Ukiacha awamu ya pili utawala wa mwinyi. Kila awamu iloyofuatia kuna hela imepigwa tena nyingi

kagoshima

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,631
5,137
Wakati wa mkapa ilipigwa hela ya epa tukapiga kelele wee tukaambiwa hakuna wizi ushaidi ulipoletwa ukazimwa kisiasa ikapita. Mweshimiwa mkapa kaja kukiri juzi hapa kwamba kweli hela iliibiwa na ilitumika kwenye uchagizi 2005.

Awmu ya nne ya mweshimiwa Jk ilipigwa hela ya escrow. Tulipga kele sana . tukaambiwa na CCM fedha ya escrow siyo ya umma. Baadaye Luge na Seth wamebeba msalaba wa walio beba fedha kwenye masandarusi.

Awamu ya tano imepigwa sh. 1.5 trillion. Kelele zimepigwa wee .serikali ya ccm wameshindwa kueleza wapi has a wamepeleka kodi yetu sh. 1.5 tillion. Yumkini hii nayo itapita kimyaa na ukweli kujulikana baada ya awamu hii kuondoka lakini ndo hivyo kodi yetu itakua ndo imepigwa na wajanja wachache. Tunaposema mchawi wa maendeleo ya nchi hii ni CCM muwe mnaelewa
 
Back
Top Bottom