TFF mpo mpo tu mnazunguka kwenye viti, huu uwanja wa Tabora haufai kuchezea ligi

man dunga

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
3,218
5,566
Kwa wanaoangalia mechi ya Tabora utd vs Namungo watakubaliana na mimi. Hii mechi ni kama inachezwa kwenye jaruba la mpunga.

Mbaya zaidi mashabiki wa timu mwenyeji hamna. Sasa si bora ligi ichezwe kwenye viwanja bora vinne tu.
 
Huo mstari wa mwisho imekuwa ndio maoni yangu mda wote hii ligi inatangwazwa muonekano ni muhimu
Mkapa uhuru Azam mkwakwani ccm kirumba na kagera vingetosha kwa mechi zote na ule wa Arusha au Manyara kama sikosei
 
Kwa wanaoangalia mechi ya Tabora utd vs Namungo watakubaliana na mimi. Hii mechi ni kama inachezwa kwenye jaruba la mpunga.

Mbaya zaidi mashabiki wa timu mwenyeji hamna. Sasa si bora ligi ichezwe kwenye viwanja bora vinne tu.
Sahihi
 
Uwanja mbovu sana ama nyadi ndegu sana shida nini ? Tuekezeni tuelewee
 
Kwa wanaoangalia mechi ya Tabora utd vs Namungo watakubaliana na mimi. Hii mechi ni kama inachezwa kwenye jaruba la mpunga.

Mbaya zaidi mashabiki wa timu mwenyeji hamna. Sasa si bora ligi ichezwe kwenye viwanja bora vinne tu.
Umeongea hoja nzuri sana kwenye aya ya mwisho... Ni bora ligi ikachezwa Dar tu.. ikizidi sana Dodoma na Tanga

Ama wafanye hivi, warekebishe jamuhuri Morogoro (kwa kuwaomba ccm), kisha mkwakwani Tanga, na Jamuhuri Dodoma, tutumie hiyo mikoa mitatu kwa ligi yote

Maana hawajui majukumu yao
 
Watakuambia timu zingine zitakosa mashabiki wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom