Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Jerlamarel

JF-Expert Member
Sep 14, 2021
498
1,000
Mrembo na mwanamitindo Hamisa Mobetto na staa wa hip hop kutokea Marekani, Rick Ross wakijiachia Dubai kwa mara ya kwanza na kuweka wazi mahusiano yao.

Kupitia Snapchat Hamisa ame-share picha akiwa amevaa t-shirt ya Rick Ross aliyokuwa amevaa wakiwa club.

MobetoRick.jpgMobetoRoss.jpg
 

reymage

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
2,573
2,000
Haya sasa wambea wote wa mjini wamehamia Dubai baada mdada wa mjuni aka slay Queen kwenda Dubai ka bataa ghafla bin vuu Jana mapichapicha yameanza yuko na msaani na mwanamuziki wa Kimarekani mzee baba Rick Ross full mahaba, mahabani, imepekekea mpk pages maarufu za umbea dunia km shaderoom chamber kumposi Mobeto na Huyo anaesadikika kua mpenzi wake mpya Rick Ross....
Mwanzo watu walidai kapelekwa na Yule mbunge wa kuleee kwa Mkoa wa ....kumbe mwenzao walaa yuko na new bebe duniani..

Mnaambiwa ukitaka kula nguruwe kula aliyenona. Naona Dada zetu wanatuwakilisha vzr kaanza vee mapesa ,sasa hivi Mobeto,sijui next ni nani...

R.I.P warumi...!!we fill the void....!!!
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,445
2,000
Hii ndio ile wanaita kudanga kwa weledi 😅..

Huyu mwamba kweli lazma aje kuwekeza zile billion 8 zake bongo kashafinyiwa kwa ndani na mtoto wa Tandale uswahilini!

Inaonekana kapata review kwa rotimi kuwa hizi ngozi za kibongo ni noma 😀
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom