utamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asante kwa 'Kubalansi' Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Chana ni mwana Yanga SC lia lia na Mwinjuma ni mwana Simba SC Kindakindaki. Kazi ipo.......
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

    Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislam mgawanyo wa urithi uko kama ifuatavyo: Wajane hurithi 1/8, Wengi huendelea kutunzwa na watoto wao na nimeona kwa huu mgao unalinda wasiwe na tamaa za kutaka mwanaume afe ilinwapate mali, k Wazazi - Wazazi hupewa 1/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Pindi Chana apokelewa kwa shangwe za Utamaduni na Sanaa

    Mhe.Chana Apokelewa kwa Shangwe za Utamaduni na Sanaa Na Shamimu Nyaki Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Februari 17, 2023 amewasili kwa mara ya kwanza wizarani hapo baada ya Kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
  4. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Lugha zote zinapaswa kuwa na hadhi sawa Mtandaoni

    Utamaduni wa Matumizi ya Lugha tofauti Mtandaoni lazima ulindwe ili kupanua wigo wa matumizi ya Internet. Pia, Ubunifu na Utungaji wa Sera rafiki uzingatiwe ili kuwezesha jamii mbalimbali zenye Lugha tofauti kufurahia Haki zao za Kidigitali. Binadamu wote wamezaliwa huru na sawa kwa hadhi na...
  5. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Magauni ni nguo ya kike ina heshima sana. Turejee utamaduni wetu

    Jamani turejee. Kama utafatilia Sana hata queen family wanavaa magauni. Tuachane na vijinz.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: Utamaduni wa wizi na kukosa uaminifu kunazuia maendeleo yetu sana!

    Mimi ni dispora lakini matatizo yangu ni matatizo ya wengi hata kaka yangu ambaye yuko Tanzania anapata matatizo hayo hayo. Naomba niweke utangulizi kwamba nayoyasema hapa sio kwa 100% ya Watanzania lakini ni utamaduni ambao unaturudisha nyuma Najua kama jamii tuna mikasa mingi sana na mimi...
  7. Wakili wa shetani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa za kizaramo kulingana na mila na desturi zao

    Desturi ya kuoana kwao. Wazaramu wakitaka mke, kwanza huenda kwa mjomba wa yule mwanamke, akampa khabari—ya kama: "Mimi namtaka mpwa wako kumwoa." Na yule mjomba humjibu: "Vema, lakini nataka mkalio wangu wa maneno, ndipo nikujue kama wewe mkwe wangu." Basi yule mume hutoa reale moja au mbili...
  8. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Watanzania tukitaka amani na nafuu ya demokrasia tujenge utamaduni wa kumchagua Rais kutoka pwani na Zanzibar, imeshathibitishwa mara tatu

    Kio kwamba wakiingia kila kitu kinanyooka, la hasha!! Kuna Madudu huwa yanaendelea ila ukiweka mzani unaona wao wana nafuu hasa linapokuja suala la aman, demokrasia na maendeleo. Mwinyi mzee wa ruksa alitutoa kwenye ujamaa wa Nyerere watu wakaanza kumiliki hata Tv (wakati huo Zanzibar...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize, Rais anavyosema Utamaduni wetu kwenye siasa ni upi hasa?

    Rais anavyosema mikutano ya siasa ifanyike kwa kuzingatia utamaduni wetu. Tanzania haina utamaduni mmoja kama nchi nyingi za Asia. Tanzania kuna tamaduni nyingi sana kuna makabila ambayo wanajifunika mpaka uso lakini makabila mengine wana kaa nusu uchi! sasa utamaduni wa Tanzania ni upi. Kama...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuusikia Utamaduni wa wanaume wa Kigoma kujipiga bomba ili kuongeza nguvu za kiume?

    Kigoma kuna utamaduni unafanywa na wanaume unaitwa kujipiga bomba. Wanafanya hivyo ili kupunguza mafuta kiunoni na kuongeza nguvu za kiume. Wanachemsha mchanganyiko wa madawa kisha mchesho ukipoa na kufikia kipimo cha uvuguvugu hutafuta bomba kubwa la sindano ya ng'ombe, kisha hufyonza...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Katika Kutengeneza Documentary ya Bi. Titi Mohamed

    WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO KATIKA KUTENGENEZA DOCUMENTARY YA BI. TITI MOHAMED Leo nilitembelewa na wataalamu kutoka Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo. Tuliweka barza tukamzungumza Bi. Titi lakini mimi nilizungumza kwa majonzi nikawaambia mtu aliyekaa kwa muda mrefu na Bi. Titi hadi...
  12. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania TCCIA yaishauri TRA kuwa na utamaduni wa kukutana na wafanyabiashara kujadili kodi

    Chama Cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) imeiomba serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Nchini ( TRA) kuweka utamaduni wa kukutana na wafanyabiashara kujadili namna ya kuweka mifuno mizuri ya ukusanyaji wa kodi stahiki hali itakayosaidia wafanyabiashara hao kulipa kodi kwa hiari...
  13. L

    JamiiForums Tanzania “Mbinu za Jadi za Kichina za Kutengeneza Chai” zaorodheshwa kuwa Urithi wa Utamaduni Usioshikika wa Binadamu

    "Mbinu za Jadi za Kichina za Kutengeneza Chai na Desturi Zinazohusiana” zilizowasilishwa na China tarehe 29 Novemba, zilipitishwa kwenye Mkutano wa 17 wa Kamati ya Kiserikali ya UNESCO ya Kulinda Urithi wa Utamaduni Usioshikika uliofanyika huko Rabat, Morocco, na kuorodeshwa kuwa Urithi wa...
  14. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ushoga ni utamaduni wa Magharibi, kwanini iwe shinikizo kwa nchi nyingine?

    Dunia yote imekubali kuwa ni wachumba tu kwa nchi za Magharibi, Marekani ikikohoa kuhusu utamaduni wake uheshimiwe na viongozi wote duniani, wote wanapiga saluti! Hakuna asiyefahamu, Mungu amewaumba wanadamu wenye jinsia tofauti, na kwa sababu hiyo, ili wanapokutana na kufanya tendo la ndoa...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wa sita huyu naye hajavaa kufuli. Ni utamaduni gani huu?

    Jana nlifanikiwa kupata appointment na demu mmoja wa mjini. Unajua midada ya mjini? Basi ndo huyu mmoja wapo. Tukawa mitaa flani Michael Chain (tamka Maikochein) tunapata machozi ya devil. Sasa tumekaa yupo mbele tunasubiri nyama choma huku anakunywa Heineken zake ameagiza 5 za kuanzia kwanza...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, huu Utamaduni 'Unaoboa' huwa ni takwa la Kikatiba, la Kiserikali, la Kichama ( CCM ) au ni la Kujipendekeza tu?

    Utamkuta Waziri, Mkuu wa Mkoa na Wilaya pamoja na Watendaji wengine kila wakiwa wanatolea Ufafanuzi wa Jambo fulani wakiwa Wanahojiwa na Waandishi wa Habari ni lazima tu Watalazimisha kumtaja Rais wa Nchi (mfano wa sasa Samia) na hata kwa Wengine waliotuongoza Watanzania huko nyuma. Hivi kwani...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tujenge Utamaduni wa Kutoa Misaada kwa Shule za Chekechea, Msingi na Upili tulizosoma

    Nikibahatika Kumpiga Mhindi (kwa Kubeti) katika Mechi niliyobeti (weka Mkeka) Yanga SC anafungwa 3 kwa 0 na Al Hilal FC Kesho Jumapili na kupata Millioni zangu 320 nataka nichangie Millioni Tano Tano kwa kila Shule niliyosoma kisha nitamrushia Tsh 600/= kila Jamiiforums Member ya Kununua Soda...
  19. Wimbo

    JamiiForums Tanzania CCM ifikirie kubadili utamaduni huu, si rasmi na hauko Kikatiba

    Napata ufunuo ambao inaonyesha Rais Mama Samia atafanya vizuri sana kipindi cha kwanza cha miaka 5 lakini kutokana yanayoendelea ktk uchaguzi ndani ya CCM kipindi cha pili kinaweza kikawa kigumu licha ya kuwepo kocha mzoefu kamanda Kinana. Nafahamu Mama hana uchu wa madaraka angeweza kusema...
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Biashara ni utamaduni sio elimu: wachaga, wakinga na wapemba wasio na elimu wanatoboa kupitiliza kuzidi wasomi wenye degree / masters

    Elimu inayozungumziwa hapa ni ya darasani (formal) Chuoni unaweza kwenda kusomea degree business administration ama ya ujasiriamali na ukawa unapata 100 wenye mitihani kwa kujibu kwa usahihi kwamba mjasiriamali inabidi asikate tamaa, aipende biashara yake, asidokoe mtaji, awe mvumilivu kwa...
Back
Top Bottom