Tundu Lissu kuongea katika mjadala wa kupinga 'JANGA' la utawala usiozingatia demokrasia 08 July 2020

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,866
Tarehe 8 Julai kutakuwa na tukio la kujadili hali ya demokrasia kutoka kwa wanaharakati wakubwa wa demokrasia watu mbalimbali watakaoongea, ikiwemo Bob Wine wa Uganda na Tundu Lissu wa Tz

Wengine watakaoongea ni Fadzayi Mahere wa Zimbabwe, Jeffrey Smith wa USA na Nic Cheeseman wa United Kingdom

====
Live Event: Resisting the authoritarian pandemic
July 8 - Registration required!
For this live event, we are convening some of Africa’s top pro-democracy opposition leaders and activists to discuss the way that authoritarian governments are manipulating the pandemic to strengthen their hold on power and the best ways to protect democracy. The audience will have the opportunity to participate in the discussion.

  • 6pm Addis Abeba/Nairobi
  • 5pm Paris/Cairo/Cape Town
  • 4pm London/Casablanca/Kinshasa
  • 3pm Dakar/Accra
  • 11am New York
Bofya hapa kujisajili kuhushiriki mjadala HERE
 
masisiemu yatampeleka nani kwenye mjadala huo? au wataendesha kwa kingereza? maana wanavyoogopa hip lugha utadhani hawajaenda shule!🧐😭😭😭
 
masisiemu yatampeleka nani kwenye mjadala huo? au wataendesha kwa kingereza? maana wanavyoogopa hip lugha utadhani hawajaenda shule!🧐😭😭😭
CCM haiwezi kushiriki, kwa sababu imeshika dola! Wanaoshiriki ni wale tu ambao hawawezi - narudia - hawawezi kushika dola.
Ni wale tu wanaotumikia mabeberu ambao watashiriki.
 
Lissu anaendelea kuchanja mbuga kimataifa.
Tena anajitahidi sana, ni kiongozi pekee ndani ya chama chenu mwenye mvuto leo na baada ya kudhulumiwa maisha.

Swali jee wenye Chadema watampa fursa ya kupeperusha Bendera ?

Mbowe anajua vizuri sana, leo Lissu ndiyo Serengeti ya chadema, Na kivutio cha wengi hata baadhi ya wana CCM, ACT, CUF na hata wasiokuwa na mazoea ya kupiga kura, Kwa nini anamuwekea mizingwe, ambayo inaweza kudhuru chama.

Jee ni kwa nini viongozi na wapiga kelele mashuhuri na wakosoaji wenu ( i.e. Mdee, Lema,Mnyika,Sugu nk....) hawalikosoi hili na hawasemi ukweli, na jee sijui mumejitayarisha na sababu zipi za kumkata Lissu.

Watu wakisema Chadema kina wenyewe, mnakasirika, tunangojea tuone uamuzi wa akina mtei na Familia yake.
 
CCM haiwezi kushiriki, kwa sababu imeshika dola! Wanaoshiriki ni wale tu ambao hawawezi - narudia - hawawezi kushika dola.
Ni wale tu wanaotumikia mabeberu ambao watashiriki.
Ndugu Kitwa, swali muhimu la kuwauliza hao ndugu zetu. Ni wazi mjadala huu ni kujadili namna watakavyo iondoa CCM madarakani, kwa hivyo sio mahali stahiki kwa ccm kuhudhuria. Jee viongozi wote wa chadema kama akina Mbowe, Msigwa, LEMA nk.. watashiriki?????
 
Asante sana nimejiunga tayari kumsikiliza shujaa Lissu akibengenyua upuuzi unaoendelea nchini.
 
Back
Top Bottom