utumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nini Maana ya Kamishna katika Utumishi wa Umma?

    Katika Utumishi wa Umma,Kuna Watumiahi wanaitwa Kamishna...Kuna Kamishna wa Magereza, Uhamiaji, Kazi, Ustawi wa Jamii nk Je kwa nini viongozi Hawa wanaitwa Makamishna? Naomba kujua vigezo vinavyotumika kuwaita Makamishna?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa OR-Menejmenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

    kwako Mheshimiwa Waziri;Jenister Mhagama, Hongera kwa kuendelea kuaminiwa na kushika nyadhifa muhimu katika Kutenda maamuzi muhimu ndani ya serikali yetu ya JMT, dhumuni la Ushauri huu ni kuelezea mambo muhimu ili kuleta ufanisi kwenye utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi pasi na kuweka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Muda gani huchukua kukubaliwa kurudi kwenye utumishi wa umma?

    Ndugu waungwana, nakuja mbele yenu ili kuomba msaada wa haraka na nini nifanye mapema mwaka 2014 niliajiriwa kama mwalimu katika halmashauri moja hapa nchini Tanzania. Hata hivyo, kwa kupatwa na tatizo lililo nje ya uwezo wangu nilipata matatizo yaliyopelekea kuondolewa kwenye mfumo wa malipo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kizungumkuti cha Maslahi katika Utumishi wa Umma

    Maisha ya utumishi yananiacha hoi sana ikifika muda wa maslahi na utofauti baina ya taasisi na taasisi! 1. Kuna taasisi mishahara yao ni ya kawaida kabisa ya scale ya msajili wa hazina, ila ukija ktk posho na madokezo kwa mwezi watu wanakunja hadi milion 3 , 4 hadi 5!bosi hakatai dokezo mradi...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kwako Jenister Mhagama, Waziri wa Utumishi wa umma na Utawala Bora

    Kwanza naomba kukupongeza kwa kuendelea kuaminiwa kwako kutumikia serikakli yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia awamu ya nne hadi leo awamu ya sita hongera sana.Naomba kuzungumza na wewe leo wakati huu unapoenda kushika madaraka ya wizara mpya lakini kwa kweli nikili wazi kuwa kwako...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Utumishi wa Umma Kampasi ya Chato kipo eneo gani huko wilaya ya Chato?

    Mwenye uelewa kilipo chuo tajwa hapo juu tafadhali . Pia mwenye kufahamu aina ya kozi zitolewazo na chuo hicho na gharama za masomo. Niwatakie Xmas Njema
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya kikabaila na kibwenyenye katika utumishi wa umma ndio chanzo kikuu cha Rushwa na ufisadi

    Habari! Rushwa si tabia ya mtu ya kuzaliwa nayo, Rushwa inatengenezwa na mazingira. Hapa nazungumzia rushwa katika level ya utumishi wa umma. Kijana anaanza kazi ofisi ya umma analipwa laki 5 huku akibahatika kuona salary slip ya bosi wake anakuta imeandikwa 7 million. Na marupurupu juu. Hata...
  8. LICHADI

    JamiiForums Tanzania Hiki chuo cha Utumishi wa Umma mliosoma hapa kuna kutoka kimaisha kweli?

    Nimemleta mtoto wa ndugu yangu hapa kuripoti tawi lao la Mtwara, dogo alinyoosha dv 2 safi ila wamempanga kuanza cheti hapa. Ila kwa kweli sijui kama hichi chuo kipo vizuri kwa kweli au ndio mambo ya kupoteza muda tu.
  9. JOYOPAPASI

    JamiiForums Tanzania OR-Utumishi na Utawala Bora inavyotekeleza kwa vitendo ilani ya CCM na kurejesha tabasamu kwa watumishi umma/wananchi 2021

    OFISI YA RAIS UTUMISHI na UTAWALA BORA INAVYOTEKELEZA KWA VITENDO ILANI YA CCM NA KUREJESHA TABASAMU KWA WATUMISHI UMMA/WANANCHI 2021 . (HEKO Mhe. Waziri Mchengerwa) Na KASSIM MPINGI Rufiji-Pwani. Kwa muda mrefu kilio Cha watumishi wa umma kilikuwa ni kupanda madaraja, Kulipwa Malimbukizo ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Mathew Kilama kwa Kuteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma

    Ndugu Mathew Kilama, Wakati nakupongeza kwa kuteuliwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ningependa kukupa angalizo kuhusiana na utendaji usioridhisha wa Tume ya Utumishi wa Umma. Ningekushauli utafute threads humu JF kuhusu malalamiko lukuki ya utendaji mbovu...
  11. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Ajira za mkataba ndiyo suluhisho pekee la uhaba wa ajira nchini

    Kila mwaka wanavyuo wengi wana graduate na kurundikana mtaani bila ajira huku wakihangaika kutafuta ajira bila mafanikio. Serikali kama mdau wa ajira nchini inapaswa kuja na wazo la ajira za mkataba kama ifuatavyo;- 1.Kwenye utumishi wa umma: Mfumo wa ajira za maisha uondolewe yaani nesi...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Uzalendo haijawahi kupewa kipaumbele kwa viongozi wa juu katika Utumishi wa Umma

    Uzalendo ni hali ya kuwa tayari kufia masilahi ya wengi kuliko kutanguliza masilahi binafsi katika maisha yetu ya hapa duniani. Dhana hii inaweza kuwa na zaidi ya mtizamo wangu hasa katika maisha tunayoishi. Nitoe mtizamo wangu mdogo katika mabadiliko ya Baraza la mawaziri lililofanyika...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenye uraia wa nje wanateuliwa kushika nafasi za juu kwenye Utumishi wa Umma?

    Naomba kuuliza Watanzania wenzangu, kuna watu nawafahamu tulisoma nao nje wazazi wao wakiwa ni raia wa Tanzania. Lakini baada ya kukaa kwa muda walibadili uraia wakapata uraia wa kigeni na wakawa wakija nchini Tanzania wanakuja kama wageni. Wengi wao familia zao ni za wasomi waliopelekwa nje...
  14. Haji Mashaka Nassoro

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Utumishi wa Umma inasemaje kuhusu suala hili?

    Watumishi wa Drs la 7 walioondolewa kwenye utumishi wa umma mwaka 2017 halafu mwaka 2020 wakapewa barua rasmi za kusitisha ajira na kulipwa kiinua mgongo, likizo na nauli. Swali je, kati ya mwaka 2017 - 2020 Yani miaka mitatu kipindi "wanasota" kusubiri hatma yao kuna stahiki yoyote kisheria...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Utumishi wa Umma ni Useless tu kwa siasa za Tanzania

    Mtu hajawahi kuwa hata Mkuu wa Kitengo au Principal Officer au hata tu Senior officer kwenye Utendaji wa Serikali eti leo anateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji na anaenda kuwaongoza watu ambao wameshakuwepo kwenye nafasi za Ukuu wa Vitengo kwa miaka na miaka. Huyu mtu pengine hakuwahi hata kuwa...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais kuteua makada UVCCM kuwa Wakurugenzi ni kuvuruga Utumishi wa Umma

    Hawa ni baadhi ya vijana wadogo kabisa toka UVCCM walioteuliwa kuwa makurugenzi. KWA MUJIBU WA MEMORANDA YA FEDHA SERIKALI ZA MITAA(LGA) HAYA NDIO MAJUMKUMU MAZITO YA DED 1. Ensuring the existence of a formal and satisfactory system of financial administration; 2. Securing compliance with the...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na miaka 60 - 67 unaweza kuwa na ndoto za miaka 20 mbele?

    Nimekutana na mzee mmoja mstaafu katika kuongea nae nikagundua ana mipangilio ya miaka mingi mbele. Mosi: Ana eneo ekari 5-6 Kongowe ya Mbagala hapa ana ndoto ya kujenga shule. Pili: Ana eneo ekari moja Mabwepande hapa ana mpango wa kujenga nyumba za kupangisha. Tatu: Ana eneo ekari moja na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mwajiri kwenye Utumishi wa Umma atakubali cheti changu cha elimu ya juu nilichokificha

    MTU ANAHITAJI MSAADA WA MAWAZO, NA CASE YAKE NI KAMA ILIVYO HAPA Kama nilimaliza Degree yangu 2014, kisha mwaka 2016 nikasoma kozi ngazi ya cheti, na mwaka 2019 nikatumia elimu ngazi ya cheti kuomba kazi kupitia sekretariate ya Ajira, nikafaulu ule usaili na kupata kazi, na sasa nalipwa kama...
  19. ENANTIOMER

    JamiiForums Tanzania Sub-vote code 2208 ni ya kada gani katika utumishi wa umma?

    Habari ndugu zangu! Naomba kufahamu ni Kada ipi katika Utumishi wa Umma ambayo watumishi wake wanatumia sub-vote code 2208. Nakumbuka nilipokuwa mwalimu wa Shule ya Secondary nilitumia sub-vote code 5008 na ilionekana ktk salary slip yangu. Je, sub-vote code 2208 ni ya Kada ipi katika Utumishi...
  20. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunakusubiri kwenye U-DAS na Watumishi wa Umma

    Ilikuwa taratibu za kiutumishi kwamba vyeo vya kiutendaji wa kiserikali kama Katibu Wakuu wa Wiraza na Naibu wao, Katibu Tawala wa Mkoa na Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri ya Jiji, Manispaa, Wilaya na Miji kuwa ni Watendaji Wakuu au Waandamizi wa Utumishi wa Umma na sio wanachama wa vyama vya...
Back
Top Bottom