Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewashutumu Rwanda kwa kufanya shambulio la ndege isiyokuwa na rubani lililosababisha uharibifu wa ndege ya raia kwenye uwanja wa ndege katika mji muhimu wa mashariki wa Goma, ambao ni mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini.
Mapigano yamezuka katika siku za hivi...
Nimewaza na kuwazua, kwa muda sasa Simba imeweka kambi yake maeneo ya Mbweni na ni umbali mdogo sana kutoka uwanja wa Meja Generali Isamuhyo ulipo. Yaani umbali wake ni mdogo kiasi kwamba katika mechi inayokuja ya JKT vs Simba, Simba wanaweza kuamua siku ya mechi kutembea kwa miguu kutoka...
Ni hapo hapo Chato. Aliwajengea uwanja wa ndege ambazo hata nauli hawana, bado wanatumia punda. Pia baada ya kuwajengea uwanja huo, watoto wa wana chato wanaknya vichakani.
Kalemani atupishe, tangu JPM aondoke,hakuna alilofanya
Kwa wanaoangalia mechi ya Tabora utd vs Namungo watakubaliana na mimi. Hii mechi ni kama inachezwa kwenye jaruba la mpunga.
Mbaya zaidi mashabiki wa timu mwenyeji hamna. Sasa si bora ligi ichezwe kwenye viwanja bora vinne tu.
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.
Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa...
Haji ni kijana bado, sio mzee kivile, mwanamichezo na serebliti katika sport na kadhalika.
Hoja yangu ni kwamba ni kweli aliigusa 7 points katika division ya kwanza.
Labda nite maelezo mafupi kwa wenye talent, bahati njema ni kwamba hawa vipaji aka vipanga wamenizunguka nawafaham vyema. Mmoja...
Ndugu wana Jukwaa, juzi January 31 Rais Mama samia Alikua Nyamagana Mwanza kwaajili ya kugawa vizimba na mitumbwi ya kisasa kwa wavuvi zoezi ambalo lilifanyika kandokando ya ziwa victoria na baadae Mh Rais alikuja Uwanja wa Nyamagana kwaajili ya kuzungumza na wananchi waliokua wakimngojea Mh...
Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliuliza swali lililojibiwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile na kusema kuwa Serikali iko mbioni kujenga uwanja wa ndege wa daraja 2C
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia...
Akiwa Mwanza tarehe 30.1.2023 Rais na Amiri Jeshi Mkuu katoa maelekezo ya wazi ya kujenga jengo la abiria uwanja wa ndege na majokofu ya kuhifadhia samaki, nyama nk
Je, watendaji wakiwemo wakurugenzi, katibu mkuu na waziri wa uchukuzi Mbarawa hawatamwangusha Rais na kumchafua kanda ya ziwa...
"Kwa sasa Simba SC tutautumia Uwanja wa Azam Complex kwa Mchezo wetu dhidi ya Tembo katika Mechi ya ASFC Keshokutwa na Taarifa ya Simba SC itatumia Uwanja upi kwa Mechi zake za Ligi Kuu ya NBC na CAFCL itatolewa baadae" amesema Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally alipokuwa akiongea na Mtangazaji wa...
GENTAMYCINE nawaambieni hili mapema na Asubuhi hii kwakuwa tayari nimearifiwa na Chanzo Muhimu kuwa Ombi lenu la kwenda Zanzibar kuutumia Uwanja wa New Amani Complex kwa Mechi zenu za Ligi Kuu (NBC) na FA (ASFC) halitokubaliwa ila kwa Kuutumia kwa Mechi zenu za CAFCL mtaruhusiwa nyie na Yanga SC...
"Singida Fountain Gate FC tumeamua kuweka Kambi yetu hapa Fountain Gate Stadium ambayo zamani ilikuwa ni Gwambina ila kujiandaa na Mechi yetu ijayo huku huku Kanda ya Ziwa" amesema Msemaji wa Singida Fountain Gate FC Hussein Massanza
Chanzo: Sports Extra ya Clouds FM muda si mrefu (Usiku huu)...
Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda.
Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda.
Hata hivyo, walioweka bei hizi...
Kwema wakuu!
Mtanisamehe kwa wale wapenzi wa Mchezaji wa Mpira aitwaye Samatta. Lakini kiukweli tangu nimjue Samatta hasa akiwa ndani ya timu yetu ya taifa sijawahi kuona miujiza na ukubwa Wake.
Ukisikia matangazo ya kwenye Luninga na Redioni kumhusu Samatta amejengwa kwa namna ya mtu fulani...
Nina taarifa za ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka Oman ya kuchukua shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri Mbarawa kuwa shughuli za KADCO zimerejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni...
Mwishoni mwa mwaka 2023 ambayo ilikuwa Disema 27, rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi alifanya sherehe kubwa katika uwanja wa Amani, ikiwa ni moja ya mafanikio yake mengi makubwa tangu aingie madarakani mwaka 2020.
Sherehe hiyo ambayo ilikuwa ni mahsusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.