uwekezaji

  1. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

    Awamu ile nyingine hadithi na porojo zilikuwa nyingi sana kuhusu viwanda, ila wakaishia kuaibika kwa kusema vyerehani na vijiwe vya uchomeleaji ni viwanda. Hilo halipo awamu ya 6, ni maneno na matendo kama inavyoonekana hapa chini. 👇
  2. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwekezaji katika Vipaji

    Watu wengi katika nchi yetu wanaishi maisha ya kawaida sana na ya kujutia sana huku wengi wao hawafurahii shughuli na kazi wanazozifanya. Lakini katikati ya watu wote hao kuna wengine bado huzunguka sana na bahasha zao wakiwa na elimu za juu kabisa bila mafanikio yoyote, na hata wakipata nafasi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika tulipotoshwa kuhusu Chifu Mangungo wa Msovero sio mjinga, Watanzania tuiombe familia yake msamaha na tumuenzi kama shujaa wa uwekezaji

    Chifu mangungo hakuwa mjinga, watanzania tulipotoshwa, tunapaswa kuiomba familia yake msamaha Kwa miaka mingi sana chifu mangungo ameendelea kuonekana kama mfano wa kiongozi mjinga hasa pale linapotokea swala la mikataba. Lakini je Mangungo alikuwa mjinga kweli? Chifu mangungo ni nani...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania WCB wako sahihi kuweka miaka 10 kwenye mikataba yao. Ni michache kwa uwekezaji wanaoufanya

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Leo nami nimeona nitie neno kwenye hili suala linaloendelea mitandaoni na nje ya mitandao kuhusu mikataba ya wanamuziki kwenye label ya WCB. Hii itasaidia watu wengine wasio na akili nyingi kama mimi kuelewa hili jambo. Maneno ya upotoshaji yamekuwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais asisitiza mambo mbalimbali ya kuzingatia kukuza uwekezaji na kuendeleza sekta ya utalii

    Makamu wa Rais, Philip Mipango, akiwa katika hafla ya kukabidhi magari ya kukuza Utalii, Mikumi, mkoani Morogoro amesema kutokana na wingi wa utalii unaoongezeka ni muhimu kwa wawekezaji wa ndani kuwekeza katika kujenga hoteli ili watalii wasiwe wanalala kwenye mahema mbugani Aidha amezitaka...
  6. Chode kanju

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania na uwekezaji kutoka Nje

    Tanzania Na Uwekezaji Kutoka Nje Katika kipindi cha zaidi ya mwaka cha Serikali ya awamu ya sita, Raisi Samia Suluhu Hassan amekuwa akifanya ziara katika baadhi ya mataifa mbalimbali barani Afrika, Ulaya, Mashariki ya kati, na Marekani. Miongoni mwa nchi alizozizuru ni pamoja na Marekani...
  7. tamsana

    JamiiForums Tanzania Nini kimetokea Prof. Kahyarara, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda kuwa RAS Geita?

    Kazi iendelee! Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS. Sijui nini...
  8. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwekezaji wa kumbi na maeneo ya starehe vijijini ni fursa kubwa kwa sasa na sio kilimo na ufugaji pekee

    Inafahamika kuwa kilimo na ufugaji ndio fursa pekee maeneo ya vijijini. Ni kweli ni fursa kubwa asilimia 98 ya wakazi waishio vijijini wanajishughulisha na kilimo pamoja ufugaji kuendesha maisha yao. Wanauza mazao na mifugo na kujipatia fedha nyingi wakati wa mavuno ,fedha zinakuwa ndani muda...
  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Miundombinu ya Arusha na Moshi inaleta aibu katika soko zima la utalii na uwekezaji

    Katika kipindi hichi cha mwezi wa sita hadi mwishoni mwa mwaka tumeshuhudia kabisa idadi ya watalii ilivo kubwa na inazidi ikiongezeka kadri siku zinavyozidi kwenda katika miji hii miwili ya kitalii. Ni aibu kwa mji wa kitalii kama Arusha na Moshi kuwa na aina ya masoko na vituo vya mabasi...
  10. mfumbilwa

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu juu ya uwekezaji wa Bondi

    Nimekuwa nikisikiasikia kuwa benki ya NMB inauza BONDI. Na watu hununua Bondi hizo. Naombeni kueleweshwa juu ya biashara hiyo kwa mwenye uelewa. Asante.
  11. Dit000

    JamiiForums Tanzania Wazo la uwekezaji

    Habari nimepata wazo la uwekezaji. Nimewaza hivi, nikiwa na eneo kubwa lililokandokando ya makazi ya watu halafu nikatafuta wataalamu wa ujenzi wakafanya usanifu wa shimo kubwa sana la kutunzia uchafu wa chooni . Kitu cha pili natakiwa kununua gari la kunyonya uchafu kwenye septic tank...
  12. Chipoku

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Unda kikosi kazi cha taifa kuhusu elimu tuitakayo Wizara ya Elimu iwe mbali na kikosi kazi hicho

    Kongole Mh.Samia Kwa Uwekezaji mkubwa katika Elimu Yetu Ila Usiruhusu Wizara Ya Elimu Kufanya Hili Kassim Mpingi Rufiji- Pwani Ni ukweli usiofichika Kwamba Mh. Rais Samia Amefanya Uwekezaji Mkubwa Kwenye Elimu Yetu Kuanzie Ile Ya Awali Mpaka Elimu Ya Juu. Wakati Mwalimu Nyerere Anaamua...
  13. Wisdom Flag

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji katika Photography

    Habari zenu viongozi, nina shida moja kwa wale ambao wanajua vizuri kuhusu swala la upigaji picha na vit vingine kam hivyo, naomben mnisaidie hata wa ushauri tu. Nilikiwa nina wazo la kuinvest katika upigaji picha chuoni, naomba mnisaidie vifaa vya msingi kuwa navyo ni vipi na bei zake...
  14. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania haina uwekezaji wenye tija kama Mataifa mengine yaliyoendelea

    Ukiangalia mataifa mengine utaona kwamba yamepiga hatua kubwa mno kimaendeleo kutokana na matumizi sahihi ya Rasilimali zao. Botswana na Nchi ya Falme za Kiarabu (UAE) especially Dubai au hata Libya utaona namna uwekezaji sahihi ulivyobadili kabisa maisha ya wananchi toka ufukara mpaka kuwa na...
  15. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake. -------- Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza kwenye sekta ya miundombinu, viwanda na utalii katika maeneo ya Igogo, Isamilo na...
  16. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 muhimu yanayokwenda kufanyika kuchochea uwekezaji nchini. Ahsante Rais Samia

    Je wajua serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeanza utekelezaji wa Kongani ya viwanda(Industrial Park) ya Kwala? Awamu ya kwanza inatarajiwa kukamilika ifikapo 2024. Ujenzi huu ukikamilika unatarajia kuwa na viwanda 200, kuzalisha ajira za moja kwa moja 100,000 na zisizo za moja kwa...
  17. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kufahamu Uwekezaji Wa Ardhi/Majengo Ambayo Ni Hatarishi Mwaka 2022

    Sio kila kiwanja kinaweza kukutengezea fedha. Sio kila nyumba ya kupangisha inaweza kukutengezea kipato kikubwa na kipato endelevu kwa kila mwaka. Kwa sababu hii, unahitaji kufanya tathmini kabla ya kufanya uwekezaji kwenye ardhi/nyumba. Kwenye somo hili nimekuandalia mambo ya msingi sana ya...
  18. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Yafahamu Makundi Sita (6) Ya Hatari Za Uwekezaji Kwenye Ardhi Na Majengo

    Wengi huamini kuwa kutawanya uwekezaji uhusisha kuwekeza mitaji fedha kwenye aina tofauti tofauti za bidhaa au huduma. Lakini hii sio kweli. Ni rahisi kutawanya uwekezaji kwenye hisa kwa sababu bei za hisa ni nafuu ukilinganisha na bei za ardhi na majengo. Kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi kumi bora za kufanya uwekezaji Afrika mwaka 2022 Tanzania imo

    Tovuti inayofuatilia muenendo wa biashara katika nchi za Afrika imetoa orodha ya nchi kumi za Afrika ambazo zinavutia zaidi kufanya uwekezaji kwa Mwaka huu. Katika orodha hiyo Misri inashika nafasi ya kwanza kama nchi kivutio kwa uwekezaji barani Afrika. Sambamba na hilo nchi ya Rwanda na...
  20. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana mwanaume mwenye umri 35 na kuendelea kukosa uwekezaji wa kuanzia millioni 30

    Huwa nashangaaga sana hivi muda wote huo wa miaka kumi ya utafutaji wako unakosa kuwa na asset zenye thamani ya pesa hizo Kwamba shetani kakuchukia sana kana kwamba anaona akikupa hivyo vitu utamsaliti. Au mnapata ndio starehe zimewazidi miaka 35 inakushindwa million 30 tu kweli halafu...
Back
Top Bottom