utalii

  1. JamiiForums Tanzania Utalii una fursa kubwa sana ila njia tunazozitumia ndio zinatufanya tusifaidi matunda ya utalii

    Utalii ni mpana sana una vitu vingi sana ambavyo kuulewa inataka muda. Na si kila mtu anaweza fanya kazi katika taasisi za utalii ile ni professional kufikia hadi level ya PhD. Kwa mfahamu wa wengi wetu tunawafahamu tu waongoza watalii (tour guides), receptionists katika hotels ambao wamefanya...
  2. JamiiForums Tanzania Filamu za kutangaza utalii wa Tanzania kuonyeshwa kwenye ndege 300 duniani

    Dar es Salaam.Balozi wa Indonesia nchini Malaysia, Rusdi Kirana amekubali kuonyesha filamu za kutangaza za utalii wa Tanzania kwenye ndege 300 zinazofanya safari kwenye zaidi ya nchi 50 duniani. Balozi Kirana ambaye pia ni mfanyabiashara mkubwa anayemiliki mashirika ya ndege ya Lions Group...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye sekta ya utalii Dodoma

    Habari wanajukwaa, kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina uzoefu wa kufanya reservation, sales, office administration pamoja na reception.
  4. JamiiForums Tanzania Kampeni ya kukuza Utalii kwa kutumia wasanii wa ndani.

    Katika kuelekea mwishoni wa mwaka jana kulikua na harakati za kutangaza utalii wa nchi yetu kutumia "celebrities" wetu wa Kitanzania. Katika kampeni wasanii wa filamu pamoja na wa Bongo fleva walihusika kwa kushirikiana na kiongozi wa Wizara husika. Mimi ni mdau wa utalii na ninajua utalii wa...
  5. JamiiForums Tanzania CAG tunaomba ukague hizo pesa za wasanii kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii

    Nimefuatilia sana majibishano ya baadhi ya viongozi tukajua n bifu za kawaida. Sasa kwa yanayoendelea kila msanii anakana hajapewa hela jamani tunaomba hii hali ikaguliwe na CAG wetu na jambo hili liwekwe wazi ama bungeni ama kwenye vyombo vya habari. Leo mtaruhusu haya atakuja mwingine...
  6. JamiiForums Tanzania Uwakala wa soko la utalii na usafiri wa ndege (Travel & tours)

    Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka nje ya nchi.
  7. JamiiForums Tanzania Inabidi taxi za majini zianzishwe Dar es Salaam ili kurahisisha usafiri na kuwa sehemu ya utalii

    Sea taxi ni usafiri wa boti au meli ndogo zenye kubeba abiria kutoka eneo moja kwenda eneo lingine ndani ya bahari, na ndani ya boti abiria huweza kupata sehemu za burudani kama televisheni, eneo la wazi, mgahawa na sehemu ya mkutano. Hii imekuwa ikifanyika katika nchi mbalimbali mfano kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wayahudi wakwepa kero kwao msimu wa Christmas waja Tanzania

    World citizen good morning, Kuna ugeni mkubwa wa watalili kutoka Israel umeingia bongo land ni taarifa nimepata hivi karibuni, nadhani wengi watakuwa wanakerwa na sherehe ya Christmas huko kwao wakaona isiwe tabu ngoja tuwapishe mkimaliza tutarudi, kutokana na Watanzania wengi kutokujua...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii soko la utalii tusilitegemee sana pamoja na kuwa na Bombardier

    Watalii wengi ni wafanyakazi wa kuajiriwa. Wengi hutegemea credit cards kifanyike utalii na wanalipa kila mwezi. Likizo huwa zinatolewa siku tano, yaani wiki moja; au siku kumi, yaani wiki mbili (ukitoa Jumamosi na Jumapili). Sasa mtalii amechukua likizo ya siku tano anakwenda Mikumi National...
  10. B

    JamiiForums Tanzania CNN: Tanzania yatoa kivutio namba 1 cha kutembelewa kwa mwaka 2020, yazishinda nchi nyingine 30

    With its expansive landscapes and formidable animal life, the world's second-biggest continent is arguably the best for photographers. Throw in that sense of being in a place that hasn't changed for centuries, and sometimes millennia, and you get some of the most inspiring, and inspired...
  11. JamiiForums Tanzania Je, kipigo cha aibu alichopigwa bondia Mtanzania Seleman Said hakijatutangaza kidunia na kuimarisha sekta ya utalii?

    Nadhani yatupasa tusimlaumu wala kumsema vibaya Bondia Selaman Saidi kwa aibu ya Kufungia mwaka aliyotupa Watanzania jana pale nchini Saudi Arabia bali badala yake nadhani Watanzania wote hasa kwa Serikali kupitia Waziri wake Hamis Kigangwala wanatakiwa wamuandalie Mapokeza makubwa sana ambayo...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Shirika la Makumbusho ya Taifa Posta mnatia aibu Wizara ya Maliasili na Utalii

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni mdau wa sekta ya utalii na tunaleta wageni wengi tu hapo Makumbusho ila kutokana na aibu na fedheha kutoka kwa wageni tunaowaleta imebidi niliseme hili. Choo kinachoonekana pichani kinatumika na wageni pamoja na wafanyakazi wa shirika la Makumbusho...
  13. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Serikali yanunua ndege ili kuutangaza utalii wa nchi yao

    Ndege mpya ya Uganda Airline inayomilikiwa na Serikali ya Uganda leo imezindua rasmi safari zake za kwenda Mombasa Kenya kwa kile kilichoelezwa kuwa kutangaza na kuimarisha sekta ya utalii. Msemaji wa Uganda amesema sasa ndege za shirika hilo zinamilikiwa na Serikali tofauti na hapo awali...
  14. JamiiForums Tanzania Hasunga amsaidia Kigwangalla kunadi vivutio vya utalii

    Wakati Dk Hamis Kigwangalla akiambatana na wasanii wa bongofleva kuhamasisha utalii wa ndani, Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga ametoka kivingine. Kwa kutumia fursa ya Tanzania kuandaa mkutano wa kimataifa uliowakutanisha wadau wa korosho kutoka kila pembe ya dunia, Waziri Hasunga ameviuza...
  15. JamiiForums Tanzania Biashara ya vitalu vya uwindaji yadoda

    Vitalu vya uwindaji wa kitalii 71 kati ya 159 vilivyopo nchini vimerudishwa na wawekezaji licha ya kuwa na idadi kubwa ya wanyamapori kutokana na sababu mbalimbali ikiwapo kuyumba kwa biashara ya uwindaji wa kitalii. Akizungumza na Mwananchi jana mjini hapa, kamishna mkuu wa Mamlaka ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Bilionea wa China Jacky Ma yupo nchini Tanzania

    Wiki Iliyopita nilipokuwa Nasafiri kwenda Serengeti na familia kupitia Mwanza, baada ya kutua na AirTanzania uwanja wa Ndege Mwanza majira ya Saa mbili kasoro Asubuhi...nilivutiwa na ndege moja Private Jet (Pichani)iliyokuwa imepaki pembezoni mwa kiwanja kwa ninavyozifahamu ndege (As Rubani wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mabasi ya utalii yatua Dar, mabilioni ya fedha yatengwa

    Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam imepitisha Sh75 bilioni za bajeti kwa mwaka 2018/2019 huku kipaumbele kikiwekwa kwenye utalii. Kati ya fedha hizo, Sh65 bilioni ni za maendeleo ambazo zitahusisha miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa kituo cha mabasi Mbezi Louis, madarasa na vibanda vidogo...
  18. JamiiForums Tanzania Kufungua kampuni ya utalii

    Naomba mwongozo iwapo nataka kuanzisha biashara ya Utalii, mambo gani ni ya muhimu kuyazingatia?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…