Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Nilikutana na dada mmoja Mnigeria, katika maongezi nilimfahamisha kuwa mimi ninatoka Tanzania. Tulipozidi kuzoeana aliniambia kule kwenu kuna namba mbovu sana ya uchawi, nilimjibu kuliko nyinyi? Alisema sisi ni waropokaji tu lakini uchawi mnaujua nyinyi ila hamjitangazi.
Alinipa hadith fupi, kaka yake alikutana na binti wa Malawi wakiwa chuo, baada ya kuoana wameamuakujenga makazi Malawi. Yule dada alisafiri kutafuta maisha. Huko alikokwenda alituma maombi ya kuongeza viza Immigration ya Ughaibuni akapigwa refuse.
Alimpigia simu kaka yake huku analia kwani kaka ndiye alikuwa sponsor mkuu. Baada ya kuongea na mke wake kaka aliomba hiyo barua ya immigration barua halisi si photocopy, yenye saini na jina la mtoa maamuzi.
Barua ilitumwa Malawi, wifi aliipeleka kwa mtaalamu. Ilifanyiww utaalamu ile barua kwa siku saba. Katika mwezi ule ule yule dada alipokea barua kutoka immigrationa ya kubatili uamuzi wa awali. Maombi yake ya mwanzo yalikubaliwa na alipewa kibali cha kufanya kazi.
Siku hizi Afrika tuna mitume na manabii wengi sana, wanatenda miujiza mikubwana wanaabudiwa kuliko hata Yesu alipokuwa duniani.
Huwa ni ajiuliza hawa manabii wa Ujerumani na Marekani huwa hawana uwezo kama hawa manabii wetu wa huku SADC au hawa wakwetu wanahubiri na kufanya African Gospel?