Uwezo wa kujenga hoja wa mashabiki wa Ali Kiba unasikitisha na kuhuzunisha

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,675
106,781
Mimi ni mshabiki halisi wa CEO na mwanamuziki Diamond platinumz, nimejitahidi sana kumantain principle hiyo niliyoieleza hapo juu kwa msanii huyu ila nimeshindwa maana anapendwa na watu wengi sana ila tofauti na watu wengine wengi mimi na wengine wachache ninamkubali zaidi mtu huyu kutokana na “haso” zake zaidi na jinsi anavyojitahidi kutoa ajira kwa vijana wenzake either directly or inderictly. Lakini katika hali ya ajabu kuna watu wachache hawaoni yote hayo wao humchukia kwa kila zuri au baya atendalo, inashangaza!

The guy ndio definition ya a successful person kaweza kumhakikishia bilgert ule msemo wake kua ukizaliwa maskini sio kosa lako kosa ni kufa maskini, from zero to hero. Kila kitu kwakwe ni fursa adimu ya kuendelea kubaki juu na kujiingizia kipato, anajua kujibrand na kuendesha biashara ya muziki huku akifanya muziki. Kwa mtu anayejitambua diamond ni darasa tosha sana kwake, huna haja ya kusikiliza motivation speaker D ni darasa kamili ukifuatilia historia yake basi tu vile watanzania roho za ubinafsi na chuki juu ya mafanikio ya wenzetu hatutaki ku-Admit kua D kafanya kweli vile wengi tunatamani kufanya, so ili kujiilizisha roho zetu tunamchukia na kwenda kumshabikia feliaz mwenzetu Alikiba ili tuwe na amani moyoni.

Alikiba kafeli kila kitu kuanzia ndoa, biashara ahdi muziki wake as career. D anamadhaiu yake pia ila muacheni na madhaifu yake tushabikie vile vitu positive kama nifanyavyo mimi, hawezi kua mwanadamu mkamilifu kama hawezi kua na madhaifu. Ili uwe kamili inabidi uwe na madhaifu kadhaa kama hayo aliyonayo D, Tuchukue yale yaliyo positive yenye kuigwa mambo negative tumuachie mwenyewe.

Samahani kwa hili lakini kuna watu wanaoshabikia au kuamini katika vitu Fulani nimekua nikiangalia uwezo wa ujengaji wao wa hoja na uelewa mpana wa mambo bila kufungwa ndani ya box ni mdogo mno. Watu hao ni wanaomuamini nabii mke,watu wanaomuamini Yule mjumbe wa mwisho wa Mungu na mashabiki wa Alikiba watu hawa wanasikitisha mno. Mara nyingi hua nasema kua kuna vitu ili kuvifanya au kuviamini inabidi uwe na kiwango Fulani cha ujinga kichwani basi moja watu hao ndio mashabiki wa alikiba wakiongozwa na alikiba.

Hawa mashabiki karibia asilimia 80% vichwa vyao vipo kama nazi, unajua nazi ili upate yaliyomo ndani yake inabidi uipasue, basi ndivyo ilivyo kwa mashabiki wa alikiba ili aelewe na kufikiria nje ya boksi mpaka umpasue kichwa chake…Hawa watu ni Strong Closed mind haswa hawawezi kufikiri mbali ya kile wanachokiamini kua “alikiba ni msanii mkubwa na anasauti nzuri alishawahi kuimba na R Kelly”. Hua hawaoni zuri lolote la Diamond bali mabaya tu na hua hawaoni baya lolote la Alikiba, ukiwauliza sababu ya kumchukia Mondi utasikia eti anaimba matusi,nyimbo zake anakopi,haimbi za kuelimisha nk nk.

Ukiwaambia huyo asiyekopi wala kuimba matusi mbona hamshindi wanasema eti D ni freemason, anatungiwa nyimbo na freemason wengine huenda mbali zaidi na kusema kua d hua anafanya mapenzi na mama yake ndio maana anaendelea kua maarufu. Ukiwauliza kwani D ndio msanii freemason pekee wanasema yeye anacheo kikubwa kuliko. Inshort kila anayemchukia D huwezi kuta anamshabikia hata mr blue au jux lazima awe anamsabikia Alikiba.

Mashabiki wa Kiba acheni kuwa mashabiki lialia au mashabiki maandazi, kueni positive,fungueni bongo zenu muwe mnawaza nje box usikariri kitu kimoja kama Computer inavyojua 0 na 1 pekee. Mnajiabisha na kumuaibisha mnaemshabikia mnazidi kutuaminisha kua Anashabikiwa na mambumbumbu. Binafsi hainiingii akilini kua kipindi ulipokua mtoto ulikua na kiburi, mama yako unamtukana, gomvi, matusi hayakauki mdomoni hadi mama yako akanyoosha mikono na kuacha dunia ikufunze halafu leo uje usubirie Alikiba aimbe akufundishe tabia kwa kuimba vitu vya adabu, Aisee yaani mama yako kakushinda kukunyoosha tabia halafu leo uje umchukie diamond kua ameshindwa kuimba nyimbo za heshima ili unyoke tabia. Huo ni utahira na upumbavu kabisa. Kama ulishindikana kwa mama yako usitegemee kunyooshwa tabia na Diamond ua Alikiba kwa kisingizio eti wao ni kioo cha jamaii.

Wasanii wote wapo ajili ya kutafuta pesa waendeshe familia zao hata huyo alikiba mnaona anaheshima haimbii kwa ajii ya kutaka pesa ni kwakua kashindwa kuugeuza mziki wake ukampatia pesa anazozihitaji. Alikiba anazihitaji sana pesa kutoka kwenye muziki basi tu anashindwa afanyyeje ili aweze kuzipata maana hajui biashara wala kuhendo mashabiki wake. Siku akijishusha akaenda kwa D kupigwa msasa jinsi ya kupiga pesa kwa muziki, kwa kipaji kile alichonacho atapiga hela sana. Kiburi kinamponza anakufa kwa kinyongo na chuki.

Guys amkeni, achene kua negative.
 
93136321_2864238250361112_4294511475084983826_n.jpg
 
Why waste energy and time kwa 'no body'??

Why waste energy and time kwa wenye IQ ndogo ambao hawatakuelewa na IQ zao ndogo? Umewaongezea IQ ili wakuelewe??

Wewe ni mbinafsi ndio maana unaanza na kusema mimi hivi, mimi vile...who cares?

Hao wenye IQ ndogo chukulia kama sisimizi, siafu , mende au panya wanaokimbilia mzoga ambao ni Ali Kiba....they enjoy na kuwa na maisha yao kwenye ...Empire yao ya Wenye IQ ndogo. Yaani leo ukikuta sisimizi wanagombaniana mzoga unaanza kuwafukuza kwenye mzoga wao? Ukiwafukuza si wanarudi tena? Nani anaonekana ana akili?

Best way wewe muue ali kiba ili hao sisimizi wasimfuate

Haujajua IQ ndogo ya mama yako ilimkubali baba yako ukazaliwa wewe, mama yako angekuwa na IQ kubwa angezaa na bill gate au Mengi... Na kamwe usingekuwa na ID fake humu

Waache watu na maisha yao

Kuna jux, marioo, barnaba, harmonize, dulluz fid q, nandi, ruby, aslay kibao na hawa wote wana wapenzi wao...mpaka amber ruty, gigi money na wewe ukianza leo na sauti yako ya kishoga..utapata mashabiki...hatutawaita wana IQ ndogo when the word 'love' is involved

Umechemka na ukae kimya...ukitaka kuponya nafsi yako
 
Mara hoo Diamond
1.Jamaa ana roho mbaya anapunguza views za wenzake.
2.Kalala na mama yake.
3.Kaishiwa ana kopi na kupasti.
4.Anawadhulumu watoto.
5.Ukifanya nae collabo anakuroga unapotea.
6.Nyimbo anatungiwa na wasanii wa label yake.
7.Ana Domo kubwa.
8.Anawaroga wasanii wenzake
.......

Ila uzuri hizi kauli hazimvunji moyo,anafocus ,anajituma na anaifanya kazi yake kwa uhakika na mafanikio yake yanaonekana na anazidi kuwakera JEJE wiki hii ktk chart DJOUBA Trace za nyimbo za AFRICA inashika no 3.
 
Diamond

😂😂
 
Naungana na wewe mtoa mada. Kwa ufupi mashabiki wengi(sio wote) wanaomshabikia ni wale walioshindwa kuwa mashabiki wa Diamond iwe kwa uzuri au ubaya. Nashangaa mtu anadai Ali Kiba haimbi matusi ila ndio huyo huyo anayemdhalilisha mke wake kwa kuwa na mahusiano na mwanamke mwingine. Mwisho wa siku wote ni wasanii wanaoiwakilisha nchi tuwape support ili soko lipanuke wengine wafanikiwe. Tuwe kama mashabiki wa mpira upinzani unaosisimua.
 
Why waste energy and time kwa 'no body'??

Why waste energy and time kwa wenye IQ ndogo ambao hawatakuelewa na IQ zao ndogo? Umewaongezea IQ ili wakuelewe??

Wewe ni mbinafsi ndio maana unaanza na kusema mimi hivi, mimi vile...who cares?

Hao wenye IQ ndogo chukulia kama sisimizi, siafu , mende au panya wanaokimbilia mzoga ambao ni Ali Kiba....they enjoy na kuwa na maisha yao kwenye ...Empire yao ya Wenye IQ ndogo. Yaani leo ukikuta sisimizi wanagombaniana mzoga unaanza kuwafukuza kwenye mzoga wao? Ukiwafukuza si wanarudi tena? Nani anaonekana ana akili?

Best way wewe muue ali kiba ili hao sisimizi wasimfuate

Haujajua IQ ndogo ya mama yako ilimkubali baba yako ukazaliwa wewe, mama yako angekuwa na IQ kubwa angezaa na bill gate au Mengi... Na kamwe usingekuwa na ID fake humu

Waache watu na maisha yao

Kuna jux, marioo, barnaba, harmonize, dulluz fid q, nandi, ruby, aslay kibao na hawa wote wana wapenzi wao...mpaka amber ruty, gigi money na wewe ukianza leo na sauti yako ya kishoga..utapata mashabiki...hatutawaita wana IQ ndogo when the word 'love' is involved

Umechemka na ukae kimya...ukitaka kuponya nafsi yako
Loud and clear.
Mjuba hujionaga yeye ako na IQ kubwa sana, unaeza dhani yeye ni watu moja ya watu wakubwa waliofanikiwa duniani. Sema tu ni ID fake mwenzetu ingekua real ningejifunza kwake ni kwa kiasi gani ameweza kutransform IQ yake into money.
Ila kwa bahati mbaya ukute ni mtu fulani kapanga geto tabata alafu anakuja kudharau watu wana IQ ndogo.
 
Why waste energy and time kwa 'no body'??

Why waste energy and time kwa wenye IQ ndogo ambao hawatakuelewa na IQ zao ndogo? Umewaongezea IQ ili wakuelewe??

Wewe ni mbinafsi ndio maana unaanza na kusema mimi hivi, mimi vile...who cares?

Hao wenye IQ ndogo chukulia kama sisimizi, siafu , mende au panya wanaokimbilia mzoga ambao ni Ali Kiba....they enjoy na kuwa na maisha yao kwenye ...Empire yao ya Wenye IQ ndogo. Yaani leo ukikuta sisimizi wanagombaniana mzoga unaanza kuwafukuza kwenye mzoga wao? Ukiwafukuza si wanarudi tena? Nani anaonekana ana akili?

Best way wewe muue ali kiba ili hao sisimizi wasimfuate

Haujajua IQ ndogo ya mama yako ilimkubali baba yako ukazaliwa wewe, mama yako angekuwa na IQ kubwa angezaa na bill gate au Mengi... Na kamwe usingekuwa na ID fake humu

Waache watu na maisha yao

Kuna jux, marioo, barnaba, harmonize, dulluz fid q, nandi, ruby, aslay kibao na hawa wote wana wapenzi wao...mpaka amber ruty, gigi money na wewe ukianza leo na sauti yako ya kishoga..utapata mashabiki...hatutawaita wana IQ ndogo when the word 'love' is involved

Umechemka na ukae kimya...ukitaka kuponya nafsi yako

mnhhhhhhhhh mkuu this is harsh..
 
Mkuu umemaliza...huyu jamaa hata ilo jina analotumia halimfai Da'vinci Og alikuwa hawazi kuandika pumba kama hii aliyoandika huyu

Why waste energy and time kwa 'no body'??

Why waste energy and time kwa wenye IQ ndogo ambao hawatakuelewa na IQ zao ndogo? Umewaongezea IQ ili wakuelewe??

Wewe ni mbinafsi ndio maana unaanza na kusema mimi hivi, mimi vile...who cares?

Hao wenye IQ ndogo chukulia kama sisimizi, siafu , mende au panya wanaokimbilia mzoga ambao ni Ali Kiba....they enjoy na kuwa na maisha yao kwenye ...Empire yao ya Wenye IQ ndogo. Yaani leo ukikuta sisimizi wanagombaniana mzoga unaanza kuwafukuza kwenye mzoga wao? Ukiwafukuza si wanarudi tena? Nani anaonekana ana akili?

Best way wewe muue ali kiba ili hao sisimizi wasimfuate

Haujajua IQ ndogo ya mama yako ilimkubali baba yako ukazaliwa wewe, mama yako angekuwa na IQ kubwa angezaa na bill gate au Mengi... Na kamwe usingekuwa na ID fake humu

Waache watu na maisha yao

Kuna jux, marioo, barnaba, harmonize, dulluz fid q, nandi, ruby, aslay kibao na hawa wote wana wapenzi wao...mpaka amber ruty, gigi money na wewe ukianza leo na sauti yako ya kishoga..utapata mashabiki...hatutawaita wana IQ ndogo when the word 'love' is involved

Umechemka na ukae kimya...ukitaka kuponya nafsi yako
 
Mziki ni feelings, kama msanii anaimba na anatouch feelings zako kwa nini usimpende.
Suala la kumpenda mtu halipmwi na IQ.
Kila msanii kwa level yake anamashabiki wake wanaumukubali regardless of their carrier success.
Sio kila unachopenda wewe kinataste the same na kwa wengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom