utamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. James Martin

    JamiiForums Tanzania Uchifu - Ni kitu kizuri Rais kuenzi utamaduni wa Mwafrika

    Afrika kabla ya kutawaliwa tulikuwa na mila na desturi zetu. Wakati huo hatukuwa na dini kama vile uislam na ukrito lakini tulikuwa na njia zetu wenyewe za kuomba kitu fulani kitokee au kujiepusha na janga. Haya mafundisho ya dini kubwa za leo yaliletwa na mabeberu. Na unajua baada ya kutuletea...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti kati ya 'Utamaduni wa Makabila' na 'Ushirikina wa Mwafrika' kwani kuna Mtu anatupeleka 'Kibla' tuparaganyike

    Kuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi (Ushirikina) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itashirikiana na Machifu, Viongozi wa Kimila

    Akishiriki Tamasha la Utamaduni lililofanyika leo Januari 22, 2022 Mkoani Kilimanjaro Rais Salia Suluhu Hassan ameeleza, "Kumekuwa na maneno mengi ndani ya Tanzania kuhusu Serikali na Uchifu. Tumeamua kuwa na jukwaa la pamoja baina ya Serikali, Machifu na Wazee wa Kimila ili kuhifadhi Mila na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa kama mgeni rasmi Tamasha la Utamaduni la Mkoa wa Kilimanjaro

    Watu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao. Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa wa Kilimanjaro. Tukio liko mubashara Clouds tv, TBC na Channel ten. Karibuni nyote Updates;
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri. Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito Kwa Viongozi Wetu: Unapokosea, hata kwa kujikwaa tu ulimi, tujenge utamaduni wa kuwajibika ili kumuepushia Rais wetu kubeba mzigo wa karma

    Wanabodi, Karibu, Nipashe ya leo Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya ki Hindi "Hindu" na linafundishwa kwenye dini ya Hinduism na Buddhism, mimi nilijifunza kuhusu...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wanapofanya makosa ya wazi waishie tu kuomba msamaha kisha 'life as usual', au tujenge utamaduni wa kuwajibika kama enzi za Nyerere?

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji. Naomba kuanza kwa Declaration of Interest. Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa kutibu badala ya kuzuia unatugharimu sana kimaendeleo

    Tumezoea sana kungojea mambo yaharibike ndipo tunaanza kushuhurikia matatizo yaliyojitokeza. Hivi karibuni tumeshuhudia operetion kabambe ikiendeshwa nchi nzima ya kuwahamisha wamachinga kwa gharama kubwa kutoka sehemu zisizokuwa rsmi na kuwapeleka sehemu tunazodhani zitakuwa rasmi kwao...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wachaga: Tamaduni zao 10 zinafanana na Wana wa Israel

    Kuna chembechembe ya damu zinazokonekti kwa Wana wa Israeli na Kabila la Wachaga ambalo linapatikana Mkoa wa Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania. Yapo madai kwamba, Wachaga asili yao ni Wafalasha waliyokuwa na wanaoishi nchini Ethiopia. Inadaiwa kuwa, Wachaga hao walitokana na uzao kati ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya wanawake kutoa treat kwa wapenzi wao na ikajulikana hivyo?

    Siku mwanaume huna pesa, then mpenzi/mke wako kaamua mtoke out kwa treat yake(anagharamia yeye hiyo outing). Muda mfupi kabda ya bill kuletwa anafungua pochi anafumbata kitita cha noti kadhaa kiganjani mwake kisha kwa siri/kificho anakupatia ili ufanye malipo mtakapoletewa ankara ya huduma...
  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wana vitu gani vya kujivunia ukiachana na fukwe na utamaduni wao?

    Tanganyika kuna mengi ya kujivunia ukiachana na viongozi butu wasio na maono wala hekima. Lakini, swali langu kama linavyojieleza hapo juu, wenzetu wazanzibari wana kipi cha kujivunia tofauti na fukwe nzuri ya bahari, utamaduni wa kuvutia, labda, na muungano na Tanganyika?
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinafanya makabila mengi Tanzania kutokuwa na utamaduni wa kurudi kwao?

    Nazungumzia kurudi kama kabila ka ilivyo kwa lile kabila ambalo sina hata haja ya kuliweka hapa, Nadhani mnalijua nyomi lao hao wanaorudi ikifika December. Huko wanakofikia ndio kwao, ndio chimbuko lao, ndiko vizazi hadi vizazi vimezaliana mpaka kuja kwa hapa duniani, Kwenu ni sehemu ambayo...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kuendeleza utamaduni wa baba kupewa mapaja na firigisi ya kuku?

    Naona huu utamaduni umekaa kimfumo dume na kuvuka mipaka. Sometimes hata watoto nao wale hayo mapaja.
  14. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mambo mabaya kwenye utamaduni wa Wasukuma

    Tuwe macho na hii kitu ya uchifu. Uchifu kwa makabila mengi uliambatana na mamlaka juu ya ardhi na mara nyingi uliambatana na umwinyi. Tuliondoa uchifu ili kuweze kuthibiti fulsa ziweze kupatikana kwa wote na kuimarisha demokrasia. Uchifu pia uliambatana na baadhi ya mila mbaya za kunyanyasa...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, mkoani Mwanza. UPDATES - Katika Viwanja vya Redcross - Magu tukio linaendelea huku Machifu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Chanjo: Utamaduni wa uongo wa serikali umetufikisha hapa

    Mpaka sasa vifo vya Corona hazisemwi waziwazi na mnategemea watu wataona vipi umuhimu wa chanjo kama vifo vingi vya corona, watoa taarifa wanaogopa kutangaza wazi na kuishia kusema kwa sirisiri. Haya ndiyo mambo yanayorudisha nyuma mapambano ya huu ugojwa. Huu ni ushauri tangazeni vifo vyote...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Utamaduni; Ndugu wanisihi nikawawekee wanangu kinga kama desruri, nipo njia panda

    Nipo njia panda wakuu, Zamani enzi zetu miaka ya nyuma kidogo kuna baadhi ya makabila kwenye koo flani ilikuwa ni lazima upewe kinga, haya mambo yalianza zamani sana tunaambiwa ni baada ya wahamiaji wapya, kuowa nje ya ukoo, kuchanganyana na koo mpya kukaanza kujitokeza mambo ya teknolojia ya...
  18. dudus

    JamiiForums Tanzania Kinga ya Kutoshtakiwa Spika na Naibu Spika na Utamaduni wa Mabunge ya Commonwealth

    Wadau! Kama mjuavyo, kikatiba ni Mh. Rais wa nchi pekee aliyekuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Lakini kwa siku za hivi karibuni listi imeongezwa kidogo ambapo MR, WM, JM, Spika na NS nao wana kinga ya kutoshtakiwa hata watakapokuwa wamestaafu. In short, ni "kinga ya maisha". Kama tunavyojua...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Lugha ni Utamaduni?

    Kiongozi mmoja wa Kiyunani (Kigiriki) aliitwa Alexander Mkuu, ndiye aliyefanya mabadiliko makubwa sana ya kueneza utamaduni wa Kigiriki eneo lo lote alilotawala. Akaeneza na kuhimiza watu kutumia lugha ya Kiyunani, ikawa lugha ya kibiashara kwa mataifa yote aliyotwala, ikachangia kwamba hata...
  20. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kulinda na kudumisha utamaduni wake usioonekana

    Leo tarehe 14 Juni ya mwaka huu ni Sikukuu ya mbio za mashua ya Dragon au sikukuu ya mbio za mashua ya joka, ambayo ni sikukuu ya jadi ya China. Sikukuu hii ambayo imewekwa kwenye orodha ya urithi wa utamaduni usioonekana ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO, si...
Back
Top Bottom