utamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kuna utamaduni wa kudhani Utashi wa Kiongozi Mkuu wa Nchi ndio Dira ya Taifa badala ya Katiba

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema ili Demokrasia ionekane kuwa na maana inapaswa kutambua Haki na hilo linawezekana kukiwa na Utashi wa Kisiasa ambao hasa unatakiwa kutoka kwa waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa. Akizungumza katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Utamaduni ni uchumi

    Nguvu ya utamaduni. Huwaleta watu pamoja, huwafanya kuwa pamoja, huwaunganisha na Kuwapa nguvu yenye mshikamano imara sana! Je tuna utamaduni wa mwafrika? Ni upi? Je tuna utamaduni wa Mtanzania? Ni upi? Maana utamaduni ni uchumi, Utamaduni ni sera. Utamaduni ni siasa, Utamaduni ni imani...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro Atangaza Fursa Lukuki Tamasha la Tatu la Utamaduni

    WAZIRI NDUMBARO ATANGAZA FURSA LUKUKI TAMASHA LA TATU LA UTAMADUNI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa, Tamasha la tatu la Utamaduni la Kitaifa Songea litatoa fursa lukuki kwa wakazi wa mkoa wa Ruvuma na mikoa ya jirani katika nyanja za kibiashara...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Utandawazi usitumike kuharibu utamaduni wetu

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa msisitizo kwa jamii za kitanzania kutumia utandawazi kuongeza maarifa katika kuleta maendeleo badala ya kuacha utandawazi uharibu utamaduni wa Taifa. Mhe. Ndumbaro ametoa msisitizo huo wakati akifungua Mdahalo wa Kitaifa wa...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Tamasha la Tatu la Kitaifa la Utamaduni Songea

    Mapema leo Septemba 13, 2024 hapa Manispaa ya Songea, Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (PhD) amesalimiana na wanachama wenzake wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi, UWT, na UVCCM. Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro (PhD) amesema Tukutane Tamasha la Tatu la...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni yaipongeza Kibaha Mji kwa usimamizi wa miradi ya maendeleo

    Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Wizara ya Elimu na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeridhika na utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Shimbo iliyopo Kata ya Mkuza,Halmashauri ya Mji Kibaha Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Husna Sekiboko amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Rais Samia asianzishe Wizara maalum ya Soka huku Sanaa na Utamaduni zikibaki Pekee?"Kwakuwa Serikali ya CCM imewekeza zaidi upande huo

    Na akimaliza Kuiunda hii Wizara Mawaziri wake Wakuu Hamisi Mwinjuma (kama Waziri) na Naibu Waziri awe Gerson Msigwa huku Katibu Mkuu wa hiyo Wizara akiwa ni Ali Mayai Tembele na Msemaji wa hiyo Wizara awe Amos Makalla?
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Utamaduni viongozi kuwajibika umeishia wapi? Mbona Mwinyi mauaji Mwanza aliwajibika? Tusiruhusu madoa haya ya damu kuichafua nchi yetu -Wajibikeni!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/taamuli-huru-viongozi-wetu-wawajibike-kwa-makosa-yao-4757170 Paskali
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Tamasha la Kitaifa la Utamaduni Songea

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hasssan, Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika Tamasha la Kitaifa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Suala la usafi kwa baadhi ya wahindi ni kero, ni utamaduni au ?

    duh !!
  11. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunajenga Utamaduni mbaya, tulianzia Chato sasa ni Kizimkazi!

    Kwamba kila Rais atakaye ingia madarakani nyumbani kwao inapelekwa miradi mikubwa bila kufanya utafiti wa kutosha wa mahitaji kwa fedha za walipa kodi hawa masikini. Matokeo ni kuwa wanapo ondoka madarakani inageuka kama ile ya nyumbani kwa Mobutu maana ilikuwa kukurupuka. Tumeona speed ya...
  12. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tukatae ndoa za Jinsia moja - Si utamaduni wetu

    1. Kwa pamoja tukatae ndoa za Jinsia moja. Huu si utamaduni wetu wa-Tanzania, ndugu zangu. 2. Pia, apps zinazohamasisha Ushoga zifungiwe. Hizi apps zimekua msiba Kwa vijana (Hasa wanachuo). 3. NGOs, vituo vya watoto yatima na Sober house zifuatiliwe Kwa karibu. Huko ndo agenda za Ushoga...
  13. Jagwanana

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni kutukuza utamaduni wa watu weupe, tujitafakari sana

    Ukristo uliingizwa na wazungu Afrika kwa mara ya kwanza katika karne ya 1 AD Misri na Tunisia na baadae kuenea kaskazini. Karne ya 4 AD Ethiopia iliufanya ukristo hata kuwa dini ya kitaifa chini ya mfalme Ezana kwenye himaya ya Aksumite. Lakini umeenea zaidi Afrika Chini ya jangwa la Sahara...
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tujenge utamaduni wa kuwapa thamani wachezaji wazawa

    Kuna haka kautamaduni tunako waswahili ka kuwachukulia poa sana wachezaji wazawa. Inafikia wakati wanalipwa mishahara duni, wakitaka kuuzwa wanauzwa kwa pesa ndogo sana kiasi kwamba hata haitajwi kwa aibu. Nadhani wakati umefika tujenge utamaduni mpya. Embu nisome kidogo... Huko Uingereza wana...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti kati ya Mwarabu na Mzungu kwenye utamaduni, yupi bora?

    Katika mashindano ya Olympics yanayoendelea huko Paris Timu ya wanwake kutoka Misri vs Timu ya wanawake kutoka Hispania Kielelezo cha tofauti ya tamaduni za Ulaya na za Mashariki ya Kati Unaona ni utamaduni upi bora zaidi wa kufuatwa?
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga yavunja rasmi utamaduni wake wa jezi

    Hawa Gen-Z ndiyo wanachukulia poa ila utamaduni wa Yanga miaka yote ilikuwa ni marufuku kushobokea rangi nyeupe au nyekundu. Hawa jamaa ilikuwa manjano na wao na wao na manjano. Kama ni mfuatiliaji mzuri utaona miaka ya hivi karibuni walianza taratibu kutoka huko. Wakaanza kuonyesha waziwazi...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ameshiriki Katika Tamasha la Utamaduni na Utalii

    📌📌 MWENYEKITI WA CCM MKOA WA CCM AMESHIRIKI KATIKA TAMASHA LA UTAMADUNI NA UTALII. 🗓️ 07, July, 2024 📌 Bariadi - Simiyu Mwenyekiti wa CCM Mkoa Simiyu, Ndugu Shamsa Mohammed ameongoza kwa mfano wa uongozi katika tamasha la Utamaduni na Utalii lililofanyika Leo Tarehe 07/07/2024 Katika viwanja...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Utamaduni na Utalii laanza kwa kishindo Bariadi

    Tamasha la Utamaduni na Utalii Kanda ya Ziwa-Lake Zone Cultural and Tourism Festival limeanza Mjini Bariadi kwa kishindo huku Wizara ya Maliasili na Utalii ikisema itaendelea kuwekeza katika utalii wa utamaduni ili kuutangaza zaidi utamaduni wa Kitanzania. Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa...
  19. PAN AFRICANIST JR

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utamaduni wa nchi yoyote duniani ni kiini kikuu cha maendeleo vinginevyo watu wengi watakuwa mateka wa kiutamaduni

    Serikali kwa kushirikiana na sisi wananchi, kudumisha na kurejesha hadhi ya tamaduni za kitanzania na Afrika kwa ujumla, ili kuwaoko watu kutoka mateka wa kiutamaduni. Tanzania tuitakayo baada ya miaka 20. SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA SISI WANANCHI KUDUMISHA,NA KUREJESHA HADHI YA TAMADUNI ZA...
  20. passioner255

    JamiiForums Tanzania Utamaduni

    Wakati nchi za magharibi zikijikita kufundisha watoto mambo ya mapenzi ya njinsia moja,nchi ya Russian inajikita kufundisha watoto wao namna ya kujenga na kutunza familia. Nashauri Na sisi Tanzania tuanzishe programs za kulinda familia ikiwepo...
Back
Top Bottom