Story za ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni danganya toto

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,130
7,899
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.

Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili. Tukifikia hapo hata uende kuhonga wanasiasa na watendaji wa halmashauri ni kazi bure tu. Ukiona Shirika la Bima la Taifa (NIC) wamekubali kufadhili mradi huu, jua haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kama ambavyo wanapoteza pesa za umma kwa kutoa pesa za wachezaji wa mwezi kwa katimu kasiko na mbele wala nyuma.

Namhusia CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) aanze mapema kutupia jicho kali mradi wa Bonde la Msimbazi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia ili kujihakikishia kuwa pesa za serikali zilienda kufanya yale yaliyokusudiwa badala ya kufadhili ndoto za alinacha za Deportivo de Utopolo.

Eneo lote ambalo zamani lilikuwa ni Uwanja wa Kaunda inabidi lichukuliwe na Serikali kwa ajili ya kupitisha maji na jengo lao libomolewe ili zijengwe kingo za kuzuia maji pamoja na bustani kama ambavyo mradi wa Bonde unavyotaka. Kama mko serious kwenye kutatua changamoto za mafuriko hatutakiwi kucheka na kima. Msituchanganye na hadaa zenu za uzinduzi wa jengo la miaka 40 iliyopita na viongozi wa Serikali waache kutumika katika hizi danganya toto.

Povu ruksa.
 
0 iliyopita na viongozi wa Serikali waache kutumika katika hizi danganya toto.

Povu ruksa.
Akili yako ni inasadifu mawazo yako yalivyo ya kimaskini, inaonekana wewe ndiye mwenye akili kuliko serikali na wataalamu wao waliopitisha mradi wa bonde la mto msimbazi!!!

Unataka wewe ukiwa maskini na wenzako wawe ivyo ivyo ni ujinga wa kiwango Cha lami, kwakuwa Simba aijulikani ata ofisi zao zilipo wamejaza machinga pale na uwanja wao wa mazoezi bunju ni Kama auna maana yoyote unataka na yanga iwe ivyo???

Uwanja utajengwa na ujenzi utazinduliwa hivi karibuni kwaiyo Kama unajinyonga ujinyonge vizuri ama kameze wembe kabisa ukafie mbali!

Chelsea kajenga uwanja juu ya daraja na chini maji yanapita yanga anashindwaje kujenga uwanja Kaunda?
Ujui ata sababu zilizofanya yanga wapambane kujenga uwanja pale unabaki kubweka bweka tu Kama mtu asiyejielewa!

Serikali wamewaruhusu baada ya jopo la wataalamu kufanya tathmini yao juu ya eneo lile na wamewaongezea eneo zaidi baada ya kujiridhisha namna ujenzi wa uwanja utavyokuwa Sasa wewe kolowizard moja unakuja na mawazo yako yaliyojaa umangungu kuleta porojo za kwenye vijiwe vya kahawa hapa!

Mkandarasi keshapatikana na wafadhiri wa mradi washapatikana ivyo kaa kwa kutulia usubili Kama utajengwa ama autajengwa wivu wa kike kike auwezi kukusaidia chochote!
 
Mangungu na Rage wamewaharibu watu wanahisi kila kitu ni kama wao walivyozea kuambiwa kwao. Ndugu Kolo wizard watu wenye proffesions zao wameenda kufanya survey, wamepoteza muda kwa kutathmini namna gani mradi unaweza tekelezeka na imeonekana inawezekana. Sasa wewe umekaa zako Igomelo unalima vitunguu unatuletea elimu yako ya stadi za kazi sijui mabustani, mara CAG akafanyaje.

Ndugu acheni kuishi huko kila siku tunawaambia Yanga imeshavuka huko inaenda mbele kama kauli mbiu isemayo Daima Mbele Nyuma Mwiko sasa nyie bado mnawaza kurudi nyuma. kaeni muone mambo yanavyokwenda huku hakuna Mangungu wala Jaribu tena
 
Umenichekesha sana, eti "Chelsea kajenga uwanja juu ya daraja na chini maji yanapita", ndio mnavyodanganyana huko vibanda umiza?
 
Mangungu na Rage wamewaharibu watu wanahisi kila kitu ni kama wao walivyozea kuambiwa kwao. Ndugu Kolo wizard watu wenye proffesions zao wameenda kufanya survey, wamepoteza muda kwa kutathmini namna gani mradi unaweza tekelezeka na imeonekana inawezekana. Sasa wewe umekaa zako Igomelo unalima vitunguu unatuletea elimu yako ya stadi za kazi sijui mabustani, mara CAG akafanyaje.

Ndugu acheni kuishi huko kila siku tunawaambia Yanga imeshavuka huko inaenda mbele kama kauli mbiu isemayo Daima Mbele Nyuma Mwiko sasa nyie bado mnawaza kurudi nyuma. kaeni muone mambo yanavyokwenda huku hakuna Mangungu wala Jaribu tena
Endeleeni kudanganywa ila nakupa za ndaaani, Deportivo de Utopolo inakuja kuhamia Bagamoyo, hayo majengo ya miaka 40 iliyopita mnayozindua leo kisa GSM kawaletea makochi yatabaki makumbusho tu pale. Ukijengwa uwanja pale nitafute nikurushie 100K fasta
 
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.

Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili. Tukifikia hapo hata uende kuhonga wanasiasa na watendaji wa halmashauri ni kazi bure tu. Ukiona Shirika la Bima la Taifa (NIC) wamekubali kufadhili mradi huu, jua haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kama ambavyo wanapoteza pesa za umma kwa kutoa pesa za wachezaji wa mwezi kwa katimu kasiko na mbele wala nyuma.

Namhusia CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) aanze mapema kutupia jicho kali mradi wa Bonde la Msimbazi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia ili kujihakikishia kuwa pesa za serikali zilienda kufanya yale yaliyokusudiwa badala ya kufadhili ndoto za alinacha za Deportivo de Utopolo.

Eneo lote ambalo zamani lilikuwa ni Uwanja wa Kaunda inabidi lichukuliwe na Serikali kwa ajili ya kupitisha maji na jengo lao libomolewe ili zijengwe kingo za kuzuia maji pamoja na bustani kama ambavyo mradi wa Bonde unavyotaka. Kama mko serious kwenye kutatua changamoto za mafuriko hatutakiwi kucheka na kima. Msituchanganye na hadaa zenu za uzinduzi wa jengo la miaka 40 iliyopita na viongozi wa Serikali waache kutumika katika hizi danganya toto.

Povu ruksa.
Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili yako ni inasadifu mawazo yako yalivyo ya kimaskini, inaonekana wewe ndiye mwenye akili kuliko serikali na wataalamu wao waliopitisha mradi wa bonde la mto msimbazi!!!
Unataka wewe ukiwa maskini na wenzako wawe ivyo ivyo ni ujinga wa kiwango Cha lami, kwakuwa Simba aijulikani ata ofisi zao zilipo wamejaza machinga pale na uwanja wao wa mazoezi bunju ni Kama auna maana yoyote unataka na yanga iwe ivyo???
Uwanja utajengwa na ujenzi utazinduliwa hivi karibuni kwaiyo Kama unajinyonga ujinyonge vizuri ama kameze wembe kabisa ukafie mbali!
Chelsea kajenga uwanja juu ya daraja na chini maji yanapita yanga anashindwaje kujenga uwanja Kaunda?
Ujui ata sababu zilizofanya yanga wapambane kujenga uwanja pale unabaki kubweka bweka tu Kama mtu asiyejielewa!
Serikali wamewaruhusu baada ya jopo la wataalamu kufanya tathmini yao juu ya eneo lile na wamewaongezea eneo zaidi baada ya kujiridhisha namna ujenzi wa uwanja utavyokuwa Sasa wewe kolowizard moja unakuja na mawazo yako yaliyojaa umangungu kuleta porojo za kwenye vijiwe vya kahawa hapa!
Mkandarasi keshapatikana na wafadhiri wa mradi washapatikana ivyo kaa kwa kutulia usubili Kama utajengwa ama autajengwa wivu wa kike kike auwezi kukusaidia chochote!
Inasikitisha sana, kuwa mtu hajafanya ata tafiti kujua kuwa kuna kiwanja huko Angola imejengwa baharini kabisa...wala mtu hajui kuwa shule ya sekondari Kibiti Rufiji imejengwa na Watu wa Cuba na maji yanapita chini.
Mleta mada ni mpiga domo tu yeye na field ya construction ni bingu na dunia.
 
Labda kwa kuongezea kutoka kwa wachangiaji walopita.. bonde la mto msimbazi na mradi unaodhaminiwa na benki ya dunia ambao upembuzi yakinifu umefanywa na kampuni kutoka uholanzi toka 2018.. lengo ni kufanya eneo la mto msimbazi kuwa eneo la kivutio..
Kwa mujibu wa upembuzi wao, baada ya mradi kukamilika itahitajika mvua inyeshe siku sita mfulululizo ndo maji yaweze kusambaa tena sio kwa kiwango kikubwa..
NB: WATANZANIA HATUJAZOEA MAMBO MAZURI HIVYO ENDELEA KUPINGA MPAKA UONE.
 
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.

Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili. Tukifikia hapo hata uende kuhonga wanasiasa na watendaji wa halmashauri ni kazi bure tu. Ukiona Shirika la Bima la Taifa (NIC) wamekubali kufadhili mradi huu, jua haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kama ambavyo wanapoteza pesa za umma kwa kutoa pesa za wachezaji wa mwezi kwa katimu kasiko na mbele wala nyuma.

Namhusia CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) aanze mapema kutupia jicho kali mradi wa Bonde la Msimbazi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia ili kujihakikishia kuwa pesa za serikali zilienda kufanya yale yaliyokusudiwa badala ya kufadhili ndoto za alinacha za Deportivo de Utopolo.

Eneo lote ambalo zamani lilikuwa ni Uwanja wa Kaunda inabidi lichukuliwe na Serikali kwa ajili ya kupitisha maji na jengo lao libomolewe ili zijengwe kingo za kuzuia maji pamoja na bustani kama ambavyo mradi wa Bonde unavyotaka. Kama mko serious kwenye kutatua changamoto za mafuriko hatutakiwi kucheka na kima. Msituchanganye na hadaa zenu za uzinduzi wa jengo la miaka 40 iliyopita na viongozi wa Serikali waache kutumika katika hizi danganya toto.

Povu ruksa.
mbele ya hela hakuna kinachoshindikana,labda shida iwe siasa za simba na yanga+uswahili lkn kujenga kitu kwenye mkondo wa maji sio shida kwa mainjinia wabobezi,WE WAHAKIKISHIE BAJETI YA MRADI KISHA WAACHE WAFANYE MAAJABU YAO
 
Endeleeni kudanganywa ila nakupa za ndaaani, Deportivo de Utopolo inakuja kuhamia Bagamoyo, hayo majengo ya miaka 40 iliyopita mnayozindua leo kisa GSM kawaletea makochi yatabaki makumbusho tu pale. Ukijengwa uwanja pale nitafute nikurushie 100K fasta
Athari za Rage, Mangungu na Try Again ndio zinaanza kuonekana sasa hivi. Pale uwanja utajengwa.

Time has a wonderful ways of proving us wrong. Tuendelee kula mtori
 
Endeleeni kudanganywa ila nakupa za ndaaani, Deportivo de Utopolo inakuja kuhamia Bagamoyo, hayo majengo ya miaka 40 iliyopita mnayozindua leo kisa GSM kawaletea makochi yatabaki makumbusho tu pale. Ukijengwa uwanja pale nitafute nikurushie 100K fasta
Iyo 100k kawarushie kwanza viongozi wako wajenge ofisi maana wanatangatanga tu kwenye ofisi za kanjibhai ndio maana akizira kidogo mnamkimbilia kumlamba miguu, wenzenu ofisi iyo hapo ya kisasa makao makuu ya klabu onyesheni ya kwenu Iko wapi?
 
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea muda wapenzi, mashabiki na wanachama wa Deportivo de Utopolo.

Pale Jangwani ni sehemu ya mkondo wa maji, hakuna Shirika au Kampuni yoyote ya Bima itaenda kukubali kudhamini mradi wa uwanja wa mpira eneo lile na bila Bima hakuna Benki itaenda kutoa pesa zake kuufadhili. Tukifikia hapo hata uende kuhonga wanasiasa na watendaji wa halmashauri ni kazi bure tu. Ukiona Shirika la Bima la Taifa (NIC) wamekubali kufadhili mradi huu, jua haya ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kama ambavyo wanapoteza pesa za umma kwa kutoa pesa za wachezaji wa mwezi kwa katimu kasiko na mbele wala nyuma.

Namhusia CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) aanze mapema kutupia jicho kali mradi wa Bonde la Msimbazi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia ili kujihakikishia kuwa pesa za serikali zilienda kufanya yale yaliyokusudiwa badala ya kufadhili ndoto za alinacha za Deportivo de Utopolo.

Eneo lote ambalo zamani lilikuwa ni Uwanja wa Kaunda inabidi lichukuliwe na Serikali kwa ajili ya kupitisha maji na jengo lao libomolewe ili zijengwe kingo za kuzuia maji pamoja na bustani kama ambavyo mradi wa Bonde unavyotaka. Kama mko serious kwenye kutatua changamoto za mafuriko hatutakiwi kucheka na kima. Msituchanganye na hadaa zenu za uzinduzi wa jengo la miaka 40 iliyopita na viongozi wa Serikali waache kutumika katika hizi danganya toto.

Povu ruksa.
Nakukumbusha tu waliwahi kutafuta wakandarasi wakawapeleka hadi kwenye kile kiwanja chao cha Kigamboni.

Nisaidie kuuliza vipi ujenzi wa ule uwanja wa kigamboni walioahidiwa umefika asilimia ngapi.

Mjumbe hauwawi.
 
Back
Top Bottom