Ningekuwa kiongozi mkubwa, leo hii serikali ya mkoa wa Kilimanjaro na baadhi ya idara wangepata misukosuko isiyosahaulika

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,502
2,046
Niliumia sana nilipomsikia yule mkulima wa kiholanzi aliyewekeza mabilioni yake kwenye kilimo cha maua na kuajiri zaidi ya watanzania 1200. Wakati juzi hapa niliona gazetini kuwa serikali ilitangaza nafasi 350 za kazi lkin waliojitokeza kuomba kazi walikuwa 22000.

Napata tabu sana kuelewa kwamba kama taifa sijui kama tunajua tatizo halisi tulilo nalo. No wonder bustani za mbowe zilifyekwa.

Inakuwaje mtu aliyekuja na mabilioni yake, ameyawekeza hapa kwetu, ameajiri watu wetu, ukizingatia changamoto kubwa ya ajira inayotukabili, amekuja kulima maua ili baada ya mauzo tupate fedha za kigeni idara za serikali zimeshindwa kumsikiliza hadi anafikia kukata tamaa.

Mbaya zaidi mimi nilidhani baada ya malalamiko yale ofisi zinazolalamikiwa zingefunga safari na kumfuata ofisini kwake ili kujua shida iko wapi na wamtatulie, badala yake wanasema aje ofisini kana kwamba hajawahi kwenda kwenye ofisi zao.

I wish I could be some body wale wahusika wa idara zote zilizohusika na upuuzi huu zingekuwa kwenye misukosuko mkubwa sana!
 
Kuna kazi kubwa sana inatakiwa kufanywa juu ya Watanzania hasa katika kuwabadili kifikra kuona uwekezaji wowote ni fursa katika maendeleo kutokana na kutengeneza ajira na kipato kwa jamii na Pia kuongeza mapato ya serikali
 
kam yule wa TIC anasema et anasubir aletewe malalamiko na huyo mwekezaji, kwann wasimfuate huko wakasikilize,
TRA ndio kabs wanajibu kama hawana mda
 
Niliumia sana nilipomsikia yule mkulima wa kiholanzi aliyewekeza mabilioni yake kwenye kilimo cha maua na kuajiri zaidi ya watanzania 1200. Wakati juzi hapa niliona gazetini kuwa serikali ilitangaza nafasi 350 za kazi lkin waliojitokeza kuomba kazi walikuwa 22000.

Napata tabu sana kuelewa kwamba kama taifa sijui kama tunajua tatizo halisi tulilo nalo. No wonder bustani za mbowe zilifyekwa.

Inakuwaje mtu aliyekuja na mabilioni yake, ameyawekeza hapa kwetu, ameajiri watu wetu, ukizingatia changamoto kubwa ya ajira inayotukabili, amekuja kulima maua ili baada ya mauzo tupate fedha za kigeni idara za serikali zimeshindwa kumsikiliza hadi anafikia kukata tamaa.

Mbaya zaidi mimi nilidhani baada ya malalamiko yale ofisi zinazolalamikiwa zingefunga safari na kumfuata ofisini kwake ili kujua shida iko wapi na wamtatulie, badala yake wanasema aje ofisini kana kwamba hajawahi kwenda kwenye ofisi zao.

I wish I could be some body wale wahusika wa idara zote zilizohusika na upuuzi huu zingekuwa kwenye misukosuko mkubwa sana!
Sasa kama hakufuata taratibu. Tufuate taratibu na tutii mamlaka .
 
Hiii ndo Tanzania sasa, wakati Rais anahangaika kutafuta wawekezaji, wale waliopo nnchini hamna anayewadhamini,,
 
Waafrica wengi tupo slow sana kwenda n kasi ya dunia ya kisasa, either tumesusa ama hatujitambui vizuri.
 
Sijui kwanini lakini nimekereks na hili jambo.
Serikalini kuna baadhi ya watu hawaelewi kabisa wako pale kwa ajili ya nani na nini.
 
Tatizo walioofisini hawana uchungu wa kutokuwa na ajira. Hawana uchungu wa nchi maana wanapiga deals, wanachofanya ni "mkono mtupu haulambwi" model. Wao wanaamini mwekezaji anatakiwa "kujiongeza" ili mambo yawe sawa.
Ofisi za serikali Tanzania ndio chanzo kikuu cha
1.Umaskini
2.Maradhi(sukari,pressure,ukimwi n.k)
3.Ujinga na ulimbukeni.
4.Ushirikina
5.Vifo na kushuka kwa life span
Ni ofisi ambazo hutatamani kuingia hata kidogo ukutani na wale kina Dada na mama wenye visuti au vijana na wazee waliochomekea ni watu wabaya mno sijapata kuona mahali
 
Niliumia sana nilipomsikia yule mkulima wa kiholanzi aliyewekeza mabilioni yake kwenye kilimo cha maua na kuajiri zaidi ya watanzania 1200. Wakati juzi hapa niliona gazetini kuwa serikali ilitangaza nafasi 350 za kazi lkin waliojitokeza kuomba kazi walikuwa 22000.

Napata tabu sana kuelewa kwamba kama taifa sijui kama tunajua tatizo halisi tulilo nalo. No wonder bustani za mbowe zilifyekwa.

Inakuwaje mtu aliyekuja na mabilioni yake, ameyawekeza hapa kwetu, ameajiri watu wetu, ukizingatia changamoto kubwa ya ajira inayotukabili, amekuja kulima maua ili baada ya mauzo tupate fedha za kigeni idara za serikali zimeshindwa kumsikiliza hadi anafikia kukata tamaa.

Mbaya zaidi mimi nilidhani baada ya malalamiko yale ofisi zinazolalamikiwa zingefunga safari na kumfuata ofisini kwake ili kujua shida iko wapi na wamtatulie, badala yake wanasema aje ofisini kana kwamba hajawahi kwenda kwenye ofisi zao.

I wish I could be some body wale wahusika wa idara zote zilizohusika na upuuzi huu zingekuwa kwenye misukosuko mkubwa sana!
Tatizo la nchi yetu ni rushwa na siasa chafu
 
Ofisi za serikali Tanzania ndio chanzo kikuu cha
1.Umaskini
2.Maradhi(sukari,pressure,ukimwi n.k)
3.Ujinga na ulimbukeni.
4.Ushirikina
5.Vifo na kushuka kwa life span
Ni ofisi ambazo hutatamani kuingia hata kidogo ukutani na wale kina Dada na mama wenye visuti au vijana na wazee waliochomekea ni watu wabaya mno sijapata kuona mahali
Right
 
Kabisa mkuu yaani huwa wanajionaga watakaa milelel..
 
Wapuuzi wa TIC wanasema eti tunasubiri tupate malalamiko yake!
This is stupidity, hivi kweli mnasubiri ofisini mmpate malalamiko?
Ujinga wa kiwango cha lami huu!
 
Tatizo kazi zao hazina KPI. Na ndio changamoto ya kuwapa wafanyakazi contract hadi muda wa ku stafu.

Wafanyakazi wa serikali waanze pewa short-term contract nafikiri tutaongeza ufanisi
 
Nenda jiranii ya KLM meru arusha mashamba ya Maua makubwà yaliyokuwa yameajiri watuwengi sasahivi watu wanakata majani yang'ombe na hamna kiongozi anayejali nakusumbua akili yalivyokufa
 
Back
Top Bottom