utalii

  1. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania Kijiji cha Materuni na utalii wa kahawa, Moshi Kilimanjaro

    Kahawa ni miongoni mwa zao la biashara linalolimwa ukanda wa Afrika Mashariki ikiwemo na Tanzania. Mkoa wa Kilimanjaro ni miongoni mwa mikoa ambayo zao la kahawa linapatikana hususani kahawa aina ya ARABICA. Mnamo tarehe 16/10/2023 nilipata nafasi ya kuwapeleka watalii kijiji cha Materuni...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Angalia tofauti ya Rwanda na Tanzania kwenye masuala ya utalii. Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda

    Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia. Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29. Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61. Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Airport ya Iringa Kufungua Utalii Kusini, Ujenzi Wafikia 82% - Naibu Waziri Kihenzile

    AIRPOT YA IRINGA KUFUNGUA UTALII KUSINI, UJENZI WAFIKIA 82% - NAIBU WAZIRI KIHENZILE Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kufufua Uwanja wa Ndege wa Iringa na kuujenga kwa kiwango cha Kisasa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani, leo Novemba 2, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani leo tarehe 02 Novemba, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda. https://www.youtube.com/live/0hpKdPc8ajI?si=ljU2SQWILAiEI3gQ === Mhe. Rais Samia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa za utalii Zanzibar

    Maisha ya Zanzibar yapoje katika sector ya utalii, mim ni guide najua lugha kama English Kijerumani na Spanish, nianzie wapi kwaajili yakupata fursa Zanzibar?
  6. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Picha za Rais Samia zimejaa njia nzima KIA badala kutangaza vivutio vya utalii!

    Kila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania. Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia. Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni Nchi ya Pili Duniani kwa Kuwa na Vivutio Vingi vya Utalii

    Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David kihenzile aridhishwa na maendeleo, usimamizi na maboresho yanayoendelea kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ikiwemo Ujenzi wa jengo jipya la abiria Kiwanjani hapo. Akizungumza Jijini Arusha mara baada ya kukagua jengo la abiria kiwanjani hapo Naibu...
  8. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Hongera Mama Zara kwa Tuzo ya Kampuni Bora ya Utalii Afrika

    Kwa mara nyingine tena mwanamama Zainab Ansell Mkurugenzi wa Kampuni ya uwakala wa utalii nchini Tanzania ya ZARA TANZANIA ADVENTURE ,amenyakua Tuzo ya kampuni Bora ya Uwakala wa utalii Afrika ijulikanayo kwa Jina la 'Africa's Leading Tour Oparetor . Tuzo hiyo imetolewa na World Travel...
  9. JohMkimya

    JamiiForums Tanzania Kutunza fukwe za bahari ni muhimu kwa sababu fukwe hizi ni mazingira muhimu. Kutunza fukwe za bahari kunaweza kufanyika kwa njia kadhaa

    Kuelimisha Jamii: Elimisha wakazi wa pwani na watalii juu ya umuhimu wa kutunza fukwe za bahari na mazingira ya baharini. Watu wenye uelewa zaidi wanaweza kuchukua hatua bora za kuhifadhi. Kudhibiti Uchafuzi wa Bahari: Kuhakikisha kwamba maji taka na kemikali zinazotiririka baharini haziharibu...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Uthibitisho Mwijaku kutumiwa na TTB kutangaza utalii

  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Utalii Tanzania: Hatujamtuma Mwijaku Kutangaza Utalii Mitaani Ujerumani

    Bodi ya Utalii imemkana Mwijaku 😂😂😂 Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imesema haijamtumia wala kumtuma mtangazaji na mwigizaji, Mwemba Burtony maarufu kama Mwijaku nchini Ufaransa kutangaza utalii mitaani, akiwa balozi wa utalii kwa niaba au kwa gharama za Serikali. Katika taarifa iliyotolewa na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Billionaire kutoka Abu Dhabi aongozana na watu 680 kufanya utalii. Je, Tanzania tunaweza kuvutia utalii huu?

    Bhisho Bulembu Eastern Cape, Republic of South Africa REKODI HII YA RAIS WA UAE MTAWALA WA ABU DHABI Katika mwezi Aprili mwaka 2023 mji mdogo wa Bhisho Bulembu jimbo la mashariki la Cape ambapo kulikuwa na uwanja wa ndege pekee wa,nchi ya Bantustan nchini Afrika ya Kusini uliotelekezwa na...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Chato yaandaa Tamasha la utalii

    MKUU wa Wilaya ya Chato, Deusdedith Katwale amesema wanatarajia kufanya tamasha la utalii kwa lengo la kutangaza vivutio na fursa mbalimbali za utalii zilizoko katika ukanda huo. Akizungumza na waandishi wa habari leo mkoani Dar es Salaam, Katwale, amesema tamasha hilo linatarajiwa kufanyika...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe awataka Wakuu wa Mikoa kufanya maonesho ya Utalii

    Naibu Waziri Kigahe Awataka Wakuu wa Mikoa Kufanya Maonesho ya Utalii Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amewataka Wakuu wa Mikoa yote ya Tanzania kuhakikisha wanafanya Maonesho ya Utalii ili kukuza utalii na kuongeza mapato ya nchi kwa kuwa sekta hiyo inachangia kwa...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi makubwa sekta ya Utalii. Kuna mtu ana swali juu ya Royal Tour?

    Wale washamba fc walipiga sana kelele kuhusu Royal Tour. Wakaongea sana kutokana na chuki zao tu. Sasa nchi imefikia kuvunja rekodi kwa kuingiza watalii Mil 3 na ushee kwa mwaka huu. Sasa niwaulize kuna mtu ana neno la zaidi juu ya kwa nini ilifanyika Royal Tour?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Shirika la Ndege la Tanzania anzisheni safari za Madagascar na Shelisheli moja kwa moja; naona fursa ya utalii kubwa

    Mashirika ya ndege yanayopeleka ndege kwenye visiwa maarifu Afrika ni machache sana. Nimejaribu leo kutafuta ndege ya Kwenye Madagascar au shelisheli kuwatembelea baadhi ya wafanya biashara wanaokula raha huko nimekosea hadi niende Dubai au Ethiopia au Kenya. Ikabidi nisome fursa zilizopo...
  17. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Viongozi mbalimbali wanatoa ushauri mbovu kwa Rais kuhusu suala la Bandari

    Aliyewahi kuwa Waziri asiye na Wizara Maalum na pia Waziri wa Ardhi, Maliasili na Utalii, Pia Katibu Mkuu wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Masuala ya Wanawake Na Rais wa kwanza wa Bunge la Umoja wa Mataifa, Balozi Dkt Getrude ibengwe Mongela Ameshauri Rais kuwasikiliza wananchi na kuacha...
  18. L

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania, Kitovu cha Hifadhi ya Historia ya Afrika na Utalii

    Huezi kuizungumzia Afrika, pasipo kutaja Mlima mrefu zaidi, Mlima Kilimanjaro upatikanao nchini Tanzania. Huezi zungumzia Afrika, pasipo kuitaja Serengeti, hifadhi iliyopo nchini Tanzania na iliyoshinda tuzo ya hifadhi bora zaidi barani Afrika mara nne kwa mfululizo na huezi zungumzia Afrika...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa Marufuku hizi za Zanzibar ni wakati muafaka wa Mikoa ya Pwani kukamata fursa ya Utalii

    Utajiri wa uswizi leo hii umechangiwa sana na namna ambavyo walitumia mwanya wa kutengeneza Sheria nzuri zilizowafanya matajiri wengi wa ulaya kupeleka fedha zao Uswizi kwa kuwa nchi za ulaya zilitengeneza Sheria kali sana za kodi baada ya vita kuu ya pili ya Dunia. Leo hii Zanzibar wametangaza...
  20. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ajira Lukuki za Vijana Kupitia Sekta ya Utalii Nchini Tanzania

    Utangulizi Wakati ninasoma, nilidhani kuwa watalii ni lazima wawe wazungu kutoka Ulaya, na pia nilidhani utalii unafanyika katika mbuga za Wanyama pekee. Nikiwa bado shuleni, nilibahatika kwenda pamoja na wanafunzi wenzangu kutembelea mbuga za Wanyama Manyara na Ngorongoro, tulipokuwa tunakutana...
Back
Top Bottom