utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu, mbona mnaunyamazia utapeli wa kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na data?

    Kuna matangazo mengi ya kuungwa vifurushi vya muda wa maongezi na Data mitandaoni na watu wanaamini na kupigwa pesa kila uchao. Lakini pamoja na mitandao husika kutajwa bado wao wako kimya kama vile hayawahusu. Je, ni kweli huduma ya kuungiwa vifurushi imebinafsishwa? Au ni wizi ambao na...
  2. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Wizi unaofanywa na makampuni ya kusafirisha watu kwa ajili ya kazi nje ya Tanzania

    Habari wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sasa hivi kutokana na uhaba wa ajira ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuna makampuni ambayo yanatangaza yanatoa ajira nje ya nchi, hasa nchi za uarabuni. Makampuni hayo yameanzisha mchezo wa kutangaza kuwa kuna kazi fulani, lakini...
  3. T

    JamiiForums Tanzania ORYX Gas mnatujazia mchanganyiko wa Gas na Maji? Je, ni wizi au utapeli?

    Tumekuwa tunahimizwa kutumia Gas badala ya mkaa ili kulinda mazingira. Lakini nashindwa neno sahihi la kukiita sijui ni wizi au ni Utapeli Kwa kujaziwa sijui ni mchanganyiko wa Maji na gas katika mitungi ya gas. Nimenunua mtungi wa ORIX gas wiki iliyopita na kutumia lakini chakushangaza badala...
  4. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Simu za maduka ya tigo na utapeli wa ofa za mb

    Mwezi huu wa tatu nilienda kumnunulia mdogo wangu simu kwenye duka la tigo nilishawishika kununua simu Ile sababu ya ofa ya kupewa gb kadhaa kwa mwaka lengo langu zile GB zimsaidie kuongeza maarifa kwenye masomo yake ishu ikaanza pale pale kupewa gb pungufu nikauliza kwanini ila nikaambiwa kila...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Sababu na athari za matangazo ya kubeti, kudanga na kujiunga Freemason kuongezeka

    Matangazo ya makampuni ya kubeti, matangazo ya kujiuza (kudanga) na yale ya kujiunga na uFreemason ni mengi san Hii ni ishara mbaya sana inayoonesha kuwa umaskini umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na hivyo kupelekea kuongezeka kwa wahitaji (wateja) wa Freemason, kubeti na kudanga. Kama...
  6. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna utapeli mpya umeingia nchini wanaigeria kuweni makini

    Kuna utapeli mpya bila shaka ni wanaigeria Kuna kitu linaitwa task mtu yupo tayari akutumia hata laki bure ila ukijaa lazima uliwe🤣🤣 Kuna jamaa yangu alikuwa anapitia kipindi kigumu maisha kupewa fursa ya task akahisi ni Mungu amemshushia neema kutumiwa pesa za bure kumbe wajuba wapo kazini nao...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kutapeli viwanja vinne vya Beatrice Mshumbuzi, vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 800. Msama amekabidhiwa kwa polisi leo na Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa. PIA SOMA -...
  8. Shark

    JamiiForums Tanzania Zoezi la TANESCO la kubadili Mita limejaa Usumbufu, Utapeli na Ubabaifu

    Kwema Wakuu, Mimi ni mkaazi wa Kitongoji Kimoja wilaya ya Kinondoni hapa Dar es Salaam. Jumatatu nilipigiwa simu na watu wa TANESCO kunifahamisha kua Kwa kua number ya mita yangu inaanzia na 24... basi nitabadilishiwa mita hiyo kesho yake yaani juzi. Juzi Jumanne kweli walikuja asubuhi...
  9. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Utapeli na udalali wa ndoa hususani kwa watu maarufu

    Nimeitoa huko twitter, Nasikia yule mtangazaji mpiga kelele ambaye angekuwa pastor huenda angefit na kuprove well maana ile sauti ya mjuba siyo ya kusomea tu magazeti. Bila kupoteza muda ni kwamba inasemekana kampa red card mh: kisa tu kapost picha za harusi jambo ambalo mjuba hakutaka...
  10. Edger Ezekiel

    JamiiForums Tanzania Kuna utapeli wa mtandaoni unautumia jina la UNICEF

    Jamii naomba tusaidiane kuelimisha juu ya utapeli unaofanyika hasa kwa mtandao wa facebook kwa kutumia jina la UNICEF. Utapeli huu sasa umekithiri na watu wengi sana wanaendelea kuumia juu ya utapeli unaofanyika na kikundi kinachotumia jina la UNICEF na kudai kuwa wanatoa msaada wa fedha mara...
  11. econonist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO IGP ingilia kati kuhusu huyu Tapeli wa Dodoma Egron Rweyemamu aka Jenerali Mwamwega

    Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu. Ukienda pale ikulu Zanzibar hayupo mtu Kama huyo na ukienda kwenye data base ya JWTZ Hilo jina halipo...
  12. Nyamesocho

    JamiiForums Tanzania Huu ni aina ya utapeli au ni watu wamekosa kazi ya kufanya na wanaofanya haya wanataka nini? Labda kutaka kukukomoa sijui!

    Kuna watu wanakupigia simu eitha uwape namba ya dreva tax,bodaboda wakiomba huduma eneo fulani au Kama una namba zao uwapigie waende walipo hasa maeneo yanayotajwa ni yale wanayojua ulipo hayawezi kukosa,makanisa,shule,stendi,kiwanja cha mpira au soko Ukimwambia bodaboda au dreva tax nenda...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Harufu ya upigaji; Document ya kitapeli inayo chafua jina la Lake Oil Company kwa utapeli wa nafasi za kazi yasambaa mtandaoni.

    Halafu bado kuna watu watakuja kusema wamepigwa. Document yenyewe ni hii niliyo iambatanisha hapa
  14. greater than

    JamiiForums Tanzania Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...

    Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja... -Tutaje jina la eneo, Kata na Wilaya husika -Ushuhuda Itasaidia kuwa tahadharisha watu,hasa wale wanunuzi wa mara ya kwanza wa viwanja.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

    Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM. ==== Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
  16. J

    JamiiForums Tanzania UWT yatahadharisha umma matapeli wanaotumia jina la Jokate utoaji mikopo

    TAARIFA KWA UMMA Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake UWT inapenda kuutahadharisha Umma juu ya Uwepo wa kundi la wahalifu mtandaoni wanaotumia Vibaya Jina la Katibu Mkuu Ndg. Jokate Urban Mwegelo na kulihusisha na Huduma utoaji wa Mikopo ya bei Nafuu.. Taarifa hizo sio za kweli na Ni...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuweni makini na utapeli nimepigwa milioni na ushee, matapeli wanakuja na njia mpya kila siku

    Kuna njia ya hii ya utapeli ambapo mtu anatengeneza urafiki na wewe kupitia mtandaoni. Kadri siku zinavyoenda mnatengeneza ukaribu na ka imani kanaanza kukuingia kiasi fulani kuwa umepata rafiki mzuri kutoka nchi jirani japokuwa wakati mwingine inaweza kuwa hapa hapa bongo. Sasa akishaona...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kampuni ya M-gas Cooking Limited imetutelekeza wafanyakazi kwa miezi miwili bila kutulipa mshahara na kuanzisha kampuni mpya

    Mimi ni miongoni mwa wafanyakazi (150+) wa M-gas Cooking Limited. Hatujalipwa mshahara wa mwezi wa pili bila taarifa yoyote zaidi ya hapo tulipokea taarifa kwa njia ya email kwamba kampuni imeshindwa kutulipa mshahara kutokana na matatizo yao ya kibenki na masuala yote ya kampuni tumuone Andron...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je huu ni utapeli kwa hisani ya Serikali?

    TCRA, BENKI KUU na idara zingine zinazohusika. Huu ni utapeli kwa hisani ya serikali kwasababu hawa watu wana vibali vya huduma hii toka BENKI KUU na idara zingine husika. Ukikopa wakati wa marejesho utaona pesa imekatwa VAT kama kawaida kuthibitisha kuwa serikali ndiyo iliyobariki uhuni huu...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Moja ya kiashiria cha utapeli wa Kimtandao ni kuitwa WhatsApp

    Ukikutana na tangazo la nafasi za kazi, tangazo la biashara au tangazo la fursa yoyote ya kifedha na mwishowe unaambiwa njoo Whatsapp hapo kuna harufu ya utapeli kwa 96% -100%. Ni hayo tu. Ogopa neno njoo Whatsapp!
Back
Top Bottom