Kwa mujibu wa Takwimu kutoka NBS, Tanzania katika kipindi cha mwaka 2022 ilifanya vizuri zaidi katika sekta mbalimbali zenye mchango wa moja kwa moja katika maisha ya wananchi na pia katika pato la Taifa.
Katika Sekta ya Utalii, kati ya Jan - Oct 2022, Watalii 1,175,697 waliingia nchini ikiwa...