CCM Music
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 1,036
- 1,782
Kwangu, orodha yangu napanga kama hivi:
Wa kwanza:
- Rais Ali Hassan Mwinyi. Huyu jamaa ni mwana sana, ndio maana bado anaishi hadi sasa sababu hakuwa na madhambi ya kijinga!
Kwa mtazamo wangu huyu ndie aliyetoa nchi kwenye lock down ya kiuchumi.
Wananchi walikuwa na mawe balaa enzi zake!
Wa pili:
- Jakaya Kikwete. Huyu ndio mwana sasa, msela balaa. Bata batani. Of coz alizingua zingua lakini hakuwa na hard feelings. Huyu ataishi miaka mirefu sana.
Nilichokuja kubaini ni kuwa watu wahuni wahuni, masela masela make good leadership, kuliko watu wengine wowote. Mfano, Uhuru Kenyatta wa Kenya, Donald Trump wa Marekani, nk.