Karibu ununue mitambo ya solar,yenye uwezo mkubwa wa kuendesha Tv nchi 19, 24 na 32, pia inauwezo wa kuhudumia bulb mpaka 16

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip!

Hii ni mitambo inayotengenezwa Marekani ni mitambo Bora na imara kuliko mitambo ambayo umeshawahi kutumia kutoka katika makampuni mbalimbali. sifa ya mitambo hii. -hata jua likiwa hafifu panel zake zinacharge betry kwa kasi ya kubwa.

-Hata jua lisipo toka week nzima unapata umeme -Kila mtambo inakuja na bulb nne zenye switch,hivyo unaweza kutumia switch kupunguza na kuongeza mwanga-pia switch unaweza kuongeza mapaka 16 -Kila mtambo unakuja na Tv-flat-screen,charger ya simu unaweza kucharge cmu 5 tofauti kwa wakati mmoja, hivyo unaweza kucharge mpaka simu 30 kwa siku. -kila mtambo inakuja na Redio, tube-light, panel ambayo ina wat-80 na betry yenye wat 180.

-Mitambo hii ina warrant ya miaka mitano ya matengenezo -Tv,redio,charger ina warrant ya mwaka mmoja,na unabadilishiwa pasipo changamoto yeyote. -pia ukiitaji tunakuletea pamoja na mashine ya kunyolea. Kwa bei tunawakopesha wateja mitambo hivyo wanalipa kidoga kidogo au kama unaweza unalipa cash.Mtambo wa nchi 19-bei ya kianzio ili uletewe na vitu vyote utalipa sh.99,900 na kila mwisho wa mwezi utarejesha 39900,kwa kipindi cha miaka mitatu,nchi 24-bei ni 140900-rejesho kila mwisho wa mwezi ni 55900-nchi32-bei ya kianzio 319,900-rejesho ni 75900-pia ukishalipa hicho kianzio tunakuja kufunga kwa gharama zetu tunakuwekea na umeme wa mwezi mzima bura.hivyo utaanza kulipa mwezi unaofuata.

Pia hayo marejesho unaweza kutuma kidogo kidogo mfano unaweza keweka 1500,2000,1000-ni wewe mwenywe kulingana na kipato chako. Kwa mawasiliana zaidi kujua bei na jinsi ya kuletewa mpaka kwako na kufungiwa wasiliana nami kupitia 0755736229 na 0621319355.Karibu MAHALI POPOTE ULIPO TANZANIA TUNAKULETEA
 
huwa hawasemi kabisa utaitumia hiyo solar masaa mangapi kabla haijazima
solar nyingi ukiwasha asubuhi mpaka saa tatu usiku inazima hata kama jua ni la sahara desert


Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu umezungumza cha maana ,hii ndo ilikuwa muhimu sana kujua ,kuwa hiyo solar inawezo wakufanya kazi masaa mangapi huku tv inawaka na mambo mengine yanaendelea
 
Back
Top Bottom