Tupo tayari kuisaidia nchi yetu kukuza uwekezaji kutoka nje (foreign direct investiment)

Michael Andrew Jr

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
219
665
Habari wakuu,
katika kuunga mkono juhudi za serikali za kuhakikisha tunakuza soko la uwekezaji nchini Tanzania, sisi vijana kupitia kampuni yetu ya BlU company ltd tunaongeza 'ubunifu' na maarifa katika nyanja mbali mbali lengo likiwa ni kumpunguzia muda na gharama mwekezaji kwa kiasi kikubwa sana katika hatua za mwanzo za uwekezaji, huduma zetu ni kama ifuatavyo.

1. huduma ya utafiti (research consultation)
mwekezaji atapata taarifa ya utafiti kwenye eneo atakalopendelea, iwe ni shughuli ya kilimo, uvuvi, viwanda nk

2. usaidizi wa upatikani wa vibali na vyeti (certificates and permits)
vibali vyote vinavyohitajika kisheria kama vile,
a) certificate of incorporation kutoka Brela for only 2 days
b) certificate of incentives kutoka TIC for only 7 days
c) labor and residence permits for directors and foreign employees

3. ushauri kwenye kodi (tax consultation)
4. All reports
n:b huduma zote hizi za usaidizi tunazitoa ikiwa mwekezaji atakua nje ya nchi au ndani ya nchi kwa uaminifu wa hali ya juu mno, kwa yoyote

UZOEFU

BLU company ltd tayari ina vijana wazoefu waliobobea kwenye fani za uhasibu na kodi, bima, masoko na uchumi. tukiwa tayari na uzoefu wa kazi wa miaka miwili.
kwa mawasiliano zaidi tucheki info@blugroup.co.tz au kwa namba ya simu 0715455649.
michael
with God it's victory
 
Back
Top Bottom