utawala

  1. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini na utawala wa Dr John Magufuli

    Viongozi wa dini zote wanalojukumu kubwa la kujenga mioyo ya wanachi kwa kutekeleza yale Mungu anayoyataka na kuya acha yale Mungu anayokataza. Hili linathibitika katika dini ya Kiislamu tunapo ambiwa katika Quar-an takatifu kuwa litoke kundi miongoni mwenu litakalowaamrisha watu mema na...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tottenham yamtimua Pochettino na benchi lote la ufundi. Jose Mourinho ateuliwa kuinoa Klabu hiyo

    Klabu ya Tottenham Hotspurs imemfuta kazi Kocha wake Mauricio Pochettino mwenye miaka 47, baada ya kuiongoza timu hiyo kwa miaka mitano Taarifa ya timu inasema matokeo ya mwishoni kwa ligi za ndani msimu uliopita na matokeo ya msimu huu si ya kuridhisha Pochettino aliyeiongoza timu hiyo kufika...
  3. kibokomchapaji

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Nchi pekee ambayo wapinzani wanathubutu kunajisi Utawala wa Sheria

    Na Mwamba wa Kaskazini Nimefuatilia masuala kadhaa katika siku mbili hizi nikashindwa hata kushangaa. Tanzania mwezi huu inatekeleza kitendo kikubwa sana cha demokrasia ambapo wananchi watachagua viongozi wao wa ngazi za chini kabisa; aina ya demokrasia ambayo hata katika baadhi ya nchi za...
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Jinsi Utawala wa Rais Magufuli unavyoua ushawishi wa vijana ndani CCM

    Mwangalie Polepole wa utawala wa Kikwete na wa utawala huu, Mwangalie Nape alivyokuwa na ushawishi wakati akiwa Katibu Mwenezi na sasa, Mwangalie Mwigulu yule na huyu anayemshukuru Magufuli baada ya kupata ajali, Mwangalie January Makamba wa kipindi cha Kikwete na huyu anayeenda akiburuza miguu...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mambo 12 yanayoipasua Tanzania vipande vipande kutoka utawala wa awamu ya 5

    Kuna mambo mengi sana yanayo isambaratisha Tanzania kutoka utawala wa Magufuri, ila nitataja 12 tu; 1. Ni mropokaji kwa kuwa anapoongea hajali kadamnasi imayomsikia. Matusi ya nguoni ndiyo lugha yake ya kawaida. 2. Hapendi upinzani kwa kuwa akiruhusu atashindwa asubuhi. Ndiyo maana katumia hela...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Pale Gerezani Mukamira Rwanda wapo kila raia kutoka nchi zote A.Mashariki, hasa wakosoaji wakuu wa utawala na utalazimishwa kukiri kosa au kuuawa

    Pale Gerezani walinambia kwamba bora ukili kosa ama unauwawa hapa hapa, anasimulia mtekwaji "Nakumbuka ilikuwa usiku wa manane wakaja watu nisiowajua wakaingia Nyumbani kwangu, wakakagua simu yangu na mawasiliano nayofanya kwa kila mtu , bahati mbaya Sana walikuta nawasiliana na wanaharakati...
  7. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

    Habari wana jamvi, Kwa wale wakazi wenzangu wa Mbezi Beach, Kunduchi, Goba na watumiaji wa barabara ya Bagamoyo kwa ujumla bila shaka Mtakuwa mmekutana na huyu Kamanda wa Jeshi (Chief of Staff) ambaye kuanzia majira ya kila siku Asubuhi 12:30- 1:00 hutugandisha kwenye foleni kwa muda mrefu kila...
  8. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Tamko la Marekani kuhusu hali ya kisiasa, uminywaji wa sheria Tanzania

    U.S. Embassy Tanzania Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga...
Back
Top Bottom