utumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tume ya maadili ya utumishi wa umma imeondoka na magufuli ?au Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake!

    Wakati wa magufuli watumishi wa umma walikuwa wanaitwa na tume ya maadili si tu kula kiapo Bali kuthibitisha mali wanazomiliki na upatikanaji wake ! Rais magufuli alikuwa mstari wa mbele kwa kujitokeza hadharani na kwenda tume kuhojiwa na kuweka wazi mali zake na upatikanaji wake ! Baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kilichofanyika jana katika usaili wa tume ya utumishi wa umma ni ubadhilifu

    Jana zimefanyika interview mbalimbali nchini kwa kada tofauti kwa njia ya mtandao. Lakini mtandao ulisumbua, kuna watu hawakusubmit kazi zao wakaambiwa na wasimamizi kuwa kazi zao ziko ziko submitted. Kuna watu walisubmit zikafail wakalog in wakapata muda wa kulog in wakakuta katika maswali 50...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wa Umma na Utawala hawasemi tatizo linalozuia vibali vya Uhamisho vya baadhi ya watumishi hata kama mwajili amesharidhia?

    Wizara hii imekuwa ni kero kubwa sana kwa Watumishi wa Umma hasa wanaofatilia vibali vyao vya uhamisho wakiwemo wale wa kutoka Taasisi mbalimbali kwenda TRA, imekua ni kasumba ya wahudumu wa ofisi ile kujibu mbovu watumishi hawa hasa wanapofika wizarani. Mfano mtu anatokea Geita, Katavi au...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini TRA wameficha majina ya waajiriwa wapya? Kuna siri gani? Huu ni utaratibu mpya wa Utumishi wa Umma?

    Huu ni utaratibu mpya wa kutoa ajira? Kwanini Majina ya waajiriwa hayawekwi hadharani? Kwanini watumiwe tuu Email? Mbona kweye usaili waliweka hadharani namba na wahusika wa Usaili? Kuna shida gani kuujuza Umma kuwa nafasi 500+ zimepata wahusika? Kuna shida gani TRA? Hapa chini ni waajiriwa...
  5. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Rais akishamaliza muhula wake ndio uwe ukomo wake kwenye utumishi wa umma

    Rais ni madaraka ya juu kabisa kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yeye ndiye mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Sheria ya Wastaafu inampa Rais unafuu mkubwa kuendelea kuhudumiwa na Hazina kwani pamoja na kujengewa makazi na serikali, anaokea mshahara 100% ya rais aliyepo...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mtu akiacha kazi bila sababu utumishi wa umma kisheria anastahiki alipwe mafao yake?

    Habari wanajamvi nilikua nauliza je mtu akiacha kazi utumishi wa umma bila sababu yoyote na kutoa taarifa anastahili kulipwa mafao yake
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe: Ili Mkurugenzi wa Halmashauri ateuliwe anatakiwa awe amefanya kazi miaka 12 Utumishi wa Umma

    "Nakupongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Hongera sana. Hii kwasababu una uwezo mkubwa sana na umetuheshimisha sana" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai. "Namshukuru Mheshimiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kuteuwa Wakurugenzi nje ya Utumishi wa Umma hakupaswi kufumbiwa Macho

    Kimsingi, hakuna teuzi yeyote anayofanya Rais isiyokuwa na masharti. Wakurugenzi ni watumishi wa umma ambao ni permanent and pensionable. Wanatambulika kwenye muundo wa utumishi wa umma. Na sifa za kuwa mkurugenzi ni kuwa angalau umetumikia managerial position ya ukuu wa Idara kwa miaka mitano...
  9. JamiiForums Tanzania Teuzi Mpya: Rais Samia na falsafa ya kimageuzi kwa Watumishi wa Umma

    Na Mwl Udadis, Buza kwa Lulenge Moja ya falsafa ngumu katika uongozi ni uwezo wa kuongoza watu kimageuzi. Rais Samia anaendelea kuiishi falsafa hii kwa weledi na umahiri wa hali ya juu. Nafasi za teuzi siku zote ni dhamana katika kuwatumikia watanzania, dhamana hii inaweza kukabidhiwa kwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tume ya utumishi wa umma

    Habari ya jumapili, naomba msaada kwa member yoyote ambae yupo tume ya utumishi wa umma au kama kuna mtu unamjua. Ninachangamoto, nimeonewa naomba nisaidiwe muongozo. Asante Mungu azidi kuwabariki.
  11. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri George B. Simbachawene Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora 2023/24

    Hotuba ya Waziri wa Nchi – Ofisi Ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George B. Simbachawene (Mb) kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Mwaka 2023/24
  12. JamiiForums Tanzania Kongamano la Wanawake Chuo cha Utumishi wa Umma, Singida

    MHE. MARTHA GWAU MGENI RASMI KWENYE KONGAMANO LA WANAWAKE CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA CAMPUS YA SINGIDA. Mhe. Martha Nehemia Gwau Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida amekuwa mgeni Rasmi kwenye kongamano la wanawake pamoja na kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma inafanya kazi nzuri: Isiingiliwe, mapungufu tuyaainishe ili wayarekebishe.

    Mazuri ya sekretarieti ya ajira kwenye utumishi wa umma: 1. Imejitahidi kuweka uwanja sawa kwa wote wanaotafuta ajira. Kama ni ugumu basi huo ugumu uko kwa wote!! Kinachotafutwa kwa sasa ni kutaka kuboreshwa uwanja kwa baadhi ya watu almaarufu kama "watoto wa wakubwa". Wanataka kuwapitishia...
  14. JamiiForums Tanzania Sarah Mwaipopo: Hakuna haki bila Uwajibikaji katika utumishi wa Umma

    HAKUNA HAKI BILA UWAJIBIKAJI KATIKA UTUMISHI WA UMMA Watumishi wapya kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu Mkuu wa Serikali wametakiwa kuwajibika ipasavyo katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa weledi kwa kuwa hakuna haki bila uwajibikaji katika Utumishi wa Umma. Hayo yamesemwa leo tarehe 4...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Utumishi wa Umma: Je, muda umefika sasa wa mwananchi kuwa na nguvu ya kisheria kumtoa mtumishi asiyewejibika ipasavyo?

    Mei mosi oyee! Ajira katika utumishi wa umma imekua ni ndoto ya wasomi na wasio wasomi wengi hapa nchini, wengi wa watu hawa hulenga ama kupata kipato na wengine kuhudumu kwa kutoa huduma takwa na wananchi. Serikali kwa kulitambua hilo imekua ikitoa ajira za muda mrefu ama muda mfupi lengo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tuwaelimishe vijana wanaoajiriwa sasa kwenye Utumishi wa Umma kuhusu haki na wajibu wao!

    Kwa kawaida Serikali huwa imejipanga vizuri sana inapokuwa imetoa kibali cha ajira kwenye utumishi wa umma kuhusu haki na stahiki za waajiliwa wapya. Lakini huwa kuna tatizo kubwa kwa watendaji watekelezaji wa adhima hiyo ya serikali hasa kuhusu eneo la haki na stahiki za waajiriwa wapya. Mara...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Janejelly James Ntate aomba Sheria za Utumishi wa Umma zilizopitwa na wakati zifanyiwe marekebisho

    Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amechangia bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora na kuiomba Wizara ifanye baadhi ya Sheria. Mhe. Ntate ameiomba Wizara ya Utumishi ikaangalie upya sheria...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Mama Janeth Magufuli amestaafu kazi katika utumishi wa umma? Kwa sasa anafanya kazi gani?

    Mama yetu Janeth Magufuli alikuwa mwajiriwa WA serikali Mwalimu; baada ya Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea Urais na baadaye Rais kazi ya ualimu ilisita japo kwenye utumishi WA umma sijui kama kuna kipengele kinachotoa ajira automatic Kwa mke wa kiongozi. Na kama kipo je ni ajira zote? Kutokana...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Utunzaji Kumbukumbu, nina uzoefu wa miaka 3

    Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu. Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo. Mwenye kuhitaji mtu wa kutunza kumbukumbu katika organization yake nipo tayari.
  20. JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa Kazini kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 23-11-2022 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…