Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,730
- 2,850
Toka lilipoingia janga hili raisi alitoa msimamo kuwa watu waendelee ka kazi ila wachukue tahadali kwa kufuata mashrti yaliyowekwa na wizara ya afya.
Pili, akasema hii ni vita hivyo tutmie kila siraha kupambana na huu ugonjwa, tutmie pia maombi na dawa za asili na kupiga nyungu ili kuutokomeza ugonjwa huu.
Nchi jirani na wanasiasa wa hapa kwetu na baadhi ya viongozi wa dini a wanachi pingapinga wakabeza na kufuata ushoshoo wa ulaya kwamba raisi anashauli vitu vya hovyo, visivyo vya kitaalam.
Sasa wale waliokuwa wanashabikia majirani kuwa wanachukua hatua za kufunga baadhi ya maeneo au kuweka lockdown mkamsikilize Uhuru Kenyata, sasa kasalim amri na amewatangazia wanachi kuwa ataondoa masharti yote ya lockdown na watu waendelee kazi zao ila wachukue hatua za kujikinga.
Huku wagonjwa wakiongezeka kila siku na kufikia elfu moja na zaidi, Mamabukizi yanaongezeka masharti yanaondolewa sasa hapo maana yake nini?
Je, hasara kiasi gani wamepata kwa hizo lockdown na ugonjwa bado upo?
Viva Magufuli. Viva Tanzania kwa kupata raisi mwenye maono.