Mara kadhaa viongozi waandamizi wa CCM wamesikika wakiwashauri Watanzania wasiwachague wapinzani katika nafasi ya Urais kwa madai kuwa vyama vya upinzani bado havijakomaa vya kutosha kuongoza nchi!
1. Hayo madai yana ukweli kwa kiasi gani?
2. Nchi inaendeshwa na wanasiasa au na utumishi wa...
Watumishi wa TRA wengi (sio wote) kila mmoja kwa kitengo chake hutumia nafasi hiyo kujipatia pesa kinyume na taratibu. Serikali inakosa mapato kwasababu watumishi wa TRA na taasisi zingine wako busy kutafuta pesa.
Mmoja wa watumishi wa TRA ambaye kafariki ninafahamiana naye kiasi cha kuweza...
CWT mkoa wa Mwanz kwa kushirikiana na maofisa kutoka waizara ya Utumishi wa Umma iliaandaa kliniki ya utatuzi wa changamoto za walimu jana 13, October 2024.
Badala ya kutatua changamoyo kilichotokea ni maafisa wa Utumishi Dodom kutoa ushauri tu na hakuna afisa aliyetatua changamoto hata moja...
Ningepewa nafasi ya kuhudumu kama mwajiri ningebadilisha taratibu zote za UTUMISHI wa UMMA kutoka kuwa ajira za kudumu mpaka mkataba wa mwaka mmoja.
Naamini hakuna anaependa kutumika maisha yake yote, hivyo wanaochoka nafasi hizo wawaachie wale wanaozitaka.
Hii itaongeza chachu ya utendaji...
Habari,
Tunaomba mtusaidie kupaza sauti kwenye uonevu unaoendelea kwenye ajira sekretarieti ya Utumishi kwa Umma.
Ajira zilizotolewa zimeshaanza kufanyiwa usahili ila kuna changamoto mbalimbali.
1. Mfumo kubadilisha sehemu ya mtihani, mfano umechagua Musoma mfumo unakuja kubadilika baadae...
Milio ni Mingi Wakuu!
Hapa Moja haisomi Mbili haikai. Yàani nimevurugwa kishenzi.
Harusi yàngu ni Mwezi huu. Alhamdulullah Watu wamechangachanga na tumefikia Asilimia 90% ya michango. Hapa bado nakimbizana na Suti yàngu àmbayo ñàona fundi nguo anataka kuniletea pigo za kiwaki. Mtu nimempa nguo...
Wakuu mbalimbali JF imekuwa msaada sana kutafta changamoto kiwasemea wasokuwa na sauti.
Kuna hii hapa, " bunge lililopita Mhe waziri wa utumishi Simbachawene, aliona kilio cha maelfu ya watumishi ambao wapo mikoa tofauti na wenzi wao, na akafafanua imechangia kuzorota Kwa usitawi wa jamii...
Dunia ya sasa ili upate fedha za kutosha kwa urahisi lazima ujue kuuza sura kwenye mitandao ya kijamii.
Ukijua kucheza na mitandao hulali njaa, huteseki na maisha.
Makampuni yatakutafuta usiku na mchana uweke sura yako na sauti yako kwenye biashara zao.
Mtumishi wa UMMA huwezi kucheza na social...
Dkt. Jeanne d'Arc Mujawamariya asimamishwa katika majukumu yake akisubiri uchunguzi kuhusu masuala ya Uwajibikaji kumalizika
Julai 25, 2024, waziri atafikishwa mbele ya bunge kujibu masuala kuhusu mwongozo duni wa mipango ya ardhi, upatikanaji wa maji, na mkakati wa kutatua tatizo la vyanzo vya...
Viongozi wanaohusika kusimamia watumishi wa UMMA jaribuni kuwatendea haki watumishi wenu, kupata barua ya uhamisho kutoka Wizara ya UTUMISHI imekuwa kero sana.
Taratibu za mtumishi kufuata ili kupata uhamisho zinawekwa na wizara lakini bado barua zinachukua zaidi ya miezi Sita (6) kutoka huko...
Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
Habari za asubuhi wanajamvi,
Samahani naomba kujuzwa ikiwa kanuni na taratibu za utumishi wa umma zinaruhusu Kwa waalimu kufanya biashara darasani Kwa wanafunzi anaowafundisha?
Kwa ufupi ni kwamba kuna shule moja ipo mkoani Morogoro, wilaya ya Morogoro DC ambapo mwezi January niliwahamishia...
Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
TANROADS YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA MILIONI 2 KATIKA KILELE CHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), imetoa msaada wa vifaa tiba katika kituo cha afya Segerea vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili.
Miongoni mwa vifaa vilivyotolewa ni pamoja...
WIZARA YA UTUMISHI WA UMMA INVYOWADHARAU WATUMISHI WA UMMA
1. Wizara ya Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa UMMA nna Utawala Bora ilitoa waraka au tuseme kibali cha upandishaji madaraja kwa watumishi wa Tanzania tarehe 28 Mei 2024
2. Wenye kichwa cha habari UPANDISHAJI WA VYEO [PROMOTION]...
Muhtasari
Moja ya lengo muhimu la kutunga Sheria ya Utumishi wa Ummaya Mwaka 2002 ni kutoa mpango kazi wa kutatua migogoro na kutoa kazi na majukumu pamoja na kuanzisha tume ya utumishiwa umma na mambo yanayoendana na hayo. Hii inamaanishakwamba Sheria ya Utumishi wa Umma ya 2002 ilikuja...
Wakuu naomba mtu atakayeweza kunipa connection pale ofisi ya utumishi wa umma. Nataka nipate mtu pale anisaidie kupush jambo langu la uhamisho/kubadili kada
Wizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu, upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo. Naomba wakubwa lifuatilieni hili watumishi wapate haki zao, janjajanja kibao ambazo hazina tija, inshort kuna uzembe wa wazi
Hivi karibuni yametolewa matamko mengi kwa watumishi kwamba KATIKA MWAKA huu wa fedha 2023/2024 unaoishia June hii 2024 watumishi wote watawekwa kundi Rika Ili wasitofautiane Madaraja kwa kuzingatia seniority.
Ndiyo maana maafisa utumishi kutoka HALMASHAURI zote nchini walielekezwa na mh...
Wakati wa magufuli watumishi wa umma walikuwa wanaitwa na tume ya maadili si tu kula kiapo Bali kuthibitisha mali wanazomiliki na upatikanaji wake ! Rais magufuli alikuwa mstari wa mbele kwa kujitokeza hadharani na kwenda tume kuhojiwa na kuweka wazi mali zake na upatikanaji wake ! Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.