utajiri

  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa mkoa wa Kagera wanaongoza kwa kipato cha chini licha ya Wahaya kutamba sana?

    Takwimu zinaonesha kwamba, Kagera ni kati ya mikoa ambayo watu wake wana kipato kidogo zaidi. Pamoja na yote tunayofahamu kuhusu wenyeji wa mkoa huo (Si unajua tena: wasomi, wenye pesa, watu wa kwenda nje ya nchi na mengine). Mkoa huo umezidi kudorora kwenye kila nyanja ya maendeleo. Toa Maoni...
  2. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Utajiri uko hapa. Serikali chukueni ushauri wangu mzuri na muufanyie kazi, mtanishukuru baadaye

    Nchi nyingine vitengo vya intelligence vinajaza watu wenye akili kubwa, na maono mapana. Idara yetu inajaza makada tu wa CCM ambao hawana tija wala uwezo wa kuishauri serikali ifanye nini ili ijikwamue na huu umasikini unaolimaliza taifa, ndio maana utaona machawa wa mama wanazunguka ndani na...
  3. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Nabii Shepherd Bushiri ametoka mbali aisee. Hamna utajiri unàtokana na kuembewa, ila utatajirika kwa kuvitumia vyema vipaji vyako na ufala wa watu.

    Huyu jamaa hajatajirika kwa kuombewa, amesota hadi akajua kutabiri. Aktafuta ka angle ambako ana ku screen hadi bibi na babu yako shamba huko, akaanza kutengeneza mpunga. Kamwe huwezi kutajirika kwa kuombewa, ila kwa kutumia karama na vipaji ulivyopewa na Mwenyezi Mungu.
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania BoT: Kipato cha kila mkazi wa Dar chaongezeka kwa shilingi Laki 5, wa mikoani kwa Laki 1

    Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na BoT kwenye ripoti yake ya Consolidated Report ya mwaka 2022 inaonesha Pato la Kila Mkazi wa Dar limeongezeka Kwa Shilingi Laki 5 wakati wastani wa Pato la Kila Mtanzania likiongezeka kutoka sh.2.7 mln Hadi sh 2.8 mln (Laki Moja) Kwa mwaka 2022. My Take: Kila...
  5. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Tabia 15 za Wanaotafuta Utajiri

    Kuna Tabia za kila namna huku duniani.Kuna tabia za watu maskini,kuna tabia za matajiri na aina nyingine nyingi za makundi ya kitabia.Kabla ya kuanza kuelezea kuhusu tabia za watu wanaotafuta utajiri(Tabia ambazo wakiwa nazo ndipo wataweza kufanikiwa kuwa matajiri) Nataka kwanza nieleze maana ya...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Fungua jicho la tatu

    Wakati mwingine nasema sijui niwafumbue watu macho, muone kile watu wengi wanavyoviona ama niache. Nikiandika kidogo, watu wanakuja na kusema bro! Mwisho utakufuru...bro! Haya mambo ni makubwa sana... Na kadhalika. Nisikilize! Hii dunia ina siri kubwa sana. Ina siri kubwa ambazo ukizisikia...
  7. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa performance kwenýe majukwaa ya show za wasafi festival 2023 ni utajiri wa mabilioni kwa wasanii Tanzania, Diamond platnumz aheshimiwe sana

    Kuna jambo la ubunifu wa hali ya juu unafanyika katika matamasha ya wasafi 2023 lichavya kuonekana wasanii wakiongozwa na diamond platnumz kama wanatumia mamilioni ya pesa ila kuna kitu kipta kinazaliwa kwenye sanaa ya mziki wa Tanzania. Hakika ubunifu wao umewagusa watu mbalimbali africa na...
  8. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

    For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha? Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Utajiri na ustaarabu

    Je utajiri unaweza kuchangia ustaarabu wako? Nimekuwa nikitazama kwenye zebra kwa utafiti wangu. Ni rahisi V8 awape chance ya kuvuka watembea kwa miguu kuliko ist na bodaboda. NB. Assumption ya utafiti ni kuwa mwenye v8 ana kipato kuliko bodaboda. Update. Angalia daladala zinazokwenda sehemu...
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

    Mpaka ufikie level ya kuwa tajiri, ni lazima uwe umefanyiwa umafia hadi na wewe unakuwa mafia mkubwa. Utajiri ni himaya, kila jicho linaiangalia himaya kwa husda. Kuna uchawi, ujambazi, figisu na michezo yote michafu. Ukiwa tajiri utajilinda wewe na uzao wako kiroho, kimwili na kitàaluma ili...
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Usitafute utajiri, utajiri ni matokeo. Tafuta kibali cha Mungu

    Kitu muhimu ni kuomba Mungu akupe kibali au upendeleo. Mengine yote ni matokeo ya kibali ulichopewa na Mungu. Ukipewa kibali na cha uzima, hakuna mfumo au mtu wa kukunyang'anya haki ya kuishi. Ukipewa kibali cha utajiri, unaweza kuwa mkulimq mkubwa kwenye ardhi isiyo na rutuba kama Isaka na...
  12. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Huu ndio mtiririko wa utajiri wa waumini wa dini 4 zinazoamini Biblia. Wa mwisho watakushtua.

    1: Uyahudi (Judaism). Hawa ndio wanaoongoza kwa utajiri kwani wao wanaamini torah (vitabu vitano vya Musa) vina sheria 613 ambazo ni code za utajiri ukizitumia maishani. Pia wanaamini TANAKH (Yoshua hadi malaki) pamoja na vitabu vyao vinavyotafsiri maandiko hayo kuna siri kubwa za utajiri...
  13. Marathon day

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Utajiri wa Koplo Adronis Mushi wa Kituo cha Polisi Kabuku uchunguzwe

    Ndg Wana jamvi, Kumekuwa na malalamiko mengi kwa mabasi na magari mengi yanayo pita njia hii ya SEGERA Chalinze kutokana usumbufu wa Polisi huyu. Anatuhumiwa kwa kulazimisha kupewa rushwa na kubambikia watu makosa hata kuwawekea madereva wa mafuso mirungi, na kudai rushwa kubwa. Watu...
  14. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Mama katengeneza mazingira ya wawekezaji ambayo ni rafiki, wawekezaji waje

    Katika ziara ya kongamano la uwekezaji huko Lindi nimemsikia wakisema Mama katengeneza mazingira ya wawekezaji ambayo ni rafiki, wawekezaji waje, kaulu ya kwamba sisi matajiri wakati hatuna uwezo wa kuyatoa hayo madini aridhini haina tija tuwape wenye uwezo. ni kauli sahihi kabisa., Lakini kwa...
  15. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Kama unajitafuta nje ya Dar es salaam, sahau kuhusu utajiri

    Huu ndo ukweli vijana wenzangu ambao mnapambana kucha kutwa kutafuta unafuu wa maisha ndani ya Bongo hii ila mkiwa nje ya mkoa wa Dar Es salaam ahsee kuja kutoboa sio simpo kihivyo. Sio kwamba hakuna waliotoboa ila walifanikiwa kwa kuchelewa huku wakiwa wamechoka sanaa, ukiwa kijana wa sasa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Afrika ni Bara lililobarikiwa utajiri wa raslimali za kila aina, likalaaniwa viongozi wake

    Afrika ni bara tajiri sana duniani. Lina rasilimali za kila aina kuanzia ardhi nzuri inayofaa kulima mazao ya kila aina, maji, hali nzuri ya hewa, uoto wa asili ikiwemo misitu, madini, mafuta, gesi n.k. Viwanda vingi duniani vinaendeshwa na raw-materials toka Afrika. Cha kustaajabisha, nchi...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Utajiri , umasikini unapatikana katika Akili ya Mtu

    Wakuu habari ya uzima Kiukweli Younger Generation waambie tu ukweli ili wasiendelee kupotea ili kuwa Tajiri au kuwa masikini na kuishi Maisha ya wastani ni namna unapoamua kuiweka Akili yako katika mitazamo chanya. That's way Kuna watu hawana MIKONO Wala Miguu ila wanamiliki ukwasi Mkubwa...
  18. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Je, Afrika yenye utajiri mwingi inakuwaje bara maskini zaidi duniani?

    Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso. Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu. Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso...
  19. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya Nje Danmark alisaini mkataba akiwa kalewa wa kuipa Norway utajiri

    Hækkerup is most widely known for the agreement he reached with the Norwegian Minister Jens Evensenthat gave Norway the oil-rich Ekofiskoil field in the North Sea. According to an urban legend, Hækkerup was drunk when he signed the agreement.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Karamay, Xinjiang wanufaika na utajiri wa ‘Mlima wa Mafuta Meusi’

    Mji wa Karamay uliopo mkoani Xinjiang, China, ni mojawapo ya maeneo yenye maajabu makubwa ya kiikolojia duniani. Tangu enzi na dahari mji huu ulihifadhi hazina iliyokuwa tuli kwa mamilioni ya miaka na baadaye kugeuka kuwa ardhi inayotema mafuta. ‘Mlima wa Mafuta Meusi’, unajulikana sana kama...
Back
Top Bottom