utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa uhalifu wa kifedha na utapeli bara la Afrika

    CHANGAMOTO ZA MAENDELEO BARANI AFRIKA Uhalifu na utapeli ni changamoto zinazokumba jamii duniani kote, na nchi za Kiafrika haziko nyuma katika kukabiliana na matatizo haya. Hata hivyo, tofauti kubwa inajitokeza katika njia ambazo viongozi na watendaji wa Kiafrika wanavyochagua kushughulikia...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rayvanny, Mzava watuhumiwa kwa Utapeli

    Mwimbaji Kayumba amewaanika msanii Rayvanny na mwongozaji wa video, Erick Mzava kwa kutorejesha pesa zake TZS Milioni 7 ambazo alitoa kama malipo ya kufanya video ya wimbo wake SHAKE kutoka kwenye albamu yake iitwayo FINE TAPE. Kayumba amedai kuwa ameamua kuweka wazi haya yote kwasabubu ya...
  3. X men

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa kampuni ya tigo wakishirikiana na bima mkononi (milvik)

    Je serikali haioni jinsi kampuni ya Milvik ikishirikiana na Tigo wanavyofanya dhuluma kwa wananchi?? Kampunj ya tigo imekua ikifanya uhamasishaji wa wananchi kujiunga bima mkononi ambapo mnufaika hukatwa 5500 kila mwezi na endapo ataumwa yeye au wanufaika wengine wa familia yake kisha...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mch. Daniel Mgogo: Kikokotoo cha pensheni ni wizi na utapeli

    Mchungaji anahoji wanaposema wanakupa kidogo kingine wanakutunzia, wanatunza kama kina nani? Kama mstaafu akitumia vibaya pesa wao inawauma nini? Mbona mishahara hawakuwa wananipa kidogokidogo. Huko ni kushikiana akili na kumfanya mstaafu kama katoto ambako kakipewa zawadi na mgeni basi mama...
  5. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Kwa wapangaji wa nyumba Haingii akilini kumpa dalali pesa ya mwezi mmoja hii ni aina ya utapeli ambao unatakiwa udhibitiwe MAPEMA

    Hii post Ina wahusu MADALALI WA nyumba/nyumba za kupangisha tu Kuna madalali wanajimilikisha vyumba Kuna madalali wanaongeza Kodi nyumba /chumba Cha kupanga Ili apate îli héla ya mwezi apate nyingi zaidi. Kuna chain ya vijana dar hawataki kupigika kufanya kazi wao wanakomaa na udalali ukichek...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TCRA yazifungia Laini 21,000 zilizohusika kufanya utapeli

    ZAIDI ya laini 21,788 za mawasiliano ya simu zimefungiwa kupokea na kutoa mawasiliano kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo kutumika kufanya uhalifu mtandaoni kwa kipindi cha miezi mitatu iliopita. Kwa mujibu wa ripoti ya mwenendo wa sekta ya mawasiliano iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vazi la Taifa ni utapeli wa serikali?!!

    "Hakuna vazi lolote duniani linaloitwa la taifa lililoundiwa tume. Hakuna! Kuwafanya Watanzania watumie muda wao kusaka vazi la taifa ni wild-goose chase (wehu) na diversionary tactic ili wasahau mambo muhimu yaliyowashinda watawala. Tusipotezeane muda wetu," Jenerali Ulimwengu NB- 2004-2005...
  8. 100 others

    JamiiForums Tanzania Artificial Intelligence ni ulaghai

    Mwaka 1997 IBM walitengeneza computer ikiitwa Deep Blue ikamshinda bingwa wa chess duniani aliitwa Garry Kasparov, watu wakaona dunia inaingia kwenye nyakati computer inakwenda kumzidi binadamu akili lakini si kweli, miaka ya1950' hadi 1960's kuna wanasayansi wakasema kuna robots zitakuja...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la utapeli wa kamali Dar es Salaam Kamati ya Ulinzi na Usalama hawalioni?

    Inasikitisha sana Kwa mkoa wa Dar es Salaam na Wilaya zake kusambaa magenge ya utapeli na wananchi kuibiwa na Hawa matapeli wanaounda vikundi vyao maeneo ya mkusanyiko wa watu wengi kama Kariakoo, Ilala, Mbezi Mwisho na Mbagala kisha kuwahadaa Wananchi Kwa michezo ya kamali na mwisho wao...
  10. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Miaka hiyo sina hela afu ujana mwingi......kidogo nipagawe. Nikamcheki braza yangu MUBA MUBANDA....mzee wa kazi zote pale kariakoo. MIMI: Kaka mdogo wako sina kitu afu unavyojua lazima avensis iingie barabarani siwezi kukaa kinyonge, madogo wa maghorofani wananitambia kinoma. MUBANDA: Dogo...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani?

    Ni utapeli unao fanywa na Vyama vya Upinzani nchini Tanzania kuwaaminisha watanzania kwamba vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani wakati vinajua kabisa havina uwezo huo. Mtanzania kataa huo utapeli. # Come 2025, I will "Samia" my vote . What about u?
  12. Tman900

    JamiiForums Tanzania Mawakala wa Mabasi, Makondakta na Wamiliki Mabasi wana ujanja ujanja (Utapeli)

    Kwa mliowahi kutembea nje ya Africa naomba mnipe uzoefu wenu mliyoyaona Uko nje ya Afrika hususani kwenye Swala la usafiri wa mabasi yanayoenda safari ndefu kutoka Mji fulani kwenda mwingine maana kwa Tanzania kuna usanii mwingi kwenye usafiri wa mabasi. Kama Kuna changa Moto ulishawai kutana...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mlimani City Dar: Nahisi kama maigizo na utapeli vimetamalaki

    Hapa ukikaa unaweza kudhani watu wapo serious na maisha kumbe maigizo tu na vikao vingi hapa vimekaa kitapeli tapeli Watu wawili ama watatu wanakaa kwenye moja ya coffee shops na mmoja anafungua laptop ama anashika notebook na pen Ukitazama walivo serious ni kama kikao kizito cha biashara...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Amri hii ya Jaffo kuhusu kusitisha matumizi ya mkaa itaanza lini?

    Jafo alitoa tamko kuwa kuanzia January 2024 mwisho kutumia kuni, mkaa. Kama kuna anayefahamu tarehe ya utekelezaji wa jambo hili atueleze ili tujipange tusije kuingia matatizoni.
  15. munguwetusote

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa ajira za wanaojifanya ni World Vision Tanzania

    Habari wanajamvi wenzangu. Pasipo kupoteza muda wa mtu yeyote, nipende kushiriki nanyi juu ya huu mtindo wa utapeli wa ajira/nafasi za kazi zinazotangazwa kila uchwao. Naamini kupitia uzi huu, wanajamvi wengi watapata elimu ambayo itaweza kuwasaidia kwa namna moja au nyingine. Kumekuwa na...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afungwa miezi 6 kwa utapeli wa kutumia jina la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Bahati Malila kifungo cha miezi sita jela baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matano, yakiwamo kughushi cheti kilichoonyesha kuwa kimeletolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Pia Mahakama hiyo imemuachia huru mshtakiwa Godfey Mtonyo baada ya upande wa...
  17. monotheist

    JamiiForums Tanzania Vodacom acheni utapeli rudisheni pesa zangu

    Mimi sio mtumiaji sana wa mtandao wa vodacom mnamo mwaka 2022 nilihamasika kusajili laini ya vodacom kutokana na masuala ya miamala hivyo ilinilazimu kusajili laini ya voda na baada ya kumaliza zoezi langu sikuitumia tena Nikarudi tena kuitumia mwaka 2023 sababu ya visa card huwa natumia...
  18. Candela

    JamiiForums Tanzania CHUO CHA USAFIRISHAJI NIT ACHENI UTAPELI

    Guys, niliombwa kumfanyia mtu maombi ya chuo na alichagua NIT, Nilifanya application second round na nikalipia na ikabaki kusubiri chaguzi, cha achabu nina wiki sasa nikijaribu kuingia kuangakia STATUS wanasema INCORRECT LOGIN, mwenye nilimuombea anaona kama sikuomba nimekula 10000 yake. Kama...
  19. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Je, Forex, Crypto na utapeli mwingine wa uwekezaji hufanyaje kazi? Unapaswa kufanya nini ikiwa umetapeliwa?

    Nimeona kashfa ya Noelbillions nikaona bora nije na ninachokijua maana serikali ya CCM imekaa kimya toka enzi za Ontario. Ingawa kuna aina mbalimbali za kashfa za utapeli katika uwekezaji. Katika mazingira mengi, huwa zinafanana kwa kiasi fulani. Unaweza kuepuka miradi mingi ya ulaghai ikiwa...
  20. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Wazee wa delivery kuweni makini na utapeli huu unatrend sana

    Kwa wale wenye biashara ya kupelekea mteja alipo hata kama ni kwa garama zake kuwa makini. iKO HIVI. Anakuja mteja siku ya kwanza mnafanya biashara vizuri kwa 100% hapo kwa mfanyabiashara lazima atengeneze imani na mteja wake ambeye anamzoom na kumset akae kwenye line. Mnabadilishana...
Back
Top Bottom