Video: Utajiri wa Mo Dewji ulipoanzia hadi ulipofikia hivi sasa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Unapofanya kazi kwa bidii na unapokuwa na nidhamu basi mafanikio huwa ni suala la kugusa tu.

Mo Dewji amelidhihirisha hilo kwa kuongeza utajiri aliokuwa nao toka Dola Millioni 30 hadi kufikia Dola Billioni 1.8 za kimarekani.

ANGALIA HAPA HISTORIA YA MAFANIKIO YAKE KUANZIA MWAKA 1999.


Written by Mjanja M1 ✍️

Soma hapa Elon Musk atolewa namba moja kwenye orodha ya Matajiri Duniani
 
Utajiri wa Mo dewji ni wakurithi haukuanza 1999 yeye anafanya kuuendeleza
 
Haina shida,muhimu si anamiliki
Mtoa mada ametuambia ameanza kufanikiwa kuanzia mwaka 1999 kitu ambacho sio kweli.
Hiyo ni familia ya kitajiri ,Mo dewji kaukuta .
Na kuhusu kumiliki ni kweli anamiliki yeye Kwa niaba ya familia yao
 
Back
Top Bottom