utumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mama Dorothy Gwajima: Tunu ya Utumishi wa Umma na Mlezi wa Jamii

    Ni saa mbili asubuhi jijini Dodoma. Simu ya mezani ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, inaita mara mbili mfululizo. Ni taarifa kutoka kwa wananchi zinaoeleza kuhusu mzozo wa kifamilia uliosababisha taharuki katika moja ya mtaa ya jijini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wasipewe kusimamia zoezi la uchaguzi mkuu October

    Habari wakuu Kumekuwepo na viashiria vya kutokuaminiana mapema tu kabla ya uchaguzi mkuu,imefikia hatua baadhi ya vyama vya siasa kuamua kususa. Kwanini ili zoezi wasipewe hawa jamaa ili kutenda haki??? Ili taratibu zifuatwe na kupata wawakilishi halali. N:b Job seekers wanawajua vizuri hawa...
  3. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 SI KWELI Mke wa Ndugai amejiuzulu utumishi wa Umma

    Naomba kujua kama ina ukweli wowote hii.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira ilitoa mwongozo wa kujitolea Kwa nafasi za ualimu. Je, imefikia wapi mbona kimya?

    Kuna siku Serikali kupitia sekretarieti ya ajira katika utumishi wa Umma ilitoa mwongozo wa kujitolea Kwa nafasi za ualimu - ajira za kujitolea serikalini kuanza kutumika julai 2025. Je, imefikia wapi mbona kimya na hakuna kinachoendelea?
  5. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole anageuka mbogo anapoulizwa maswali: Kinachomtesa ni kiapo chake cha utumishi wa umma, si barua

    Husika na mada tajwa hapo juu: Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema "Ee Mungu nisaidie" Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka mbogo pale anapoulizwa maswali magumu na waandishi wa habari hizi ni stress. mimi ninamshauri aombe...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Circular na waraka za utumishi wa umma kwanini zinafichwa?

    Habari Wana jamvi naomba kuuliza kwa wataalamu wa utumishi wa umma hususani Maafisa utumishi wa umma hivi Kuna haja gani ya kuficha waraka mbalimbali zinazowaongoza watumishi wa umma katika kudai haki zao kama vile uhamisho, kufanya recategorization, kudai malimbikizo ya mshahara na posho Ikiwa...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ni mgeni rasmi kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na Uzinduzi wa Mifumo ya Kidijiti

    Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na Uzinduzi wa Mifumo ya Kidijiti https://www.youtube.com/watch?v=w8fDR8FkBNo
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene akabidhi hatimiliki za ardhi wiki ya utumishi wa umma

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amewakabidhi wananchi watatu Hatimiliki za Ardhi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma. Baada ya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa tume ya Utumishi wa umma

    Ajira portal wanaendesha usaili ambao haujakidhi vigezo kuchuja wanaogombania nafasi. Kuna usaili ambao umefanyika jumamosi ya tar. 31/06 ambapo moja ya mwajiri ni makumbusho ya Taifa. Kwenya nafasi ya wahifadhi daraja la pili kulingana na tangazo mwombaji alitakiwa kuwa na shahada ya biolojia...
  10. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Ni nini kilikufanya uache ajira yako kwenye sekta binafsi uiingie Kwenye utumishi wa Umma ? Ni marurupu au Mikopo ?

    Habarini za Muda huu ndugu na Jamaa wa Jamvi letu pendwa la HHM. Baada ya salam ambayo utamaduni wetu watanzania kabla ya kuwasilisha Jambo kwa hadhira. Nimekuja na hiyo ajenda kufuatia msururu wa mawazo kichwani kwangu yakiigia na kutoka, mengine nikiyapatia majibu mengine siati majibu yake...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wastaafu Utumishi wa Umma kung'ang'ania ofisi

    Nimeshuhudia watumishi wa Umma mtaani kwetu ambao wamefikia umri wa kustaafu toka December 2024, February 2025 bado hawataki kukabidh Magari ya kazini wala ofisi zao. Mtu Hana Mkataba ila bado anaenda ofisin na kujihusisha kwenye maamuzi ya kiofisi kila siku na boss anavumilia huo upuuzi. Hii...
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania Dereva aliyefariki kwenye ajali iliyomhusisha Mkurugenzi wa TANESCO alistaafu mwaka jana, familia yathibitisha

    Imeelezwa kuwa dereva wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Muhajiri Haule, aliyepoteza maisha katika ajali ya gari iliyosababisha pia kifo cha Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, Gissima Nyamo-Hanga, alikuwa amestaafu utumishi wa umma tangu mwaka jana. Ajali hiyo ilitokea Aprili 13, 2025...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Kubadili fani katika utumishi wa umma

    Habari Wana JF naomba kuuliza . Je? Kunauwezekano wakubadili fani baada ya kuajiriwa ( mfano nimeajiriwa katika wizara ya mambo ya ndani katika fani ya electrical na badae nikaenda kuongeza elimu nikachukua fani nyingine ya electronics and telecommunications inauwezekano wakanibadilishia fani...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Umaskini ndani ya utumishi wa umma

    Habari Wana JF Sinamengi yakusema ila kama unapambana kitaa pambana usihangaike na ajira za serikalini utaumia, Hawa watumishi wa uma wanao vaa vizuri huku mtaani msiwaogope Wala msitamani maisha Yao wamejawa na stress hatari wanajutia kujingiza katika utumwa,wanajutia kuwa wavivu...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais, Utumishi imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu

    OFISI ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu kadiri ya maelekezo yaliyotoka kwenye Tume ya Utumishi wa Umma. Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Deus Sangu ametoa agizo hilo...
  16. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia mpe kazi Prof. Anna Tibaijuka, ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya utumishi

    Ushauri wangu kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia ampe tena kazi Prof Anna Tibaijuka kwasababu ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya utumishi akili kubwa kama hii isistaafu mapema Prof Tibaijuka ana uwezo mkubwa sana wa masuala ya utumishi vilevile anaweza kuwa kama mama mwenye busara Kwa miaka...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Meneja wa TRA Tanga kuipongeza CCM Kumteua Rais Samia kugombea Urais 2025 inaruhusiwa katika Sheria za Utumishi wa Umma na ni rukhsa Kikatiba?

    Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais...
  18. H

    JamiiForums Tanzania KERO Tume ya utumishi wa umma jirekebisheni kwenye mawasiliano

    Habarini, Imekuwa ni shida kuwasiliana na nyie kwani hamjibu baruapepe,simu na sms. Na hata hao watumishi wenu ambao wameweza kupata namba zao hawapokei simu zao. Huu ni utendaji mbaya na unakela sana kwani wananchi wenye shida wanahangaika sana kwa huduma zenu mbovu. Nashauri serikali...
  19. N

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Kozi ya Diploma in Pipe Works Oil an Gas Engineering wanapata changamoto katika Ajira Portal

    Kwa: Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, S.L.P 2483, Dodoma. YAH: OMBI LA KIBALI KWA WAHITIMU WA KOZI YA DIPLOMA IN PIPE WORKS OIL AND GAS ENGINEERING KUOMBA NAFASI ZA AJIRA ZA UFUNDI BOMBA Ndugu Katibu Mkuu, Kwa heshima na taadhima, mimi ni...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Chalamila kutumia askari (mlinzi wake) kwa suala binafsi la Mkesha wa Mwamposa baada ya muda wa kazi ni unyanyasaji kwa askari huyo, akemewe!

    Wakuu, Najua mtakuja na motoo kuwashukia askari kuhusu utekaji na mazonge yao mengine, hayo tuyaweke pembeni, hayahusiki kwenye muktadha huu. Hata kama kati yao wapo washenzi (ashakum) naamini wengi tunaweza kutestify kuwa wapo waliobora waliotuhudumia na kutusave pakubwa tulipopata majanga...
Back
Top Bottom