utamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Leo Boss alikuwa anatesti kama bila Tigo Pesa watashinda na kagundua hapana hivyo utamaduni utaendelea kwa Mechi zijazo

    Nje ya Mada tafadhali anayejua Nauli ya kutoka Dar es Salaam kwenda Kagera kupitia Geita aniambie nahitaji kwenda huko hivi karibuni tu. GENTAMYCINE nilikuwa Najiuliza kwanini Marefa hadi Washika Vibendera wa Taifa Moja hivi Afrika ya Mashariki hawapati nafasi ya Kuchezesha Michuano mikubwa na...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwanyang'anya silaha wamasai basi ubadilishe kabisa utamaduni wao hata nguo wasivae nguo zao zinazopepea

    Twendeni kwenye mada baada ya Salam. Yaani mmasai atembee na nguo yake ile inayoopepea pepea bila kuwa na rungu ,sime au fimbo ni ngumu sana. Yaani hapo unachotakiwa kufanya ni overall nzima ya utamaduni wake yaani kuanzia sasa waache kuvaa mashuka na waanze kuvaa majeans na macadet na waanze...
  3. M

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili tuleteeni habari zinazozingatia maadili, Mila na utamaduni wa Waafrika

    Naipenda sana BBC na Kwa kweli ni mfuatiliaji wa taarifa Kwa miaka na miongo kadhaa. Lakini Kwa Muda mrefu wamekuwa KERO Kwa kupitisha ajenda, tamaduni na Mila za ulaya na Amerika Kwa Waafrika. Inakera sana Kwa sasa kila taarifa zao wasipotangaza mambo ya mashoga na wasagaji kipindi chao...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo serikali inapaswa kufanya haya ili tupate timu bora ya taifa itakayowakilisha vyema taifa letu

    Mpira wa miguu ni mchezo maarufu na wa kusisimua unaounganisha tamaduni na mataifa. Timu ya taifa ya Mpira wa miguu inaweza kutumika kama kichocheo cha kukuza fahari na mshikamano miongoni mwa raia wa nchi. Hivyo, ni muhimu sana kwa serikali kuweka msingi bora kwa vijana ili kutengeneza timu...
  5. JamiiForums Tanzania Prof. James Small: Wazungu hawana ustarabu, wana utamaduni wa vita

    Wazungu hawana Ustarabu, wana utamaduni wa vita
  6. JamiiForums Tanzania Aibu sana, Tanzania (Taifa Stars) Hatuna Utamaduni wowote

    Kuelekea AFCON 2024. Vikosi vya mataifa mbali mbali vinawasili Cote D'Ivoire (Ivory Coast). Kila Nchi inajitahidi sana kunadi utamaduni wa mavazi yao, kitu kinachopendeza sana. Sisi Taifa Stars wameingia wakiwa wamevaa T-shirt za Sandaland Kikosi cha Taifa Stars Kikiwasili Waliowapokea...
  7. JamiiForums Tanzania 2024 Utamaduni wa kukopana pesa ufe. Ni utamaduni wa kijima.

    Kadri ya ubepari unavyoenea duniani hali ya uhitaji wa fedha kwa mtu mmoja mmoja imekuwa kubwa mno. Sio wafanyabishara, sio wafanyakazi, sio watu wa vijiweni. Wote hao wanahitaji pesa kutatua changamoto zao za hapa na pale. Ukizoeana na mtu iwe alikuwa classmate wako au mulikuwa mukisali kanisa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Shule za siku hizi bado watoto wetu wanafundishwa mambo ya utamaduni?

    Kwa siku hizi naona kuna uzungu mwingi sana kwa vijana wengi, nikajiuliza hivi watoto wa sasa wa shule za msingi hufungwa mambo ya kitamaduni? Hapo ni watoto wa shule ya Msingi Oysterbay wakichenza ngoma za asili kwenye mahafali ya mwaka 1987. Je, wa sasa wanaweza cheza ngoma?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Chama cha CDU cha nchini Ujerumani kinataka wahamiaji wanaoishi nchini humo kuheshimu utamaduni wa Ujerumani na kuitambua taifa la Israel

    Chama cha CDU cha nchini Ujerumani kinataka hatua za haraka zichukuliwe ili kudhibiti wahamiaji wanaoishi nchini humo wanaotaka utamaduni wao na imani zao za kidini ndizo ziwe juu ya zile za mwenyeji wao yaani Ujerumani. Pia wanataka wahamiaji hao watambue haki ya kuwepo kwa taifa la Israel...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa Wizara yako ni ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kwanini unajikita tu na Michezo, ila mengineyo huhangaiki nayo?

    Changamoto nyingi zilizoko katika Sanaa na Utamaduni utaanza kuzikabili lini? Halafu Gerson Msigwa (Mkinga Wewe) kwanini unatumia Nguvu Kubwa sana kutaka Rais Samia aendelee Kukukubali hasa kwa Kujipendekeza na Kujikomba Kwake wakati wenye Akili tunajua kuwa amekuweka hapo Wizarani kama Katibu...
  11. JamiiForums Tanzania Tukiachana na wachaga, Kuna kabila lingine lina utamaduni wa kurudi na kujumuika kwenye vijiji vya mizizi yao nje ya misiba?

    Ni utamaduni unaonishangaza sana, kila ikifika december wiki 2 za mwisho Wachaga wa nje ya mikoa na nje ya nchi hukusanyika pamoja kwenye sehemu za asili zao huko Kilimanjaro. Kwa miaka kadhaa nishazoea kuona status za wachaga watatu wanaoishi nje ya nchi wanapost status wamerudi, Yupo anaeishi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujijengee utamaduni wa kuhusisha wanasheria pale tunaponunua kitu kwa mtu

    Watanzania tujijengee utamaduni, kuhusisha wanasheria pale unaponunua kitu kwa mtu. Kumekuwepo na ongezeko la watu kulalamika kununua kitu kwa mtu baada ya muda unakamatwa kwa kuhusishwa kuwa Mali hiyo ni ya wizi gharama zote za kesi na usumbufu wa kufatilia Mali hiyo utabebeshwa wewe. Ombi...
  13. JamiiForums Tanzania TASUBA kuongeza kozi mpya za sanaa na utamaduni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea na kujadili taarifa ya Utekekezaji wa Majukumu ya Taasisi ya Utamaduni na Sanaa Bagamoyo (TaSUBa) ambapo imeishauri Serikali iendelee kusimamia Taasisi hiyo ili izalishe wataalam wengi kwenye Sekta ya Utamaduni na Sanaa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Zanzibar uchafu ni utamaduni?

    Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika (kuanzia Bandarini Hadi Mjini). Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kawaida kisiwani au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mwambie Kijana Wako asichanganye Gender Equality (usawa wa kijinsia) kwenye Gender Roles (majukumu ya kijinsia) Katika Utamaduni Usioendana

    Mwambie Kijana Wako Asichanganye Gender Equality (Usawa wa kijinsia) Kwenye Gender Roles (majukumu ya kijinsia) ktk Utamaduni Usioendana.. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms. 0743781910 Wakumbushe vijana wako kuwa definition ya neno "gender" imebeba neno "social and cultural" likiwa na maana...
  16. JamiiForums Tanzania Tujifunze na Kuanza Utamaduni Huu Mpya wa Ufugaji Samaki

    Ni kawaida sana kuona watu wakifuga kuku, ng'ombe, mbuzi, nguruwe, n.k. Lakini ni nadra sana kuona watu wakifuga samaki licha ya kuwa mazingira yetu yanafaa sana kwa shughuli za ufugaji samaki kutokana na kuwepo kwa maeneo yenye maji ya kutosha na hali nzuri ya hewa. Baadhi ya mataifa kama China...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ni utamaduni sahihi kwa Marais kuteua viongozi wakiwa nje ya nchi? Inaleta taswira chanya?

    Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu? Historia inayoonyesha kuna viongozi wengine wamewahi kuwa na huu utaratibu? --- - Rais Samia ateua Katibu...
  18. JamiiForums Tanzania Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo: Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Amemteua...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ndio Urusi, Ulaya na Marekani wanaiogopa (Miundombinu, Utamaduni, Viwanda, Uchumi na Maliasili)

    BWANA YESU ASIFIWE Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake. NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Aweka Mikakati ya Wananchi Kunufaika na Utamaduni, Sanaa na Michezo

    Ikiwa ni siku moja baada ya kuwasili ofisini Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Mhe. Dkt.Damas Ndumbaro ameanza kazi Wizarani hapo kwa kukutana na kuzungumza na watumishi na viongozi wa Idara ya Utamaduni, Sanaa, Utawala, Sera na Mipango na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, kwa lengo la kufahamiana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…