uwekezaji

  1. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

    Mrembo na mwanamitindo Hamisa Mobetto na staa wa hip hop kutokea Marekani, Rick Ross wakijiachia Dubai kwa mara ya kwanza na kuweka wazi mahusiano yao. Kupitia Snapchat Hamisa ame-share picha akiwa amevaa t-shirt ya Rick Ross aliyokuwa amevaa wakiwa club.
  2. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond afanya uwekezaji mkubwa kwenye betting...Atambulisha rasmi Wasafi betting

    Diamond Platnumz msanii namba moja Africa ameendelea kuonyesha ubabe wake kwenye kila kona kuanzia muziki mpaka uwekezaji. Ametambulisha rasmi biashara yake mpya ya Wasafi betting. Ama kwa hakika vijana wapambanaji tuna mengi ya kujifunza kwa huyu living legend. Tunakiwa tupate hamasa kwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Upi ndio uwekezaji sahihi?

    Watanzania wenzangu naomba tufanye tafakuri hii ili kuona na kupima maono ya viongozi wetu ambao tumewapa dhamana ya kutuongoza na kutufikisha katiko mafanikio ya juu kwenye historia ya mwanadamu. Natambua kuwa kila mtu ndani ya nchi hii ana wajibu wa kulilinda, kilijengwa na kilitetea taifa...
  4. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuchochea uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuchochea uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne Novemba 16, 2021) wakati akifungua kongamano la biashara na uwekezaji kati ya...
  5. Stroke

    JamiiForums Tanzania Je, Uwekezaji wa Vietnam Katika Korosho Mkoani Mtwara una tija kwa Taifa letu?

    Inafahamika kwamba Vietnam ndiye mnunuzi mkubwa wa Korosho hapa nchini na muuzaji mkubwa wa zao hilo katika nchi za ulaya na Marekani. Katika mwaka 2019 alifanya biashara ya korosho yenye kiasi cha thamani ya Bilioni 3 za Kimarekani ( sawa na Shilingi Trilioni sita za Kitanzania) Katika siku...
  6. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa kulima Mpunga na kufanya usambazaji

    Habari wana JF, Kuna hii idea ningependa kujua moja mbili tatu. Natumaini itasaidia wengi humu. Kufanya uwekezaji katika kilimo cha mpunga kwa kununua ardhi, kuanza kulima, kufanya umwagiliaji, kuvuna, kuhifadhi, kuwauzia wateja wa jumla wataokuja shambani kwako na wewe mwenyewe kusambaza...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa China barani Afrika, waendelea kuchangia maendeleo ya uchumi na kuboresha maisha ya watu

    Katika miaka ya hivi karibuni ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukiendelea kuimarika, na kutoa mchango mkubwa kwenye maendeleo ya uchumi wa nchi za Afrika. Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, nchi mbalimbali za Afrika zimeonyesha kuwa na ongezeko madhubuti la...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kongamano la uwekezaji katika sekta ya misitu kufanyika Iringa Novemba 10 - 12

    Mkoa wa Iringa ambao una miliki 40% ya misitu ya nchini Tanzania unatarajiwa kufanya Kongamano kubwa la wawekezaji na wadau wa sekta ya misitu tarehe 10 hadi 12 Novemba 2021. Akizindua maandalizi ya Kongamano hilo Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh Queen Sendiga alisema ‘’ Mkoa wa Iringa ni kinara wa...
  9. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatujachelewa; tuwekeze kwenye Cryptocurrencies!

    Sitaki kuongelea bitcoin miaka 10 iliyo pita wala sitaki kuongelea the likes of etherium miaka kadhaa iliyo pita. Kuna coin ambazo zina huge potential na mpaka sasa zina bei nafuu kweli kweli! Mfano wa hizo coin (pamoja na bei tarehe ya leo 10/10/2021) ni kama ifwatavyo. 1. Matic Polygon (1.3...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Uwekaji wa nyumba za kupanga

    Wekeza kwenye upangaji wa nyumba kwa Ramani hii, unit mbili za apartment kila unit moja ina chumba kimoja self// nichek 0627571649
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Tanzania mradi wa Liquefied natural gas (lng) unahitaji "Amani" ya kiwango cha juu

    Bi. Jesca Kishoa, Mbunge. Kielelezo cha Amani Ulimwenguni mwa Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kufikia mwaka 2020 kiliorodhesha Tanzania 52 katika nchi 163, na alama 1.85, chini ya Senegal, Botswana, Ghana na Zambia. Mauritius ilikuwa nchi yenye amani iliyoshika nafasi ya 23 kwa alama 1.54...
  12. Priest_

    JamiiForums Tanzania Je, niwekeze kupitia JATU Company PLC?

    Kutokana na watu wengi kuniandikia kuniuliza kama ni salama kuwekeza pesa JATU company PLC. Nimeamua kufanya utafiti na maswali kwenye utafiti wangu yalikuwa kama ifuatavyo;- 1. Nani anaongoza JATU? 2. Je, ni biashara gani wanafanya? Pia hii biashara ni hatarishi kwa pesa yangu? 3. Je, nini...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye idea kuhusiana na hii kitu atupe elimu yake kidogo

    Kama kuna mtu aliwahi kuwasikia au mwenye uelewa mkubwa juu ya uwekezaji wa "UTTAMIS" naomba atupe elimu maana nasikia ni uwekezaji mzuri sana kwa malengo ya baadae na haijalishi kipato cha mtu
  14. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi kumi bora Afrika kwa uwekezaji. Tarajieni mafuriko ya wawekezaji

    RMB Bank wanasema Tanzania haikuvutia sana kuwekeza|Uwekezaji FY2018|19|20 lakini imesonga mbele,today is within "The Top Ten list" tutarajieni mafuriko ya wawekezaji " Hakuna kama Samia " Jarida maarufu barani Africa na duniani la" Business Insider Africa "limechapisha taarifa toka benki ya...
  15. Masibayi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwekezaji kwa ajili ya Mtiririko wa Pesa (Cashflow investment)

    Nukuu kutoka kwa Bibi; Uwekezaji kwa ajili ya mtiririko wa pesa unajikita katika kukupa kipato mara kwa mara. Hii ni tofauti na ule uwekezaji wa kuongeza mtaji ambapo bidhaa ikishaenda hupati hela mpaka ununue bidhaa nyingine tena. Funzo kutoka kwenye ranchi: Ukienda kuangalia ranchi za...
  16. Cainan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fursa za uwekezaji nchi wanachama wa Afrika Mashariki

    Habarini Wana EAC Mimi nmekuwa msomaji wa mada nyingi sana ambazo zimekuwa zikianzishwa katika section ya forum hii Kikubwa zaidi nilicho observe ni mashindano. Tz vs Kenya nyingi mno katika aspect tofauti ila kwa watu wapenda fursa au exposure katika eneo letu la East Africa kama vijana wenye...
  17. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji Tanzania ulikua mara sita zaidi katika kipindi kama hicho FY2020|21

    Nijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho "Hakuna kama Samia " Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 ilisajiliwa kati ya mwezi March na...
  18. vnn

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia Pekee ya Kuelekea mafanikio ni kufanya uwekezaji mkubwa katika ubongo wako vijana soma hii!

    Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! Kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
  19. vnn

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia pekee ya kuelekea Mafanikio ni kufanya uwekezaji katika Ubongo wako Vijana

    Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
  20. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utawala Bora ni nyenzo muhimu katika kukuza Uchumi na Uwekezaji

    UTAWALA BORA NI KICHOCHEO MUHIMU KATIKA KUKUZA UCHUMI NA KUVUTIA UWEKEZAJI Utangulizi. Nianze Makala haya Kwa kutoa tafsiri/maana ya utawala Bora ambao naumaanisha katika makala yangu hii ya Leo . Utawala Bora ni uendeshaji wa Serikali au taasisi unaofuata misingi ya...
Back
Top Bottom