Tanzania ni Nchi ya Pili Duniani kwa Kuwa na Vivutio Vingi vya Utalii

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
944
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David kihenzile aridhishwa na maendeleo, usimamizi na maboresho yanayoendelea kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ikiwemo Ujenzi wa jengo jipya la abiria Kiwanjani hapo.

Akizungumza Jijini Arusha mara baada ya kukagua jengo la abiria kiwanjani hapo Naibu Waziri Kihenzile amesema Tanzania ni ya pili Kwa kuwa na vivutio vingi vya utalii duniani hivyo Serikali itahakikisha inaboresha Miundombinu ya viwanja ili kurahisisha huduma za usafiri wa anga Nchini.

F8pYY2mbAAESLzE.jpg
F8pYY22bkAMD97i.jpg
F8pYY22bwAENo8O.jpg
F8pYY2zaoAAwE_h.jpg
 
Hii ni uongo..... Tanzania haipo hata top 10

1. Italy
2. France
3. Spain
4. US
5. China
6. Japan
7. Greece
8. AUSTRALIA
9. EGYPT
10. THAILAND

Kila kitu hawa jamaa kwao ni siasa yani.
 
Hii ni uongo..... Tanzania haipo hata top 10

1. Italy
2. France
3. Spain
4. US
5. China
6. Japan
7. Greece
8. AUSTRALIA
9. EGYPT
10. THAILAND

Kila kitu hawa jamaa kwao ni siasa yani.
Tuwekee source yako tafadhali...
 
Back
Top Bottom