Utawala wa Hispania katika Afrika haukuacha majengo mengi kama walivyojenga Amerika y Kusini

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,587
215,182
Katika kumbukumbu za ukoloni, sifa kubwa ya Hispania ilikuwa ujenzi. Walibuni na kujenga majengo ya kupendeza kama vile sifa ya Uingereza ilivyokuwa katika utawala bora.

Katika Afrika, Hispania ilitawala Equatorial Guinea, mpaka sasa hivi Kispaniola ndiyo lugha rasmii ya nchi hii.

Wakati Hispania inatawala Equatorial Guinea, walijikita zaidi katika kilimo cha cocoa. Equatorial Guinea ilizalisha cocoa zaidi ya nchi jirani kama Ghana, Nigeria na Ivory Coast licha ya nchi hizo kuwa na ardhi kubwa kuliko Equatorial Guinea. Taarifa hizi zilitoka baadae sana kwani Hispania hawakuziweka wazi wakati wa utawala wake. Inasemekana walitumia utaalamu mkubwa katika kilimo cha cocoa.

Ugunduzi wa mafuta Equatorial Guinea ulitokea baada ya kupata uhuru wao kutoka Hispania mwaka 1968.

Amerika ya Kusini, Hispania ilitawala Cuba, Puerto Rico, Caribbean na nchi zote zinazoongea Kispaniola. Kumbukumbu walizoacha katika sehemu hizi nidini ya Ukatoliki na majengo nadhifu.

Majengo ya Equatorial Guinea pia ni tofauti ingawa inaonekana tangu Hispania ilipoondoaka miundo mbinu iliyoendelezwa ni michache pamoja na utajiri wao wa mafuta.

1588764758810.jpeg

Majengo ya ki historia yaliyoachwa na Hispania mjini Sao Paul

1588764926713.jpeg

Kanisa Katoliki Equatorial Guinea

Hispania pia ilitawala Philippines, jina hili lilitolewa kama zawadi na kumbukumbu ya mfalme wa Hispania wa wakati huo Mfalme Phillip.
 
Good history to pia kwa afrika walitawala sehemu ya moroko na jamhuri ya Sahara kipindi icho ikiitwa Spanish sahara
 
Katika kumbukumbu za ukoloni, sifa kubwa ya Hispania ilikuwa ujenzi. Walibuni na kujenga majengo ya kupendeza kama vile sifa ya Uingereza ilivyokuwa katika utawala bora.

Katika Afrika, Hispania ilitawala Equatorial Guinea, mpaka sasa hivi Kispaniola ndiyo lugha rasmii ya nchi hii.

Wakati Hispania inatawala Equatorial Guinea, walijikita zaidi katika kilimo cha cocoa. Equatorial Guinea ilizalisha cocoa zaidi ya nchi jirani kama Ghana, Nigeria na Ivory Coast licha ya nchi hizo kuwa na ardhi kubwa kuliko Equatorial Guinea. Taarifa hizi zilitoka baadae sana kwani Hispania hawakuziweka wazi wakati wa utawala wake. Inasemekana walitumia utaalamu mkubwa katika kilimo cha cocoa.

Ugunduzi wa mafuta Equatorial Guinea ulitokea baada ya kupata uhuru wao kutoka Hispania mwaka 1968.

Amerika ya Kusini, Hispania ilitawala Cuba, Brazil Puerto Rico, Caribbean na nchi zote zinazoongea Kispaniola. Kumbukumbu walizoacha katika sehemu hizi nidini ya Ukatoliki na majengo nadhifu.

Majengo ya Equatorial Guinea pia ni tofauti ingawa inaonekana tangu Hispania ilipoondoaka miundo mbinu iliyoendelezwa ni michache pamoja na utajiri wao wa mafuta.

View attachment 1441548
Majengo ya ki historia yaliyoachwa na Hispania mjini Sao Paul

View attachment 1441550
Kanisa Katoliki Equatorial Guinea

Hispania pia ilitawala Philippines, jina hili lilitolewa kama zawadi na kumbukumbu ya mfalme wa Hispania wa wakati huo Mfalme Phillip.
Brazil haikutawaliwa na Spain bali ilitawaliwa na Ureno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brazil haikutawaliwa na Wahispaniola

Brazil imetawaliwa na Wareno ila kifupi Amerika ya Kati na kusini ukiacha Brazil na Suriname basi Amerika ya Kati na kusini kumetawaliwa na Wahispaniola
 
... of course na Mexico, Texas, na New Mexico (USA).
Wakati huo kilimo cha miwa kwa uzalishaji wa sukari ndiyo ilikuwa habari ya mjini. Wahispania walikuwa wateja wakubwa wa biashara ya utumwa ili kupata nguvu kazi katika uzalishaji wa miwa.
 
... majimbo mengi ya Kusini mwa USA yalitawaliwa na Spain ambaye pia alitawala Mexico (nchi) iliyo upande huo huo wa Kusini mwa USA. In fact sehemu ya ardhi kusini mwa USA ilizua migogoro baina yake na Mexico.
USA alinunua land kutoka kwa Hispania. Kama si u one u malipo ya ardhi wasipewe natives anapewa mkoloni.
 
... Sure! Kama alivyonunua Alaska (1,723,337 sq. km. - almost twice of Tanzania) kutoka Russia (inasemekana by then was US$ 7,000,000). Pia Trump recently alianzisha mchakato wa kuinunua Greenland kutoka Denmark. Hawa jamaa kwa kununua ardhi wako vizuri.
 
Katika kumbukumbu za ukoloni, sifa kubwa ya Hispania ilikuwa ujenzi. Walibuni na kujenga majengo ya kupendeza kama vile sifa ya Uingereza ilivyokuwa katika utawala bora.

Katika Afrika, Hispania ilitawala Equatorial Guinea, mpaka sasa hivi Kispaniola ndiyo lugha rasmii ya nchi hii.

Wakati Hispania inatawala Equatorial Guinea, walijikita zaidi katika kilimo cha cocoa. Equatorial Guinea ilizalisha cocoa zaidi ya nchi jirani kama Ghana, Nigeria na Ivory Coast licha ya nchi hizo kuwa na ardhi kubwa kuliko Equatorial Guinea. Taarifa hizi zilitoka baadae sana kwani Hispania hawakuziweka wazi wakati wa utawala wake. Inasemekana walitumia utaalamu mkubwa katika kilimo cha cocoa.

Ugunduzi wa mafuta Equatorial Guinea ulitokea baada ya kupata uhuru wao kutoka Hispania mwaka 1968.

Amerika ya Kusini, Hispania ilitawala Cuba, Brazil Puerto Rico, Caribbean na nchi zote zinazoongea Kispaniola. Kumbukumbu walizoacha katika sehemu hizi nidini ya Ukatoliki na majengo nadhifu.

Majengo ya Equatorial Guinea pia ni tofauti ingawa inaonekana tangu Hispania ilipoondoaka miundo mbinu iliyoendelezwa ni michache pamoja na utajiri wao wa mafuta.

View attachment 1441548
Majengo ya ki historia yaliyoachwa na Hispania mjini Sao Paul

View attachment 1441550
Kanisa Katoliki Equatorial Guinea

Hispania pia ilitawala Philippines, jina hili lilitolewa kama zawadi na kumbukumbu ya mfalme wa Hispania wa wakati huo Mfalme Phillip.
Kosa moja kubwa umefanya ni kuwa brazil ilitawaliwa na ureno na sio hispania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... Sure! Kama alivyonunua Alaska (1,723,337 sq. km. - almost twice of Tanzania) kutoka Russia (inasemekana by then was US$ 7,000,000). Pia Trump recently alianzisha mchakato wa kuinunua Greenland kutoka Denmark. Hawa jamaa kwa kununua ardhi wako vizuri.

Dola Milioni 7.2, mnamo 1867
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom