ni view baada ya diamond ni harmonize...sio?? unawezaje kumdharau?

may be kwa sababu vifurushi vimepanda 🤣🤣🤣🤣
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom