Video: Anayehusika na hii barabara ya Shaurimoyo (Al-haramain), ana akili sawasawa kweli kichwani?

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,726
2,000
Kuna ile ya mabatini nayo...
Yaaan barabara pekee ambayo ina kiwango afadhali ni ile ya External, EPZ,via Jeshin hadi daraja la Maji chumvi. Hawa Wahandisi wetu wa Barabara huwa natamani niwachape hata bakora kwa uhuni na Uhujumu wanaozifanyia barabara zetu maaana ni aibu sana.
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
56,265
2,000
Yaaan barabara pekee ambayo ina kiwango afadhali ni ile ya External, EPZ,via Jeshin hadi daraja la Maji chumvi. Hawa Wahandisi wetu wa Barabara huwa natamani niwachape hata bakora kwa uhuni na Uhujumu wanaozifanyia barabara zetu maaana ni aibu sana.
Kuna wakati unaweza walaumu wahandisi
Lakini na pia mpunga wa mradi unaingiliwa na watu fulani!

Ova
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom