Fungua jicho la tatu

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,862
Wakati mwingine nasema sijui niwafumbue watu macho, muone kile watu wengi wanavyoviona ama niache. Nikiandika kidogo, watu wanakuja na kusema bro! Mwisho utakufuru...bro! Haya mambo ni makubwa sana... Na kadhalika.

Nisikilize! Hii dunia ina siri kubwa sana. Ina siri kubwa ambazo ukizisikia utajiona hufahamu kitu chochote kile, ila kwa dunia ya sasa hivi hawataki kuona wewe ukifumbuliwa macho, na yeyote anayejaribu kuwafumbua macho basi wanamuua.

Ndiyo!

Walimuua Dk. Sebi kwa sababu alisema magonjwa yote duniani yanaponywa kwa matunda tu, unaumwa Ukimwi, anakwambia nenda kale tunda fulani na fulani kwa siku kadhaa, unaumwa kansa, anakwambia nenda kale tunda fulani na fulani. Yaani kila mtu anayejifanya kimbelembele ni lazima apotezwe.

Kwa dunia ya sasa hivi ukisema una dawa ya Ukimwi wanakumaliza haraka sana, kwa nini? Ni kwa sababu mambo ya jicho la tatu hutakiwi kuyatoa mbele ya watu wengine, elimu ya jicho la tatu haitakiwi kupokewa na kila mtu, wapokee wachache, na wakae kimya, vinginevyo tunakuua.

Hapa Tanzania kuna mambo mengi ya ajabu huwa yanatokea, ila huwezi kuyaona kama huna pesa. Ukitaka kujua siri za jiji la Dar es Salaam na Tanzania yake basi tafuta pesa.

Kwanza utayasikia na kuyaona usiyowahi kuyaona tangu uzaliwe, kuna vitu huwezi kufumbuliwa macho bila kuwa na pesa, hata hapa duniani kupo hivyohivyo. Unaambiwa matajiri wanajua mpaka kuhusu Mungu. Nawazungumzia matajiri wakubwa duniani, yaani wao wanamjua Mungu wa kweli ni yupi na wa uongo ni yupi! Inawezekana wewe unayemuabudu siyo yule anayejulikana kwamba ni wa kweli, hii ndiyo siri waliyoiweka ambayo hawataki hata tuisikie.

Ukienda upande wa Waislamu, wanavutiwa sana na Waarabu, yaani mtu akionekana kuwa ni Mwarabu halafu akaenda msikitini kuswali, watu wanaona kama malaika fulani ameingizwa msikitini.

Haya mambo yalitengenezwa, yaani si kwa hiari yako bali kuna watu walikaa kikao na kusema tufanye hivi na hivi, Mwarabu aheshimiwe, wakaseti mambo yao, kila kitu kikawa hivyo.

Kwa Wakristo wao Wazungu, wanamuheshimu Mzungu utadhani nini. Bro! Kila kitu kimewekwa hivyo, yaani wanajua ni kipi kinachotakiwa kufanywa.

Leo ukienda Uarabuni ndipo watu wanaongoza kufirwa (Hili neno si tusi, limeandikwa mpaka kwenye Biblia). Wafiraji ni wengi sana Uarabuni, na wanaofirwa ni wengi sana, lakini watu hao hao leo wanakwambia ukifanya hivi kuna lile na hili, jaribu kukaa na msichana aliyekwenda Uarabuni na kuishi huko.

Waarabu na Wazungu wanaongoza kwenye suala la ufiraji lakini kitu kinachotokea kwa Waarabu hawataki kujionesha. Kuna jamaa yangu alipata demu wa Kiarabu akaniambia yule manzi yaani hataki mbele, yeye ni nyuma tu, na nikawa nampelekea moto. Sehemu nyingi ambazo Waarabu wameishi kwa wingi zamani, kwanza hazina maendeleo, la pili michezo ya kufirana imekuwa mingi. Angalia Kilwa, Tanga, Bagamoyo, Dar na sehemu nyingine.

Okay! Tuendelee.

Hii dunia watu walikupangia Mungu wa kumuabudu, wakatengeneza stori nzuri sana za kukuaminisha kila kitu. Wakataka kuona Waafrika wasiendelee, wasishikilie elimu bali dini, na wakafanikiwa.

Leo! Vijana wengi wa Kiislamu wanasimamia dini kuliko elimu ya darasani. Kuna jamaa mmoja alikuwa anazungumzia mambo ya anga tu, kila mtu akawa anamsifia, oya! Huyu Shekhe amesoma sana, yaani anafafanua mambo hatari...mambo aliyokuwa akiyafafanua, niliyajua miaka kumi iliyopita.

Kwa nini walishangaa?

Kwa sababu familia nyingi za Kiislamu zinawataka watoto wakazanie dini kuliko elimu ya darasani. Yaani unaweza kukuta mashehe kumi hakuna hata aliyemaliza kidato cha nne. Wengi wanaishia la saba.

Tunaongea kidogo. Naanzia mbali lakini nitahakikisha tunafika pale tunapotakiwa kufika.

Hii dunia wakati inatawaliwa na Waroma, wao walihakikisha kila mtu anapata elimu. Waroma waliona kabisa hii dunia inapokwenda kuna siku elimu itakuwa muhimu zaidi, nini kufanyike? Kwanza wakahakikisha wanakuwa na elimu kubwa na ndiyo maana wakajenga vyuo vikubwa mpaka kuiba elimu ya Wamisri kwa kuwa walihitaji kujifunza zaidi.

Waroma wakahakikisha wanatoa elimu kwa waumini wao, shule za Kiroma ndizo zinazoongoza Tanzania kwa kufaulisha, ama nadanganya? Ukienda kusomea upadri, huwezi kuwa padri bila kuwa na PhD, kwa nini? Kwa sababu siku zote Waroma wanaamini kwenye elimu.

Ukija kwa Waarabu, wao wanaamini kwenye pesa, utajiri na biashara. Tangu zamani Mwarabu alikuwa mfanyabiashara mkubwa sana. Hakukuwa na mfanyabiashara wa Kiarabu aliyesitisha utumwa, wao waliuza na kununua watumwa, Wazungu ndiyo walipiga marufuku utumwa, kwa nini? Kwa sababu waliona mbali na yote huyu mwafrika alitakiwa kusoma.

Waarabu wakaleta umwinyi. Wakawa hawafanyi kazi kwa kuwa wana pesa. Sasa walipokuja huku Afrika, wakaambukiza hicho kitu na ndiyo maana ukienda Tanga wazee wapo wanacheza bao tu, ukienda Kilwa na kwingine, kule kote Mwarabu alipeleka mambo yake, Waafrika tukayachukua bila kujua kwamba huyu aliyetuletea haya mambo yeye ni tajiri, hata asipofanya kazi atakula.

Braza! Bado sijafika pale ninapotakiwa kufika na kujaribu kukuonesha jicho la tatu linaonekanaje kwenye hii dunia. Nitataka ujifunze baadhi ya mambo, usikasirike, wewe soma hapa kisha yachukue yale muhimu, yale mabaya, yapotezee.
 
Kuna kitu umepotosha, waarabu walikuwa wakifanya biashara ya watumwa na wazungu, wazungu walikuwa wanawanunua na kuwapeleka kwenye mashamba mfano ya miwa huko CUBA, HAITI, BRASIL, AMERICA n.k....sio kwamba walitaka waafrika wasome no{hawana upendo huo} walifanya hivyo baada ya mapinduzi ya viwanda na uvumbuzi wa mashine za uzalishaji.

Jiulize kwa nini ina watu weusi kuliko Morocco? Walitoka wapi???? Na kwa nini uarabuni hamna waafrika wengi kuliko Ulaya?

Ulikuwa unaandika huku unakaanga mayai!!
 
kuna k2 umepotosha,,,waarabu walikuwa wakifanya biashara ya watumwa na wazungu,wazungu walikuwa wanawanunua na kuwapeleka kwenye mashamba mfano ya miwa hukoCUBA,HAITI,BRASIL,AMERICA n.k....sio kwamba walitaka waafirca wasome no{hawana upendo huo} walifanya ivo baada ya mapinduzi ya viwanda na uvumbuzi wa mashine za uzalishaji,,,,,,,jiulize kwa nini ina watu weusi kuliko morocco????walitoka wapi???? na kwa nini uarabuni hamna waafrika wengi kuliko ulaya ?????ulikua unaandika uku unakaanga mayai!!
Bro Fungua Jicho la Tatu acha kukurupuka au kuangaika kama maharagwe yanayochemka. Pitia tena
Ukija kwa Waarabu, wao wanaamini kwenye pesa, utajiri na biashara. Tangu zamani Mwarabu alikuwa mfanyabiashara mkubwa sana. Hakukuwa na mfanyabiashara wa Kiarabu aliyesitisha utumwa, wao waliuza na kununua watumwa, Wazungu ndiyo walipiga marufuku utumwa, kwa nini? Kwa sababu waliona mbali na yote huyu mwafrika alitakiwa kusoma.
Ukisoma ujumbe huo vizuri ninamanisha kuwa waarabu wao walikuwa wanaunua watumwa na kuwauza kwa wazungu... Yani ni kama vile unavyochuuza nyanya kutoka kwa waauzaji wadogo wadogo akafu wewe unaenda kuuza kiwandani. Wazungu ndio wakawa wanawanunua hao watumwa na kuwapeleka kwenye mashamba yao au viwanda vyao ambapo baadae mzungu akaanza kuacha kununua watumwa na kuanza kuwafundisha shule

Wazungu ndio watu waliofungua shule barani afrika huku waarabu wao wakijikita na umwinyi kwa kuwafanyisha waafrika kazi kwenye biashara zao za maduka na za mashambani.

Ndio maana shule za wazungu kwenye nchi nyingi za Afrika ni nyingi kuliko shule za waarabu.

Ukienda huko Jamaica, Cuba, Haiti na nchi za carrebean utakuata wazungu baada ya utumwa wakanza kufungua shule hasa za Seminari lengo likiwa ni kutoa Elimu kwa watu weusi

Acha kukurupuka FUNGUA JICHO LA TATU
 
Back
Top Bottom