utawala

  1. K

    JamiiForums Tanzania Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    Wakati Mheshimiwa Rais Magufuli akipigania maendeleo na kufanikiwa kuiingiza Tanzania kwenye uchumi wa kati kabla ya muda uliokuwa ukitarajiwa, jeshi la polisi wilayani Rombo limeendelea kulea na kushirikiana na wezi, wauza gongo, wauza bangi na wakabaji hali iliyosababisha wananchi wa vijiji...
  2. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Ukiacha awamu ya pili utawala wa mwinyi. Kila awamu iloyofuatia kuna hela imepigwa tena nyingi

    Wakati wa mkapa ilipigwa hela ya epa tukapiga kelele wee tukaambiwa hakuna wizi ushaidi ulipoletwa ukazimwa kisiasa ikapita. Mweshimiwa mkapa kaja kukiri juzi hapa kwamba kweli hela iliibiwa na ilitumika kwenye uchagizi 2005. Awmu ya nne ya mweshimiwa Jk ilipigwa hela ya escrow. Tulipga kele...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuongea katika mjadala wa kupinga 'JANGA' la utawala usiozingatia demokrasia 08 July 2020

    Tarehe 8 Julai kutakuwa na tukio la kujadili hali ya demokrasia kutoka kwa wanaharakati wakubwa wa demokrasia watu mbalimbali watakaoongea, ikiwemo Bob Wine wa Uganda na Tundu Lissu wa Tz Wengine watakaoongea ni Fadzayi Mahere wa Zimbabwe, Jeffrey Smith wa USA na Nic Cheeseman wa United...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa DRC: Mfalme Philippe wa Ubelgiji amtumia barua Rais Felix Tshisekedi na kuelezea majuto yake kutokana na utawala wao nchini humo

    Mfalme Philippe wa Ubelgiji ameeleza majuto yake kutokana na unyanyasaji uliofanywa na nchi yake wakati wa ukoloni Katika maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa DR Congo, Mfalme Philippe amesema hayo katika barua aliyoandika kwa Rais Felix Tshisekedi Ubelgiji ilikuwa Mtawala wa DR Congo kutoka...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Manufaa ya uongozi na muundo wa Utawala unaozingatia watu

    Wengi wamehoji kwamba serikali nzuri inajulikana kutokana na uwezo wake wa kutimiza mahitaji ya raia wake pamoja na kuzingatia matakwa ya watu. Lakini yamkini imethibitishwa kuwa utawala bora ni wazo ambayo wakati mwingi ni vigumu kuafikia kwa jumla. Walakini, kama inavyoonekana katika sehemu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Je, vifaa vya utawala wa Trump ni “Ubaguzi” na “Kuwajibisha pande nyingine”?

    Rais Donald Trump ametoa tena hoja ya ubaguzi ambayo imeleta ufuatiliaji wa vyombo vya habari. Katika mkutano mkuu wa kampeni uliofanyika jimboni Oklahoma, rais Trump ameipatia virusi vya Corona jina la ubaguzi “Kong Flu”, ambalo limeleta swali kwamba je, vifaa vya utawala wa Trump ni “Ubaguzi”...
  7. Dam55

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Watanzania wanaishi maisha ya hofu na mashaka katika utawala wa Rais Magufuli. Je, hili lina ukweli wowote?

    Nikiwa kwenye pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na makala fupi ya chombo cha habari maarufu Al Jazeera, katika makala hiyo wameeleza kuwa utawala wa Magufuli umeonyesha jitihada kubwa za kunyanyua Uchumi wa Tanzania lakini pia Watanzania hawako salama chini ya utawala wake. Masoud...
  8. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Kitendo cha Kangi Lugola kumfananisha Magufuli na Yesu, sio kwamba ni maono ya mwisho mchungu wa utawala wa Magufuli?

    Hii tafakuri imekaa kiimani zaidi, baada ya kangi Lugola kumfananisha Magufuli na Yesu Kristo. Nimejikuta najiuliza haya maswali na kwa kuangalia mazingira mapana ambayo taifa linapitia kwa sasa, inawezekana kabisa maneno ya Kangi Lugola yamebeba maono ya mwisho mbaya wa utawala wa Magufuli...
  9. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi...

    Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi... Inawezekana pesa zile zimekuwa za mtu binadsi sio mali ya umma. Kwenye mapato ya serikali hazipo
  10. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madaraka Day: Kenya yasheherekea miaka 57 ya Utawala, maadhimisho yatarushwa kupitia mtandao kutokana na janga la Corona

    Rais Uhuru Kenyatta leo anaongoza Wakenya kusherehekea maadhimisho ya miaka 57 ya Sikukuu ya Madaraka (Madaraka Day), ambapo kwa mara ya kwanza yatafanyika kupitia mtandao. Kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa CoronaVirus, wageni wachache wamealikwa kushiriki hafla itakayofanyika Ikulu jijini...
  11. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hili la Rais mstaafu Mkapa kufanyia vikao vya baraza la usalama la taifa mjini Dodoma enzi za utawala wake ni kuwa ikulu ya Magogoni haiaminiki!

    Miongoni mwa kauli nzito aliyotoa Rais mstaafu wa awamu ya tatu mzee Benjamin Mkapa ni kuwa enzi za utawala wake vikao vyote vya baraza la usalama la taifa vilifanyikia mjini Dodoma. Tafsiri yake ni kuwa kikao hiki kilikuwa kinajadili mambo ya siri za usalama wa nchi (Labda ikiwemo upotezaji)...
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Kama utawala huu utarudi madarakani 2020-2025 basi watanzania tujiandae kisaikolojia

    Poleni sana Watanzania wote napenda kutoa angalizo kuwa hali itakuwa tofauti sana endapo utawala huu utarejea madarakani. Kama ambavyo Marekani alishaonya kuhusu tume huru ya uchaguzi. 1: Huenda tukawekewa vikwazo vya kiuchumi hasa na taifa la Marekani. 2: Huenda wanasiasa watakaopigwa...
  13. Ahmed Omar_

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wapenda mabadiliko kutoka utawala wa dhulma kuelekea katika uongozi wa haki na heshima, tutoke tupambane, muda ni sasa!

    Leo ni ujumbe mahsusi kwa Wazanzibari wapenda mabadiliko hususan vijana. Napenda nichukue fursa hii kuwaambia kwamba mabadiliko hayaji ghafla na hayaji katika sahanini. Mabadiliko yanapiganiwa, kwa gharama kubwa na mara nyengine kwa muda mrefu. Ukoloni wa Kireno Zanzibar ulidumu kwa takriban...
  14. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kuongeza mishahara ya watumishi wa umma awamu ya utawala huu, alternative hii ingetumika

    Annual increament ni haki ya kila mtumishi wa umma kupata. Ila kwangu Mimi sioni impacts yake katika maisha ya sasa maana ni hela ndogo sana. Ningekuwa mimi mhe. Raisi wa Jmt ningechukua maamuzi ya kuwalipia madeni yote watumishi wa umma kwenye kila taasisi walikokopa particularly mabenki...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Hispania katika Afrika haukuacha majengo mengi kama walivyojenga Amerika y Kusini

    Katika kumbukumbu za ukoloni, sifa kubwa ya Hispania ilikuwa ujenzi. Walibuni na kujenga majengo ya kupendeza kama vile sifa ya Uingereza ilivyokuwa katika utawala bora. Katika Afrika, Hispania ilitawala Equatorial Guinea, mpaka sasa hivi Kispaniola ndiyo lugha rasmii ya nchi hii. Wakati...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kupunguza idadi ya nchi inazozipa misaada. Kigezo cha Utawala bora na Haki za binadamu kupewa kipaumbele

    Germany plans a shakeup of its foreign aid, limiting its "partner" list to 60 nations and dropping Burundi and Myanmar. Minister Gerd Müller says knock-out criteria will be corruption, rights abuses and poor governance. Germany is planning to heavily restructure its foreign aid agenda...
  18. cerengeti

    JamiiForums Tanzania Dalili za Utawala unaoelekea 'kaburini'

    Na Mwinjilisti Kamara Kusupa. DALILI ya kwanza na ya wazi ya utawala ulioshindwa ni ukatili. Utawala ulioshindwa kuiendesha nchi lakini bado uko madarakani ni lazima utatawala watu kwa ukatili mkuu. Dalili nyingine ya watawala walioshindwa kutawala lakini bado wakawako madarakani ili kusogeza...
  19. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Katika awamu zote za Utawala hapa Tanzania, Utawala upi kwako ni bora. Wa kwanza, pili, tatu, nne...

    Kwangu, orodha yangu napanga kama hivi: Wa kwanza: - Rais Ali Hassan Mwinyi. Huyu jamaa ni mwana sana, ndio maana bado anaishi hadi sasa sababu hakuwa na madhambi ya kijinga! Kwa mtazamo wangu huyu ndie aliyetoa nchi kwenye lock down ya kiuchumi. Wananchi walikuwa na mawe balaa enzi zake! Wa...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Ukiutazama Utawala wa Rais Magufuli kwa upande mwingine unatoa somo kali sana

    Mwigulu Nchemba wakati ni Waziri wa Mambo ya Ndani nilitoka nikamshutumu waziwazi kupotea kwa Ben Saanane, Mauaji Soweto na kuuawa kwa Police wetu kule Mbagala ila alianzisha uzi humu kunishambulia kwamba hakuna ninachokijua ila kama angejiongeza angejiuzulu kuliko kungoja kutimuliwa kama mbwa...
Back
Top Bottom