Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,705
- 36,157
Kadri ya ubepari unavyoenea duniani hali ya uhitaji wa fedha kwa mtu mmoja mmoja imekuwa kubwa mno.
Sio wafanyabishara, sio wafanyakazi, sio watu wa vijiweni. Wote hao wanahitaji pesa kutatua changamoto zao za hapa na pale.
Ukizoeana na mtu iwe alikuwa classmate wako au mulikuwa mukisali kanisa moja au msikiti mmoja kinachofuata ni kukuazima pesa .
Utasikia tu niazime laki keshokutwa nakurudishia, ukimuuliza kwanini usisubiri hiyo keshokutwa utatue hiyo changamoto yako hana jibu la maana.
Ukimwambia subiri, atasubiri bila aibu siku ambayo aliahidi kukurejeshea pesa endapo ungemwazima anakukumbushia tena kama umepata umwazime. Inamaana kama ungemwazima asingekupa siku aliyokuahidi.
Wengine ni viongozi kwenye nyumba za ibada lakini si waaminifu. Ukiwakopesha pesa wewe ndiye unapaswa ugeuke kuwa mtumwa wao uanze kuwazongazonga Ili wakulipe. Ukizubaa wanajisahaulisha.
Kama kutakuwa na ulazima nitamsaidia mtu pesa bila kumkopesha (Halmashauri ya kichwa itajihakikishia sababu angalau 5 kwanini nimpe pesa huyo mtu ndipo nitampa).
Leo terehe 01.01.2024 kuanzia dakika hii sitamwazima mtu pesa, kama pesa ni rahisi kuipata itoshe kusema kuwa kila mtu aihangahikie mwenyewe.