Kwa miaka zaidi ya kumi Sasa wanasiasa wamekosa nidhamu na weledi wa utoaji huduma katika ngazi tajwa.
Naamini watumishi wa Umma wengi hawafungamani na sana na vyama vya siasa, kwao wao kazi ndo msingi wa maisha. Wengi hawawazi kugombea Wala kujipendekeza kuteuliwa. Kuwateua vijana kutoka...
Hivi karibuni kuna mtumishi kahama kutoka Serikali Kuu kwa cheo cha mhasibu mwandamizi (Senior accountant-SA) akiwa ametumikia miaka 10 kwenye utumishi wa umma, baada ya miaka mitatu alikuwa anapanda kuwa Mhasibu Mkuu (Principal Accountant). je ni kanuni gani ya utumishi inatoa mwongozo wa kule...
Mwaka 2015 Magufuli alipoingia madarakani alipanua wigo wa uteuzi na kuapisha. Tulishuhudia akiteua waliokuwa makada wa CCM zaidi ya 200 na kuwapa nafasi za Ukurugenzi wa Halmashauri (DED) na wengine wakiwa na DAS ( maafisa tawala wa wilaya). Na kisha akawaapisha. Hii ilipelekea ma DED wengi...
Majuzi niliomba kuona waraka huu hapa hapa jamvini kwa bahati nzuri mdau mmoja kanitumia PM hapa nimeona kipengele cha 3.2.(i) si rafiki kwani kinamnyima stahiki zake mtumishi endapo mwajiri hatukuwa na busara kipengele kinasema
(I)malipo ya uhamisho hasa katika maeneo ya mjini yafanyike baada...
Wadau ambaye ana waraka huo naomba ashee na sisi hapa jukwaani au kama haupo ulishafutwa tunaomba basi huo waraka ambao umefutwa maana nimeona barua mtumishi kajibiwa hastahili kulipwa uhamisho wake kutokana na maelekezo ya huo waraka
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema watu wenye tabia ya kuunga mkono kila wakati ni wasaka fursa na hawana msaada wowote katika nchi.
Kipindi cha miaka mitano iliyopita tumeona tabia hii ya kusifia kila kitu ikikomaa na kufikia kiwango cha...
Taarifa sahihi ya watoto wa Mhe. JPM haijawahi kuwekwa wazi na pia yeye hakupenda kuingiza familia yake kwenye majukumu yake. Hadi Sasa ni vigumu kujua idadi ya watoto, majina yao pamoja na kazi wanaofanya.
Nichukue fursa hii kuhoji historia ya familia hii kwa kutaka kujua ina ukubwa gani na je...
Wale waliosahau kabla ya teuzi za Babu mamvi pale Ledger Plaza 2015 mzee wetu alikua katibu mkuu wa Chama baadae kidogo akateuliwa kama Balozi kamili (Utumishi wa umma). So Bushlawyers msijisahaulishe. Mbona hamkupinga kipindi kile?
Kila mtu anajua kuwa mishahara ya watumishi wa umma ni midogo sana na kiuhalisia haikizi mahitaji ya kila siku.
Watanzania wengi wapo kwenye utumishi wa umma sababu tu ni ajira ya kudumu na ukiwa nayo kiasi fulani unaweza kupoza rim.
Hivi mtu anakuwa na net pay ya 350000 kwa maisha ya leo...
Wakati watu wanahimizwa kusoma tangu utotoni na kujiendeleza hata wakiwa makazini, ila ukweli ni kwamba, kusoma sana na kupata ma-degree mengi, sometimes huwa hakuna maana sana na hii ni kutokana na ulipaji wa mishahara serikalini kutegemea mtu anafanya kazi katika taasisi au shirika gani la...
Nimemsikiliza Profesa Kabudi akieleza nini Mtumishi wa Umma anapaswa kufanya, baadhi ya Mambo anayosisitiza ni pamoja na mtumishi wa Umma:
1. Kutii (obey) mamlaka iliyopo juu yake.
2. Kama ataki kuendana na mamlaka iliyopo juu yake aache kazi.
Katika karne ya sasa utii wa mamlaka za...
Updates ! Pia nitatumia uzi huu hapa, kuweka matangazo ya ajira kutoka Sekretarieti ya ajira(Utumishi) katika Ofisi ya Rais. 🙏
Pata majibu ya baadhi ya maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na wadau wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kupitia njia mbalimbali za mawasiliano wakitaka...
Kampasi ya Chuo cha Utumishi wa Umma tawi la kanda ya ziwa kitajengwa wilayani Chato, amethibitisha waziri wa utumishi wa umma George Mkuchika.
Kwa mujibu wa Mkuchika ni kuwa amejiridhisha kuwa Chato inazo sifa zote zinazoiwezesha kujenga chuo hicho ikiwemo ukubwa wa eneo unaoridhisha.
=======...
Wasaalam wakuu wa GT naamini mko salama na mnaendelea kupambana na majukumu ya kujiingizia kipato.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, mimi ni Mtumishi wa Umma ambaye natarajia ndani ya muda mfupi ni step down kwenye Utumishi wa Umma kutokana na kukosa muda wa kufanya mambo yangu binafsi ya...
Mapema Januari mwaka huu Waziri Mkuu alitoa ufafanuzii juu ya kile kinachoitwa bodi ya mishahara ilii kurekebisha mishahara iendane na elimu na ugumu wa kazi.
Leo ni Desemba hakuna tamko au chochote kipya.
========
Alhamisi, Januari 24, 2019
Majaliwa akutana na wajumbe wa Bodi ya Mishahara...
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu.
Baada ya kuona jitihada kubwa za Serikali kusimamia mapato na kukusanya kodi ikiwa ni pamoja na kutambua mchango wa wafanyakazi kutoka Sekta Binafsi na zile za umma, sasa ni muda muafaka awamu hii pia ijaribu kufikiria kama itafaa kufanya hivi:
Makampuni...
Afisa Mwandamizi Usimamizi wa Fedha kutoka Management ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ndugu Geofrey Timoth leo asubuhi katika Ofisi za Chama Cha Mpinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kwa kupitia chama hicho.
Tumemsikia mara kwa mara Rais Magufuli wakati akihutubia akisema kuwa maendeleo hayana vyama, akimaanisha kuwa serikali yake haina upendelo linapokuja suala la maendeleo ya nchi, kuwa kila mwananchi anayo haki sawa
Lakini, maneno hayo yana tofauti kubwa katika utendaji wake katika uteuzi wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.