BBC Swahili tuleteeni habari zinazozingatia maadili, Mila na utamaduni wa Waafrika

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
237
239
Naipenda sana BBC na Kwa kweli ni mfuatiliaji wa taarifa Kwa miaka na miongo kadhaa. Lakini Kwa Muda mrefu wamekuwa KERO Kwa kupitisha ajenda, tamaduni na Mila za ulaya na Amerika Kwa Waafrika.

Inakera sana Kwa sasa kila taarifa zao wasipotangaza mambo ya mashoga na wasagaji kipindi chao hakikakamilika. Tunawaambia kupitia mgomo wa KANISA LA AFRIKA dhidi papa Wakala wenu hatutaki.!!
 
Naipenda sana BBC na Kwa kweli ni mfuatiliaji wa taarifa Kwa miaka na miongo kadhaa. Lakini Kwa Muda mrefu wamekuwa KERO Kwa kupitisha ajenda, tamaduni na Mila za ulaya na Amerika Kwa Waafrika. Inakera sana Kwa Sasa Kila taarifa zao wasipotangaza mambo ya mashoga na wasagaji kipindi Chao hakikakamilika. Tunawaambia kupitia mgomo wa KANISA LA AFRIKA dhidi papa Wakala wenu hatutaki.!!

Ww utakuwa ni mzee lazima, endelea kutazama TBC, hiyo BBC achia vijana wenye mitazamo huru, utakuja kupata ugonjwa wa moyo bure.
 
Ni kweli haswaa, TBC ndiyo chanzo changu Cha kupata habari za uhakika. Lakini kwa habari za kimataifa ni BBC
 
Naipenda sana BBC na Kwa kweli ni mfuatiliaji wa taarifa Kwa miaka na miongo kadhaa. Lakini Kwa Muda mrefu wamekuwa KERO Kwa kupitisha ajenda, tamaduni na Mila za ulaya na Amerika Kwa Waafrika. Inakera sana Kwa Sasa Kila taarifa zao wasipotangaza mambo ya mashoga na wasagaji kipindi Chao hakikakamilika. Tunawaambia kupitia mgomo wa KANISA LA AFRIKA dhidi papa Wakala wenu hatutaki.!!
CHADEMA ndio wanasapoti ushoga
 
nilishawahi kulizungumza hapa hiki chombo habari zake zihaririwe kwanza kabla ya kuruswa redio washirika kwani hua swala la madili hawalizingati kabisa inafika mahali nikama wanachagiza utovu wa nidhamu
 
Niliacha kusikiliza bbc toka wakati wa Corona. Utangazaji wao hauna maslahi yoyote kwetu, ni wapambe wa mabeberu na wafagiliaji wa Neo colonialism.
 
Naipenda sana BBC na Kwa kweli ni mfuatiliaji wa taarifa Kwa miaka na miongo kadhaa. Lakini Kwa Muda mrefu wamekuwa KERO Kwa kupitisha ajenda, tamaduni na Mila za ulaya na Amerika Kwa Waafrika.

Inakera sana Kwa sasa kila taarifa zao wasipotangaza mambo ya mashoga na wasagaji kipindi chao hakikakamilika. Tunawaambia kupitia mgomo wa KANISA LA AFRIKA dhidi papa Wakala wenu hatutaki.!!
Chukua uamuzi wako wa kiarabu acha kusikiliza BBC, BBC haiwezi kukusikiliza wewe na mawazo yako finyu, haiwezekani Afrika yenye weusi na weupe ikawa na mila na utamaduni mmoja.
 
Naipenda sana BBC na Kwa kweli ni mfuatiliaji wa taarifa Kwa miaka na miongo kadhaa. Lakini Kwa Muda mrefu wamekuwa KERO Kwa kupitisha ajenda, tamaduni na Mila za ulaya na Amerika Kwa Waafrika.

Inakera sana Kwa sasa kila taarifa zao wasipotangaza mambo ya mashoga na wasagaji kipindi chao hakikakamilika. Tunawaambia kupitia mgomo wa KANISA LA AFRIKA dhidi papa Wakala wenu hatutaki.!!
Kama kinachambua habari zitokanazo na mila na tamaduni za watu tu hiko kutakuwa sio chombo cha habari tena bali cha kimila na tamaduni.
 
Back
Top Bottom