utajiri

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

    Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake. Ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana, how can a person be worth Trillions...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Weka picha ya gari namba 'E' kuonesha utajiri wa Tanzania

    Mimi nimeishia la saba B, hivyo siwezi bishana na mwenye PhD. Leo nilikuwa natembea nikaona gari kadhaa za namba E, nimezipiga picha. Kwa wengine kama mkiyaona yapigeni picha kuonesha utajiri wa watu wa nchi hii. Pia kama ukipita bar au club piga picha nyomi tuone utajiri wa nchi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona wanakung'ang'ania wakupe utajiri wa haraka jua wamekuona akili yako ni chenga

    UkIONA WANAKUNG'ANG'ANIA WAKUPE UTAJIRI WA HARAKA JUA WAMEKUONA AKILI YAKO NI CHENGA 😔 Umewahi kusikia watu wakijinadi kutoa utajiri wa HARAKA? Yaani kulala maskini na kuamka tajiri? Taarifa isiyopendeza ni kuwa kama nawe ni mmoja wa wateja wao basi jua kuna kitu kwako hakipo sawa na tayari...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sababu kubwa ya Nyerere kumkataa Lowassa asiwe Rais ni utajiri wake uliotokana na urefu wa kamba yake wakati huo!

    Juzi hapa niliweka thread JF iliyosema wengi wa matajiri wa Tanzania ni wanasiasa na sio wafanya biashara, nikiwa na maana kwamba utajiri wao haujatokana na kufanya biashara bali umetokana na nafasi zao za kisiasa au uongozi serikalini kujitajirisha - urefu wa kamba zao. Kwa wengi wetu huo ni...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wasanii ambao bongo fleva / hiphop imewapa mafanikio makubwa

    1. DIAMOND PLATNUMZ - CEO wa wasafi fm na tv + label, msanii pekee mwenye msururu wa ndinga za kwenda mbele 2. MR NICE - Ni Diamond pekee ndie alieweza kumfikia ukwasi akiwa peak, miaka hio ya 2003 inasemekana alikuwa anamiliki ukwasi wa bilioni 1 ya enzi hizo 3. AY - Mzee wa commercial...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Siasa na utajiri

    Mo, Lowassa, Rostam wote waliingia kwenye siasa kulinda uwekezaji wao na mapenzi ya vyama ni fake. Ndiyo maana wameingia na kutoka. Hata Lowassa iko siku atatoka. Ukiangalia vizuri marafiki zao wa kweli sio makada na vyama bali watu. Chini chini Mbowe ni rafiki wa wote hao kwasababu ya...
  7. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Ukijifunza kwa waliofanikiwa, hawawezi kukupa njia za mafanikio

    Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝 Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza kuhusu mafanikio yake lazima atakuambia: • Nilianza kuuza karanga za kupima. • Nilianza kushona viatu...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Utajiri wa Mo Dewji ulipoanzia hadi ulipofikia hivi sasa

    Unapofanya kazi kwa bidii na unapokuwa na nidhamu basi mafanikio huwa ni suala la kugusa tu. Mo Dewji amelidhihirisha hilo kwa kuongeza utajiri aliokuwa nao toka Dola Millioni 30 hadi kufikia Dola Billioni 1.8 za kimarekani. ANGALIA HAPA HISTORIA YA MAFANIKIO YAKE KUANZIA MWAKA 1999. Written...
  9. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini, Global Financial Crisis (Mtikisiko wa uchumi) is coming and real

    Kuna mitikisiko midogo midogo ya uchumi huwa inatokea na inadumu kwa muda mfupi lakini kuna ile mikubwa kama Great Depression, hii mikubwa yote huwa inatanguliwa na vita pamoja na utra super overspending kuanzia level ya watu binafsi, familia, makampuni hadi nchi kwa ujumla. Nikisema ultra...
  10. Mhina Martin

    JamiiForums Tanzania Utajiri upo katika kilimo bora cha mpunga, chukua nondo hizi

    KILIMO BORA CHA MPUNGA: A: kuandaa shamba shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow) Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti weka mifereji ya Maji vizuvizur Andaa majaruba mapema yawe level kupitika Kwa maji B: UANDAAJI WA MBEGU NA KUPANDA Kwa kilimo Cha nchi kavu...
  11. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kukagua vyanzo za utajiri kutawawezesha maafisa wa usalama kupata hela za kutumia christmas

    Serikali ilijenga nyumba Chanika halafu zikawa hazinunuliwi. Magufuli akaenda Chanika,akasema tutapunguza bei ya hizi nyumba ili watu wamudu kuzinunua. Jennister Mhagama ndiye alikuwa waziri mhusika wakati ule. Tatizo ,wanasema,kwa nini nyumba zile zilikuwa hazinunuliwi ni kwamba watu walipokuwa...
  12. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Shuhuda za utajiri utokanao na kilimo Tanzania

    Kuna matajiri wakubwa Tanzania ambao utajiri wao waliupatia kwenye kilimo. Kuna ambao ni wakulima matajiri wanaoendelea na kilimo mpaka sasa. Na kuna matajiri walioamua kuingia kwenye kilimo baada ya kugundua kuwa kilimo kinalipa kuliko biashara zao za awali. Na, kwa mujibu wa huu uzi, kilimo...
  13. Mitch McDeere

    JamiiForums Tanzania Kwako Mtanzania: Usajili kwenye Chama cha Utajiri

    USAJILI, UTAJIRI, UMAHIRI Kuanzia sasa ninafanya usajili, Kuanzia sasa ninajisajili, Najiunga kwenye chama cha utajiri. Kwanza nitaboresha uwezo wangu wa akili, Kila jambo nitafanya kwa kufikiri, Na kwenye kazi yangu nitaongeza umahiri. Kwa nini nimeanza na akili? Kwa sababu nilimsikia tajiri...
  14. Njanga Tz

    JamiiForums Tanzania Kwanini utajiri wa familia za Kitanzania sio endelevu vizazi kwa vizazi? Je chanzo ni Siasa na Utawala au ulozi?

    Hili swali kila siku najiuliza sipati majibu sahihi. Utajiri wa mababu zetu umeenda wapi? Uhakika ni kwamba walifanya kazi na walikuwa na mali za kutosha lakini kwa sasa hazionekani tena.
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Zaka ya 10% unatoa kwenye faida au kwenye utajiri wako?

    Habari. Assume wewe ni mfugaji wa Kiebrania. Umepewa urithi wa ng'ombe 100 na baba yako. Ndani ya mwaka wakazaliwa ngombe 20. Ukawa na ng'ombe 120. Wakati wa kutoa zaka unefika. Je utatoa ng'ombe wawili kama asilimia kumi ya ng'ombe ishirini walioongezeka au utatoa ng'ombe 12 kama asimilia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazawa utajiri wetu ni wa kawaida?

    Nimejiuliza nimekosa majibu, 2015 alikuja mhindi mmoja nyumbani akiomba nimpatie gari abebe vyuma chakavu from Jombe to Kibaha , since then amekuwa kama mshikaji bado nampakilia sana vyuma, kinachonishangaza amekusanya mtaji mkubwa kwa miaka michache, pesa aliyonayo ni kubwa sana, wakati...
  17. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kitu gani kinatusumbua sisi mpaka biashara au utajiri wa kifamilia unakuwa mgumu sana au una shindikana kabisa ?

    Hili ni swali huwa najiulizi mara nyingi. Hivi ni kitu gani kinasumbua jamii yetu mpaka utajiri au biashara za kifamilia kufa na kushindwa baada ya mwenye mali kufa ? Maana ukitazama wenzetu waarabu wanaweza kufanya biashara au kuendeleza utajiri wa familia kwa miaka mingi sana vizazi na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kama unataka utajiri kwa nchi maskini, ingia kwenye siasa; Kama unataka kuwa mwanasiasa kwa nchi tajiri, kuwa tajiri kwanza

    Ukweli mchungu sana kwamba katika nchi za kishenzi ili uwe tajiri, basi uingie kwenye siasa. Lakini katika nchi zinazojielewa kama Marekani na nchi za Ulaya, ili uwe kiongozi wa kisiasa lazima uwe vizuri kiuchumi, yaani ni lazima uwe tajiri. Hii hali huwa na athari mbaya kwa nchi zetu kwa...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Hamas na utajiri wao kutokana na ufadhili wa kigaidi

    Wananchi wao wanakufa na tabu huku pesa wakizifadhili zaidi katika kutimiza itikadi ya kigaidi na kuboresha maisha yao binafsi.
  20. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Utajiri wako na hali nzuri ya maisha unayojisifu nayo si lolote kama jamii inayokuhusu ni masikini na fukara

    Fikiria huko sehemu na jamaa zako mkila bata alafu jamaa fulani amnong'oneze mwenzake "unamuona huyo jamaa! kwao ni masikini wa kutupwa". Au umekaa sehemu za ushuani kama "masaki" ukiwa na marafiki na wewe unaishi mbagara japo umejenga mjengo wa maana mbagara (ghorofa) alafu wakati...
Back
Top Bottom