Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,702
- 36,124
Thread closed
Reached the real goals
Reached the real goals
Hachukulii suala la kujuliana hali kwa uzito kama ulivyo, kuna watu wanapenda kuwajulia wenzie hali na kuna ambao hawapo hivyo.Habari!
Mimi ni kijana around 30, na nina ndugu yangu (mdogo wangu) wa baba mmoja mama tofauti naye ni around 30.
Sote tunaishi Dar es salaam, kila mmoja anajitegemea na ana familia yake. Tulikuwa tunawasiliana mara kwa mara hapo zamani miaka 3 kushuka chini.
Huu ushauri ni ngumu kama jiweFuta namba yake na usiikariri
Hebu rudia kusoma vizuri maandiko yangu.ACHA KUKUZA MAMBO. HUYO JAMAA HANA NOMA NI KUWA TU ANAPAMBANA NA MAISHA YAKE.
PIA INAWEZEKANA KUNA KITU AMEGUNDUA KUTOKA KWAKO SASA ANAJARIBU KUKUKWEPA. INAWEZEKANA WEWE NI MBEA MBEA, MCHONGANISHI PIA UNAPENDA KUFATILIA MAISHA YA WATU NA KUYAANIKA HIVYO AMEAMUA KUKUKWEPA.
BANDIKO LAKO TU JF LINAONYESHA WEWE NI MTU WA AINA GANI. HIVI UNATAKA KUMBLOCK KWA KOSA GANI? WEWE UNAKUZA MAMBO TENA INAONEKANA NI MSHARI/MGOMVI!.
wewe sio vizuri, mahali ni pazuri ndugu wanapokaa wakipatana vyema na wakipendana....Futa namba yake na usiikariri
Napenda ndugu ili ukizingua sikubembeleziwewe sio vizuri, mahali ni pazuri ndugu wanapokaa wakipatana vyema na wakipendana....
Poa.Achana nae fanya mambo mengine mkuu…
Mambo mengine ni kukocmplicate tu.Habari!
Mimi ni kijana around 30, na nina ndugu yangu (mdogo wangu) wa baba mmoja mama tofauti naye ni around 30.
Sote tunaishi Dar es salaam, kila mmoja anajitegemea na ana familia yake. Tulikuwa tunawasiliana mara kwa mara hapo zamani miaka 3 kushuka chini.
Miaka hii tunawasiliana ila si sana, tunawasiliana vizuri kama siku mbili tatu kisha mwenzangu anakuwa busy , ukimpigia simu hapokei na akipokea anaongea kinyonge mpaka unajishitukia (mimi), sometimes anakuambia nitakupigia basi hapo ndio amekuaga kijanja.
Muda mwingine nasema labda ubize kulingana na kazi yake lakini najiuliza kwanini akikutana na missed calls zangu hanibip au hanipigii.
Muda mwingine najisemea siku akijisikia atanitafuta, baada ya siku kadhaa ananitafuta tunalimiana poa, nasema sasa ngoja nimcheki Mimi hapo biashara ile ya awali ya kutokupokea simu yangu inaanza tena.
Vipi nimblock au nimwache tuishi kwa namna anayotaka yeye tu kwamba nisimtafute mpaka anitafute yeye?. Au nimuulize tatizo liko wapi? Note: Mimi simtafuti kwa shida zangu, namtafuta kwa ajili ya kumpa salamu tu na hata kiuchumi naweza kusema kuwa Mimi nina unafuu kidogo zaidi yake.
Sasa Kama umemzidi kipato?Habari!
Mimi ni kijana around 30, na nina ndugu yangu (mdogo wangu) wa baba mmoja mama tofauti naye ni around 30.
Sote tunaishi Dar es salaam, kila mmoja anajitegemea na ana familia yake. Tulikuwa tunawasiliana mara kwa mara hapo zamani miaka 3 kushuka chini.
Miaka hii tunawasiliana ila si sana, tunawasiliana vizuri kama siku mbili tatu kisha mwenzangu anakuwa busy , ukimpigia simu hapokei na akipokea anaongea kinyonge mpaka najishitukia, sometimes anakuambia nitakupigia hapo basi ndio kama amekuaga kijanja.
Muda mwingine nasema labda ubize kulingana na kazi yake lakini najiuliza kwanini akikutana na missed calls zangu hanibip au hanipigii.
Muda mwingine najisemea siku akijisikia atanitafuta, baada ya siku kadhaa ananitafuta tunasalimiana poa, nasema sasa ngoja nimcheki Mimi hapo biashara ile ya awali ya kutokupokea simu yangu inaanza tena.
Vipi nimblock au nimwache tuishi kwa namna anayotaka yeye tu kwamba nisimtafute mpaka anitafute yeye?. Au nimuulize tatizo liko wapi?
Note: Mimi simtafuti kwa shida zangu, namtafuta kwa ajili ya kumpa salamu tu na hata kiuchumi naweza kusema kuwa Mimi nina unafuu kidogo zaidi yake.
Nilijua tu tangu awali majibu ya wana jf mngesema kuwa nataka either fedha au kusaidiwa ndio maana nika clarify mapema hiloSasa Kama umemzidi kipato?