Huo ndio mtazamo wangu ukiniuliza juu ya utawala wa HayatiMagufuli.
Kaburi kilikuwa kikubwa aliogopewa na kila kiumbe Cha Tanzania alizungumzwa sirini watu waliogopa hata kuta za nyumba zao wakihisi magufuli atakuwa anawasikia.
Ufitinishi wa kina Cyprian Musiba ulifikia kiwango cha kutisha...
Halina ubishi hata kiduchu kwa miaka yote tangu mwaka 1995 hayati JPM amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha barabara za Tanzania zinaunganika. Na kweli sasa hivi nchi imepiga hatua kwa kuwa na miundo mbinu mizuri. Pia alipokuwa rais wa JMT aliwakingia kifua wamachinga wasiwekewe kiwingu na kufanya...
Binafsi nilikuwa na mashaka na namna atavolimiliki jukwaa mbele ya viongozi wabobezi na malegandary wa siasa za kusini mwa Afrika. Ila ukweli kabisa nimeridhika, kwa hotuba ya leo nampa maksi 97% hizo maksi 3% nilizomnyima ni makosa madogo madogo ambayo nadhani yanachangiwa na ugeni na...
Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana.
Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani?
Je, ni Ufipa?
Na kwanini mwakani watakosa chakula?
Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe.
Maendeleo hayana...
Nimejaribu kwa muda mrefu kuwafananisha hawa viongozi wawili ambao mmoja ametangulia mbele za haki kwa mapenzi ya Mola, Hawa viongozi wawili ni Energetic na Ni wakali sana kwenye rasilimali za nchi na ni wazalendo wa kweli.
Tofauti ya ndogo iko katika vipande hivi;
1. Tundu Lissu ni mwanasheria...
TANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021.
Ndg Jeswald Majuva enzi za uhai wake
PICHA: Ndg Jeswald Majuva aliyezungushiwa alama, akiwa kwenye...
Kwa sababu ya miaka 23 mfululizo ya kutawaliwa na Kiongozi mmoja, baadhi ya Watanzania waliathirika kisaikolojia kiasi kwamba waliamini hakuna kama Nyerere, na wengine wakahofu kuwa bila Nyerere, Tanzania haingekwenda, na labda amani ingetoweka!
Yalikuwa ni maluweluwe ya kisaikolojia! Mwaka...
Enzi zile unaenda ofisini kuonana na afisa elimu au mkurugenzi unakuta wabeba mafaili wanakushikiniza uwaambie kwanza unataka kumwambia nini unaetaka kumuona na bila kuwambia hivyo viranja/wabeba faili unapewa jibu kuwa bosi hayupo bila kujali umbali na gharama za nauli, vumbi ulilokunywa na...
Mafanikio ya China ya kupata "ushindi kamili" kwenye vita vyake vya kutokomeza umasikini uliokithiri kunatajwa na wasomi wengi kama matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa nchini humo.
Dk. Beatrice Matiri-Maisori ambaye ni mshauri wa maswala ya uchumi na diplomasia kati...
Niliwahi andika humu nikionya kwamba Sera mbovu za kodi na viwanda inaenda kusababisha kufungwa kiwanda cha Tumbaku Moro na hivyo kupelekea kupoteza zaidi ya ajira 1000 za moja kwa moja.
Wapiga pambio humu walinishambulia. Kiwanda kikafungwa mwaka Jana na wale jamaa kuondoka.
Baadaye kidogo...
Kila Mbunge anayesimama bungeni anakosoa utaratibu unaotumiwa na awamu ya tano kuendesha Mambo yake. Kwa mfano;
Sospeter Muhongo katika vipaumbele vyake vitano anavyopendekeza hakuna hata kimoja ambacho amekieleza kwa mrengo wa kukubaliana na vipaombele vya serikali iliyopo. Ametaja kilimo...
Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia ukweli serikali yetu.
Mfano ni dhahiri kuwa ujenzi wa Sgr toka Dar to Morogoro ulipangwa kukamilika 2019...
Wakuu,
Mikoa ifuatayo haikugawanywa kwa kuzingatia Jiografia rafiki kwa uendeshaji wenye ufanisi na tija.
1. Arusha kupata mkoa wa Manyara: ingefaa usianzishwe mkoa wa Manyara badala yake wilaya mbili za Simanjiro na Kiteto ndio zingeunganishwa na mkoa wa Kilimajaro.
2. Mkoa wa Pwani umekaa...
Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria (Ibara ya 13)
Haki za raia, wajibu na maslahi ya kila mtu na jumuiya ya watu yatalindwa na kuamuliwa na Mahakama na vyombo vinginevyo vya Mamlaka ya Nchi vilivyowekwa na Sheria...
Kwa kipindi cha miaka minne chini ya rais Donald Trump pamoja na Republican party, viongozi wengi wa nchi zinazoendelea hasa madikteta, wameweza kuendeleza ukatili wao pamoja na ukiukaji wa haki za binadamu bila wasi wasi kwani Rais Trump pamoja na Chama Chake waliligeuzia mgongo haya mataifa na...
Kabla ya kujadili mada husika napenda kuwakumbusha wadau kuwa utawala wa kidikteta huwa unakuwa na sifa kubwa mbili, kwaza hakuna demokrasia hii ni sababu hakuna uchaguzi. Maana wanaotawala huingia madarakani kwa mabavu. Pili ni utawala usiofuata misingi ya katiba na sheria.
Kwa sifa hizo...
UTANGULIZI
Isaac Maliyamungu, (aliyekufa Februari 1984) pia anajulikana kama Isaac Lugonzo, alikuwa afisa wa jeshi la Jeshi la Uganda (UA) ambaye aliwahi kuwa mmoja wa maafisa na wafuasi muhimu zaidi wa Rais Idi Amin wakati wa udikteta wa jeshi la Uganda la 1971-79. Mzaliwa wa Zaire...
Unapokuwa Mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu!
Mtu yupo Belgium anazungumza habari za wakulima wa Mtwara na Katavi kukopwa mazao yao,hii inaleta sense?
Unaposema mtakomaa ili...
Kwa jinsi Husein Mwinyi anavyoshindwa kuvumilia juu ya vitendo vilivyofanywa na watawala, sikusudii watawala wa kiarabu, nawakusudia hawa tuliopigania uhuru pamoja na kuahidi kuleta maendeleo.
Rais Hussein kila anapopagusa patupu, watawala wa waliopita wakiongozwa na CCM wameshakwapua. Yaani...
Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake.
Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.