uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba mnaukataa uwanja wa chamazi mtakwenda wapi? Uhuru umefungwa ngoja tuone mtakimbilia wapi!

    Mashabiki wa mbumbumbu wanaupiga sana vita uwanja wa CHAMAZI kwamba auwapi matokeo wanayotaka kisa tu yanga anapata matokeo Kila akicheza pale, Sasa nawauliza uwanja wa uhuru umefungiwa mtakimbilia wapi? Mtaenda Zanzibar au mikoani? Mwisho wa siku akuna ujanja mtachezea CHAMAZI mtake msitake...
  2. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Uhuru Wafungiwa. Simba tafuteni Uwanja wenu wa Nyumbani..

  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Akagua Eneo la Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Jijini Arusha

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la Olmoth ambalo litajengwa uwanja mpya wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua watazamaji Elfu thelathini utakaotumika katika michuano ya AFCON 2027. Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekagua eneo hilo Desemba 15...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuambulia mashabiki watatu Yanga sc waamua kuweka kiingilio bure ili wajaze uwanja kama simba sc wanavyojazaga.

    Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea. Tatizo kubwa la yanga wanatamani kuwa kama simba hasa michuano ya kimataifa yaani caf champions league. Waneweka kiingilio bure kwa lengo la kuonyesha kuwa, na wao wanaweza kuujaza uwanja...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Uhuru sio rafiki kwa simba sc kupigania ubingwa ninani aliwachagulia? Bora watumie CCM Kirumba

    Ule uwanja una mapungufu mengi hata sijui ninani alipendekeza ,uhuru ni uwanja wa mazoezi sio ligi
  6. M

    JamiiForums Tanzania AZAM MEDIA tafuteni njia nzuri za kurecord mechi katika uwanja wa UHURU, angle mnazo-record ni za ovyo

    Mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matangazo yenu mubashara kutoka uwanja wa UHURU na kuangalia angles mnazorikodi mechi kwa camera zenu na kugundua kuwa hazimpi mtazamaji wa matangazo yenu ya mpira katika uwanja wa uhuru uwezo wa kuona mechi vizuri. Wito wangu kwa kampuni ya AZAM MEDIA ni kuwa...
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Umeme wakatika nchi nzima na kuacha abiria kwenye uwanja wa ndege wa JKIA wamekwama

    Wakati Tanzania ikishuhudia mgao wa umeme maeneo mengi ya nchi, huko Kenya hali ya upatikanaji wa umeme pia imekuwa kizingimkuti. Jana tarehe 10/12/2023 umeme ulikatika nchi nzima na kuathiri shughuri za uwanja wa Ndege wa JKIA, huku backup jenereta pia zikishindwa kuwaka hali iliopelekea giza...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas yapiga uwanja wa ndege wa Ben Gurion uliopo Tel aviv

    Hapo jana Hamas ilirusha mvua ya makombora kutokea Gaza kuulenga uwanja wa kimataifa wa Ben Gurion na kuasababisha taharuki kubwa. Taarifa ya kijeshi ya Israel imesema Iron Dome zilifanya kazi kubwa ya kuyadaka makombora hayo hata hivyo yalitua uwanjani hapo na ndege za abiria ama kupigwa au...
  9. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mpira wa kiafrika ni majanga huyu refa wa Medeama na Yanga kadhihirisha mipango ya nje ya uwanja

    Nilipata wasi wasi niliposikia kuwa wafanyabiashara wa mji wa Kumasi wameungana ili kuakikisha yanga atoki salama pale babayara stadium, na ilikuwa ni lazima yanga afie pale! Wasi wasi Wangu kumbe nilikuwa sahihi sana kwa kilichotokea uwanjani kwa refarii kumrudisha fadhira kwa waliomkarimu...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga ichukuliwe hatua kwa uharibifu iliyofanya juzi uwanja wa Mkapa

    Juzi katika mechi ya Yanga vs Al Ahly uwanja wa Mkapa, mashabiki wa Yanga waling'oa viti na kuwarushia mashabiki waliokuwa wanaishangilia Al Ahly. Inteligensia yangu imeniambia kuwa mashabiki wa Yanga walifanya hivyo baada ya kuudhiwa na kitendo cha mashabiki wa Al Ahly kuwasha moshi uliosambaa...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Draw na vipigo kwa mkapa na uhuru vitazoeleka, Ndumba mama ya Simba ilifukuliwa kipindi cha marekebisho ya uwanja

    Ni wazi kwambasimba inajibusti kwa nguvu za ndumba wakiwa uwanjani na mara kadhaa hufanya wazi wazi hata kama ni nje ya nchi. Ndumba mama ni roho ya ndumba zingine, bila ndumba mama ya Simba inakuwa ngumu ndumba zingine kufanya kazi kama zile za wachezaji kuvaa viunoni, wachezaji kutumwa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msanii Harmonize ‘Konde Boy’ alivyotibuana na Mabaunsa Uwanja wa Mkapa, ngumi zarushwa

    Inadaiwa Msanii Harmonize na team yake ya Konde Gang walienda VVIP kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026, wakati wa mapumziko, jana Usiku wa Novemba 21, 2023. Watu hao wakashuka kwa lengo la kuelekea Uwanjani inaaminika wlaitaka kwenda...
  13. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa mkapa

    Dar es Salaam, 2005 Ujenzi wa Benjamin Mkapa Stadium (Kwa Mkapa).
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita: Ukarabati Uwanja wa Amani Una Lengo la Kuufanya Ukidhi Viwango vya Kimataifa

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (SMZ) Mhe. Tabia Maulid Mwita amesema ukarabati unaoendelea kufanyika katika uwanja wa amani una lengo la kuimarisha na kuufanya kuwa wa kisasa na wenye kukidhi viwango vya kimataifa. Ameyasema hayo alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa...
  15. MSAGA SUMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Paa la uwanja wa ndege Nairobi linavuja kama nje

    Lawama kuhusu paa zinazovuja katika uwanja mkuu wa ndege wa Kenya Waziri wa uchukuzi wa Kenya na mamlaka ya viwanja vya ndege wamekabiliwa na shutuma mtandaoni kufuatia malalamiko ya kuvuja kwa paa kwenye vituo vya uwanja mkuu wa ndege wa Jomo Kenyatta. "Mmoja wa wanachama wa timu yetu...
  16. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Waliovamia uwanja wa ndege Moshi wapewa siku saba kuondoka

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameagiza kuondolewa mara moja kwa wananchi waliovamia na kujenga nyumba za kuishi ndani ya eneo la la uwanja mdogo wa Ndege uliopo Soweto Manispaa ya Moshi. Agizo alilitoa Jana mjini Moshi baada ya kukagua upanuzi wa uwanja huo unaotarajiwa kigharimu...
  17. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyasi uwanja wa Mkapa hazikuwahi kuwa hivi?

    Wajuzi naomba mnisaidie, Shida ni nini? Kwanini nyasi za pitch kwa Mkapa hazijawahi kuwa smart kama za wenzetu? Nini kifanyike?
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Baada ya Vuta Nikuvute Hatimaye KADCO Yakabidhi Uwanja wa Ndege Kilimanjaro kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA)

    Kiwanja cha Ndege cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) kimekabidhiwa rasmi kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (TAA) kutoka kwa iliyokuwa Kampuni ya Uendelezaji na Uendeshaji Kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro (Kadco) baada mkataba wa uendeshaji kukamilika Novemba 9, mwaka huu...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege wa KIA Sasa Kusimamiwa na TAA baada ya KADCO Kumaliza Muda wake

    UWANJA WA NDEGE WA KIA SASA KUSIMAMIWA NA TAA BAADA YA KADCO KUMALIZA MUDA WAKE Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa leo tarehe 11 Novemba, 2023 ameshuhudia na kusimamia Makabidhiano ya Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) uliokuwa chini ya KADCO ambao sasa utakuwa chini ya TAA...
  20. Life2

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke pia Simba waliwahi kuchangishwa fedha za kujenga uwanja.

    Labda nianze kwa kuuliza waliofika Bunju siku za karibuni vipi ule uwanja wa Simba umefika hatua gani ? nimependa kuuliza kwani ni uwanja ambao mashabiki walichangishwa fedha zao hivyo wana haki ya kufahamu kinachoendelea. Kwa mtu anayefikiri vizuri hapa tiyari utajua kosa la Simba lipo wapi...
Back
Top Bottom