ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Morocco forever

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Fikiria kwamba Ukraine ni Palestina" Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi atoa Ushauri wa Kejeli

    "Fikiria kwamba Ukraine ni Palestina."Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi atoa ushauri wa kejeli kwa wale wanaokataa shambulio la kijeshi dhidi ya nchi yake
  2. N

    JamiiForums Tanzania USHAURI BIMA ILIYOBORA YA NYUMBA NA MAJENGO.

    Habari zenu wakuu eid mubaraq husikeni na kichwa cha uzi wangu apo juu ninaomba kujua au kuambiwa na wanajamii forums juu ya bima ipi itanisaidia endapo nitapata ajali ya nyumba yangu ya kibiashara au jengo langu la kibiashara.asanteni wakuu jengo langu lina thamani ya milioni mia moja.
  3. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Nitoe ushauri wangu hapa kuwamaliza kabisa panya Road

    Naomba niwape ushauri wa kuwamaliza hawa viumbe. Kwanza kabisa mfumo wa dar umekaa tofauti sana na mikoani, ndio maana huwezi kuona magenge haya ya waharifu katika mikoa mingine, watu wanao tamba bara barani na kufanya uharifu. Ingekuwa ni mkoani tungetumia mbinu ya sungusungu kumaliza hili...
  4. ngajapo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukraine wasipokuwa makini wakiendelea kufuata ushauri wa magharibi taifa lote litapotea..

    Wana JF tumekuwa wachangiaji wazuri sana wa mijadala juu ya vita inayoendelea huko ulaya kati ya mafahari watatu yaani Urusi, NATO na Ukraine.. mpaka tumefikia hatua tunabishana as if ni simba na yanga... yaani hata timu iwe mbovu hatuachi kuunda sentensi zenye propaganda nyingi ili mradi tu...
  5. Maria Nyedetse

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

    Hello wanajamvi, Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na weekend!! Kwa wale mashabiki wote [simba na yanga] nawatakia ushindi lakini sipendi yoyote afungwe for the sake ya furaha ya marafiki na jamaa zangu waliogawanyika katika kambi hizo mbili na wote nawapenda. Back to the topic; Leo...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ushauri Mkubwa niliopata leo wa Kununua Gari. Hili ndo gari litakalikufaa.

    Hii gari haina complications kabisa kwa maelezo ya mtaalamu mmoja mwenye uzoefu wa hii gari kwa miaka mingi. Anasema hii gari akienda kufanya service ya engine oil. Huwa hahangaiki kuulizia oil gani n.k. anasema ni oil ambayo kwa siku hiyo itapatikana hapo garage ndo itawekwa na kagari wala...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lwaitama: Sishangai Msigwa kumsifia Rais wa nchi hasa wa CCM

    mi ni miongoni mwa waliomsifia Rais Samia Kwa baadhi ya mambo Kama hili la kuleta demokrasi angalau Kwa asilimia 35 , ni vizuri Kabisa kuona hata ndani ya Chama kuna wanaotofautiana mawazo na yajibiwe Kwa heshima si matusi. Leo nimemuona Mbunge mstaafu wa Iringa mjini akisifia Royal tour ni...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mabere ni mwandishi nguli na Kanda ya Ziwa hutoa habari zake kupitia kituo chenu cha ITV

    Imechukua muda mrefu sijasikia sauti ya Mabere Mkaubi wa ITV. Kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa Mabere Makubi amekuwa akiripoti habari kupitia kituo chenu habari ya uhakika na kwa kweli Mabere Makubi anapendwa sana na wananchi wa Kanda ya Ziwa kutokana na umahiri wake. Inawezekana kuwa kuna tofauti...
  9. Rwaz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kumshauri aliyeathirika kisaikolojia kwa ku-abort

    Nasalimia kwa adabu zote stahiki. Bahati mbaya kiswahili chetu hakijawa na salama "universal" na mjadala wa "shikamoo" hatujawai kuufunga! Ila bado napigia chapuo...salaam aleikhum! Humu JF ni familia. Tunawekana sawa kila mtu na karama yake, elimu, maarifa na ujuzi! Hoja yangu ni huyu binti...
  10. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu ushauri

    kichwa cha binadamu ni mithili ya tenki inapokea kila aina ya malighafi na bila kugoma labda ifike kwenye ukomo kulingana na ukubwa wa tenki hilo japokuwa asili ya tenki ni kupokea kimiminika lakini zipo malighafi ambazo huingizwa kwa namna tofauti madhara yake huaribu malighafi hiyo na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara kuhusu fedha zilizotolewa na Mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya Kijamii

    Mkuu wa Mkoa wa Mara amezuia takriban Tshs.5 billioni zinazotolewa na mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya kijamii na hii imetokana na matumizi mabaya ya fedha zinazotolewa na mgodi wa North Mara. Binafsi nakubaliana na uamuzi wa Mkuu wa Mkoa. Kama fedha zinatolewa na vifaa vya ujenzi...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mwita Waitara na wengine mtaoenguliwa kwa majungu na CCM 2025, andaeni mkakati wa kuhamia Umoja Party na mtarudi bungeni

    Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno. Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mtangazaji wa Redio ya Upendo

    Mtangazaji mmoja wa redio Upendo Radio anpenda kusema tupo "Town Centre, City Centre eneo la posta" hebu jirekebishe Dar ni City sio Town
  14. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali. Na wakati wao wanatafakari nasi tuendelee kupaza sauti

    Habari ndg wanajf. Napenda kuishauri serikali ilichukulie umuhimu hili jambo ipunguze mishahara ya wabunge hadi kufika milion 5. Pesa ya mafuta na service ibaki palepale ila mafuta na hela ya service iwe inakaguliwa kama imetumika ipasavyo. Pia ile ya mfuko wa jimbo ni vema wakaongezwa watu...
  15. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako nauhitaji

    Kwanza naomba uongoziu wa jamii forums usijaribu kufuta nyuzi hii kwani nategemea ushauri ambao utakao nifikisha sehemu salama katika maisha yangu,kwani napitia kwenye wakati mgumu wa kudharaulika licha ya kujipa moyo ni kipindi cha mpito. Mimi ni kijana niliezaliwa miaka ya 90's,nimesoma...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia kuelekea Mei Mosi: Usipandishe mishahara kwa wafanyakazi, bali punguza Kodi/PAYE

    Huu ni ushauri kwa Rais wetu kipenzi Cha Watanzania, mama Samia Suluhu Hassan. Nafahamu kwamba pamoja na Mambo mengine serikali ya mama Samia ina nia njema ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi hapa nchini wawe wa sekta binafsi ama wale wa serikalini. Ushauri wangu kwa mama kuelekea mei mosi...
  17. Kigilagilagatirumo

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya laki tano (500k) napata TV ya aina gani?

    Habari ya majukumu ndugu zangu, nmejikusanya kidogo kidogo nkafanikiwa kupata laki tano kwa ajili ya tv.. Nahitaji tv imara na nzuri, je naweza kupata kampuni gani na ni inch ngap? Ukiweza kunambia strength na weakness ya tv utakayonishauri ntashukuru zaidi. Asante
  18. G.Man

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jinsi ya kujiandikisha kama Private Candidate kwa mitihani ya Kidato cha Sita

    Habari wakuu, Ninahitaji kujua jinsi ya kujiandikisha ku re-sit mtihani wa kidato cha sita. Na ipi inaweza kuwa rahisi kati ya kurudia mtihani ama kusoma kozi ya diploma na kuendelea zaidi mbele? Kozi zipi pia za diploma za muda mfupi mtu unaweza kusoma kwa matokeo ya form four ya div2. Asante.
  19. Rangooo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenibadilikia kwa sababu simhudumii na sote ni wanafunzi tunatafuta maisha. Nifanye nini?

    Gh
  20. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT ipo wazi kabisa rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yoyote. Rais Samia hakupaswa kulalamika yeye kutosikilizwa . Ni

    Sheria mama ya taifa letu ipo wazi kabisa na imeweka wazi kuwa rais hatalazimika kufuata ushauri wa mtu yoyote yule. Isipokuwa kama imetanabaishwa kwenye katiba ya JMT. Hii ipo wazi kwenye ibara ya 37(1) ya katiba ya JMT. Sasa kama rais wetu analalamika kuwa ushauri wake haukufuatwa ina maana...
Back
Top Bottom