USA yaonyesha uwezo mkubwa dhidi ya COVID-19

TensorFlow

JF-Expert Member
Feb 11, 2020
812
969
Taifa kubwa na lenye nguvu zaidi ulimwenguni, yaani USA linaendelea kuonyesha uwezo wake wa kimedani dhidhi ya janga la COVID-19. Jana kiranja mkuu wa Taifa hilo ametuma ujumbe kwenye mtandao wa Twitter kuwa adui asiyeonekana atakabiliwa hivi karibuni:

Ujumbe huo umefuatiwa na habari iliyochapishwa katika mtandao machachari wa Bloomberg kuwa Trump amesema Marekani itaisaidia Italy na pia kuzuia na kuondosha kabisa taarifa za kipotoshaji zenye nia ovu za mataifa ya kishenzi ya China na Urusi. Trump ameendelea kusema kuwa msaada huo wa madawa, kijeshi na kikosi maalumu cha kupambana na janga la corona vilevile utaonyesha ubabe wa Marekani dhidi ya Mataifa ya China na Urusi na kudhihirisha waziwazi kuwa Marekani ndiye kiranja wa dunia:

“coming to the aid of Italy will help fight the Covid-19 outbreak and mitigate the impact of the crisis, while simultaneously demonstrating United States leadership in the face of Chinese and Russian disinformation campaigns, lessening the risk of re-infection from Europe into the United States, and maintaining critical supply chains,” he said. -- Bloomberg - Are you a robot?

Pamoja na kutambua mtafaruku unaoweza kuzuliwa na waafrika weusi wenye rangi tatu -- yaani rangi za kichina, kiarabu na kiajemi, ujumbe tayari upo hewani.

See some references
 
Amechanganyikiwa sio mida ataongoza kwa idadi kubwa ya vifo maana anampumulia Italy taarifa mpaka saa tatu na dk 45 ya Leo.
Screenshot_20200411-094424.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona imeua kuliko vita vya ki nyuklia!!!!!!!!!
Yaani Mataifa yenye nguvu duniani kwa miaka kadhaa yanatengeneza silaha za maangamizi, lkn kwa corona wamesalimu amri. Oh Lord forgive us!!.
 
Huyu ndiye kiongozi hata katikati ya majanga anaonyesha ukomavu na sio kulialia.
Ukomavu gani? Bora huku kwetu kameitwa ka-korona, na hata kama hatuambiwi ukweli kuhusu vifo bado tutaendelea kujiamini. Sasa huko wanakufa watu zaidi ya 1500 kwa siku halafu anasimama mtu mmoja anaropoka "adui asiyeonekana atashindwa hivi karibuni"?! Wenye akili za kuku tu ndiyo watamuelewa.
 
Kwa sasa ameanza kupiga DUAAAA.UENDA AKAFANIKIWA ILA SIO KWA DAWA WALA MADAKTARI
Taifa kubwa na lenye nguvu zaidi ulimwenguni, yaani USA linaendelea kuonyesha uwezo wake wa kimedani dhidhi ya janga la COVID-19. Jana kiranja mkuu wa Taifa hilo ametuma ujumbe kwenye mtandao wa Twitter kuwa adui asiyeonekana atakabiliwa hivi karibuni:

Ujumbe huo umefuatiwa na habari iliyochapishwa katika mtandao machachari wa Bloomberg kuwa Trump amesema Marekani itaisaidia Italy na pia kuzuia na kuondosha kabisa taarifa za kipotoshaji zenye nia ovu za mataifa ya kishenzi ya China na Urusi. Trump ameendelea kusema kuwa msaada huo wa madawa, kijeshi na kikosi maalumu cha kupambana na janga la corona vilevile utaonyesha ubabe wa Marekani dhidi ya Mataifa ya China na Urusi na kudhihirisha waziwazi kuwa Marekani ndiye kiranja wa dunia:

“coming to the aid of Italy will help fight the Covid-19 outbreak and mitigate the impact of the crisis, while simultaneously demonstrating United States leadership in the face of Chinese and Russian disinformation campaigns, lessening the risk of re-infection from Europe into the United States, and maintaining critical supply chains,” he said. -- Bloomberg - Are you a robot?

Pamoja na kutambua mtafaruku unaoweza kuzuliwa na waafrika weusi wenye rangi tatu -- yaani rangi za kichina, kiarabu na kiajemi, ujumbe tayari upo hewani.

See some references
Screenshot_20200411-102853.jpg

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Naweza nikaelewa twit ya Trump, lakini nikiri tu kwamba nimeshindwa kuiona hata kuielewa mantik kwenye bandiko lako. Maana hata kama ni Propaganda, wenzetu hawana propaganda za akina Chakubanga.
 
Trump tatzo nae kazidi maneno, hasa kwenye mitandao, ndio maana maneno yake sikuhz watu wanayachukulia poa.
Screenshot_20200411-130748.png

Naona anakimbilia kwenye top of the table kwa vifo.
 
Taifa kubwa na lenye nguvu zaidi ulimwenguni, yaani USA linaendelea kuonyesha uwezo wake wa kimedani dhidhi ya janga la COVID-19. Jana kiranja mkuu wa Taifa hilo ametuma ujumbe kwenye mtandao wa Twitter kuwa adui asiyeonekana atakabiliwa hivi karibuni:

Ujumbe huo umefuatiwa na habari iliyochapishwa katika mtandao machachari wa Bloomberg kuwa Trump amesema Marekani itaisaidia Italy na pia kuzuia na kuondosha kabisa taarifa za kipotoshaji zenye nia ovu za mataifa ya kishenzi ya China na Urusi. Trump ameendelea kusema kuwa msaada huo wa madawa, kijeshi na kikosi maalumu cha kupambana na janga la corona vilevile utaonyesha ubabe wa Marekani dhidi ya Mataifa ya China na Urusi na kudhihirisha waziwazi kuwa Marekani ndiye kiranja wa dunia:

“coming to the aid of Italy will help fight the Covid-19 outbreak and mitigate the impact of the crisis, while simultaneously demonstrating United States leadership in the face of Chinese and Russian disinformation campaigns, lessening the risk of re-infection from Europe into the United States, and maintaining critical supply chains,” he said. -- Bloomberg - Are you a robot?

Pamoja na kutambua mtafaruku unaoweza kuzuliwa na waafrika weusi wenye rangi tatu -- yaani rangi za kichina, kiarabu na kiajemi, ujumbe tayari upo hewani.

See some references
Wewe uliendaka huu uzi ni kibaraka wa MAREKANI. Hata aibu Huna. Unamnukuu mtu ambae hata kipofu anaona kwamba kashindwa kufanya maamuzi sahihi thidi ya janga hili.
Kama wewe ni mtanzania hata uzalendo wako nautia mashakani sasa.
Kama unakuja hapa kueneza propaganda za MAREKANI basi hata nchi yako unaweza kuisaliti.

Uzalendo ni nini?
 
Ivi mliona ule uzi unao sadikika kua na kila dots za kuwa China ndio kaleta haka kacovid - 19!!?
 
Back
Top Bottom