Tume ya maadili ya utumishi wa umma imeondoka na magufuli ?au Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake!

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,106
2,895
Wakati wa magufuli watumishi wa umma walikuwa wanaitwa na tume ya maadili si tu kula kiapo Bali kuthibitisha mali wanazomiliki na upatikanaji wake ! Rais magufuli alikuwa mstari wa mbele kwa kujitokeza hadharani na kwenda tume kuhojiwa na kuweka wazi mali zake na upatikanaji wake ! Baada ya magufuli sijaona Tena rais na watendaji wake wakienda kuhojiwa na tume hiyo ! Nauliza tu kwamba mmeona Haina umuhimu au mmeamua Kila mbuzi akusanye awezavyo? Viongozi kwa sasa Wana ukwasi uliopitiliza !
 
Mama anawauliza watu wake "mbona mnakula saana? Mtavimbiwa..!! "" Hiyo tume ya maadili nao wanakula kwa urefu wakamba zao sasa watamuhoji nani? Ikiwa kila mtu anajipimia
 
Nimeona pesa inatafunwa sana kwa sasa
 
Back
Top Bottom